Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa mauaji, ukandamizaji na udikteta
Vyombo vyetu vya habari vilipuuza sana kuripoti habari za matukio ya...
Mmesikia kelele za watawala, baada ya kupoka madaraka kwa nguvu kupitia uchaguzi bandia, baada ya kuwaua watanzania wengi waliokuwa wakipinga uchaguzi haramu, baada ya kuteka, kuwaua na kuwapoteza watanzania wengi, kwa unafiki mkubwa, sahizi wanaimba maridhiano.
Kabla ya uchaguzi, watanzania...
Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please!
Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona
Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
Hakuna namna nyingine sahihi sana ya kuwaenzi hawa zaidi ya kuwajengea minara katika mikoa husika. Mnara mkuu utawekwa Dar Es salaam. Utaitwa mnara wa pili wa mashujaa. Kisha kila mkoa ambao.palitokea mauaji ya halaiki pajengwe mnara kisha majina yote ya waliouawa yawekwe hapo.
Kadhalika picha...
Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika .
point ni zile zile, uchaguzi bandia ufutwe, mateka wote waachiliwe, katiba mpya tukutane tarehe 9/12
Upinzani nchini Cameroon unaendelea kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika hivi karibuni Mgombea wa urais wa chama pinzani aliyeibuka mshindi wa pili, Issa Tchiroma Bakary, ametoa masaa 48 ya mwisho kwa mamlaka za nchi hiyo kuwaachia huru wote waliokamatwa wakati wa maandamano...
Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazima atatembea kichwa chini popote atakapokwenda.
Simply put, Uongo ni dhambi.
Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini akayatangaza, imempunguzia heshima mbele ya jamii.
Kiongozi wa nje kuyadharau matokeo haya ya uchaguzi...
MSIMAMO WA ACT WAZALENDO KUHUSU MWENENDO NA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU 2025
Chama cha ACT Wazalendo kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa kilichoketi 7 Oktoba 2025 kimefanya tathmini ya kina kuhusu mwenendo na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 ambao umekuwa pigo kubwa...
Mbinu zilizotumika kwenye "uchaguzi" wa mwaka 2020 ndizo walizopanga kuzitumia pia mwaka 2025. Lakini safari hii liliwakuta jambo ikabidi wabadili gea angani.
Mwaka 2020 wasimamizi wa vituo waliletewa matokeo ya bandia na ARO Kata wakati upigaji wa kura halali ukiendelea. Hizo kura za mchongo...
Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
"Nimetumiwa mamia ya video, nimeongea na watu wengi wakiwemo waandishi wa habari, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya uchaguzi wa TZ." - Larry Madowo
AFCON 2027
Nitashangaa sana kuona CAF inaicha Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya yote yaliyotokea
Nashauri CAF waiondoe Tanzania mapema kabisa katika nchi mwenyeji wa AFCON 2027
Mwezi Julai 2025, aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM na kipindi cha Power BreakFast, Masoud Kipanya, alichora Cartoon ambayo mtu yupo chooni alafu Toilet paper imeandikwa MEDIA, akiwa na maana kuwa Media zinatumika vibaya kwa maslahi ya wachache na si kwa maslahi ya jamii nzima kutokana na...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa.
Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
Wanabodi,
Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti.
Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika wamesema kwamba uadilifu wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29 uliathiriwa, wakitaja matukio ya kujazwa kwa kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura.
Ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa umoja huo ulisema hapo jana waangalizi wake walishuhudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.