uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hasira za wananchi kwa Media za Tanzania kukaa kimya kuhusu Mauaji na vurugu zilizokuwa zinaendelea Uchaguzi Oktoba 29

    Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta Kwa hali hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa watu wanazuiwa kuchukua maiti ya ndugu zao waliouawa kipindi cha uchaguzi?

    Kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa kuchukua miili ya ndugu zao ili kwenda kuizika. Na kuna uvumi kuwa waliouwawa wanazikwa usiku ili kuficha ushahidi. Kama hii ni kweli . Hili jambo sio jema
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwakilishi wa TEC kwenye UAPISHO wa Rais Samia akiwaombea waliofariki dunia katika maandamano

    Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni. Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Kuna Mwanamke kashinda uchaguzi 98%, kwa hiyo 2% ndio wanaondamana mtaani?

    Tanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama kwenye majukwaa na kuongelea utu kisha kuua watu kiunyama Ameshinda uchaguzi kwa asilimia 98, hakuna...
  5. JamiiForums Tanzania Uchaguzi umeisha, Ila...

    Tumefika mwisho wa uchaguzi, baadhi ya ndugu zetu hatupo nao tena, kwa sababu adrenaline iliwaendesha na wao kutaka kuonekana walihusika kufanya fujo CCM kwa muda mrefu imejulikana kutoa viongozi wenye maamuzi magumu, huenda kwa sasa anahitajika kiongozi shupavu kama Paul Kagame, Wakati Rais...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wetu ulisababisha mauaji ya kimbari

    Mbari ya Gen Z iliuawa na mbari ya watawala. Mbari ya wasio chawa iliuawa na machawa Mbari ya wasio CCM imeuawa na CCM. Kuna mauaji ya kimbari Tanzania. ICC inaweza kuanza kuchunguza.
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama unafikiri tujivunie huu uchaguzi wa 2025 tueleze sababu!

    Kama unafikiri tujivunie huu uchaguzi wa 2025 tueleze sababu!
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi umekwisha, twende tukajenge Nchi kwa pamoja

    Tunamshukuru kwa dhati Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema na Mwingi wa Hekima, kwa kutuneemesha amani, utulivu na mafanikio katika uchaguzi uliomalizika hapa Tanzania. Ni kwa fadhila Zake pekee tumeona uchaguzi ukifanyika kwa amani, pamoja na changamoto za hapa na pale za lakini kiujumla...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Waangalizi SADC: Uchaguzi Mkuu wa Tanzania haukuwa HURU wala wa HAKI

    Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema kuwa uchaguzi uliohitimishwa hivi karibuni nchini Tanzania haukutimiza viwango vinavyohitajika ili kutangazwa kuwa huru na wa haki. Katika ripoti yake ya awali, Ujumbe wa Waangalizi wa SADC (SEOM) umebainisha kuwepo kwa vitisho...
  10. JamiiForums Tanzania Umelaaniwa Kwa Kuuza nafsi za ndugu yako

    Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waangalizi wa Uchaguzi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika: Serikali ya Tanzania isitishe amri ya kutotoka nje na kurejesha huduma za Intaneti

    TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Uchaguzi umeisha, sasa tusimame pamoja kama Nchi

    Rais Samia amesema Uchaguzi umeisha hivyo tusimame pamoja kama Nchi. Kavishukuru vyombo vya Dola kuhakikisha virugu hazizuii watu kupiga kura. Watu walipiga kura za kishindo.
  13. JamiiForums Tanzania Papa asema mamia wameuwawa Tanzania kwa vurugu za Uchaguzi

    Kwenye Ibada ya leo. Baba Mtakatifu Papa Leo ameziombea Tanzania na Sudan na kueleza mamia ya watu wameuwawa nchini Tanzania kutokana na vurugu za Uchaguzi Samia elewa tu we jiapishe ila inyeshe mvua liwake jua sio tu sisi Watanganyika bali dunia nzima haitakuacha salama kwa kutuua Watanganyika...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

    *Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 MaRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025

    01 November 2025 Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan : "Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 ANC waisagia CCM, wasema walifika Tanzania lakini hawakuweza kufanya uangalizi wa Uchaguzi

    Soma barua yao:
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kombo - Tutatangaza matokeo ya uchaguzi jumamosi November 1, 2025

    31 October 2025 Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025 https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao nchi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umoja wa Mataifa: Kamisheni ya Haki za Binadamu yasikitishwa na Vifo na Majeruhi katika Uchaguzi wa Tanzania

    Oktoba 31, 2025 Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia angesikiliza rai ya Tundu Lissu kuahirisha uchaguzi ili mageuzi yafanyike angeinusuru nchi na vurugu za sasa hivi

    ..Kichwa cha habari chahusika. ..Raisi alipuuza ushauri wa Tundu Lissu na Chadema katika kila hatua. ..Na kibaya zaidi akamtengenezea fitina, na hila, za kumtesa. ..kosa la Tundu Lissu ni nini? ..Je, ushauri aliotoa Tundu Lissu usingeepusha haya yanayoendelea? ..Sasa mhaini ni Tundu Lissu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo. Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…