uchaguzi wa 2025

General elections were held in Tanzania on 25 October 2015. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the elections.
The incumbent president, Jakaya Kikwete, had served out two terms, the maximum allowed under the law, and was ineligible to run for a third term. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.
The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".
On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner of the presidential election ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute. In the National Assembly election, the CCM maintained its supermajority in parliament, but key figures in the previous cabinet suffered defeats in their constituencies. Chadema securing its largest-yet number of seats.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Dar inazidi kuwa na mazingira yasio na mpangilio. Viongozi wana hofu au wanaogopa Wananchi baada ya Uchaguzi wa 2025?

    Tunatambua tangu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi 2025 yamesababisha usimamizi wa usafi na mazingira kuzorota, hofu ikiwa kwa Wanasiasa kuogopa lawama za Wananchi. Hii imesababisha mji kuwa mchafu sana, tunajenga barabara nzuri lakini mabanda kila mahali, ukienda Mbezi Mwisho...
  2. U

    PostGE2025 Kilichotokea Uchaguzi wa 2025 kinatoa taswira mabadiliko ya Kisiasa na Demokrasia si Sanduku la Kura kwa sasa

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Mwaka 1992, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kushika hatamu za uongozi wa Dola ya Tanzania. Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, chama hicho kimeendelea kuwa madarakani, hali inayoendelea kuzua mjadala mpana ndani na nje ya Mitandao ya Kijamii kuhusu...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yakutana na Jaji Warioba kujadili matukio ya Uchaguzi wa 2025

    TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba. Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika...
  4. M

    Ushindi wa Tyrant of the Year kwa mtukufu, nao wizi kama alivyopola uchaguzi wa 2025!

    Embu tuacheni ushabiki tuuseme ukweli Mtukufu anashindaje tuzo hii kwa kuwashinda Netanyahu waziri mkuu wa Israel kama sio wizi kama kulivyofanyika kwenye uchaguzi? Trump, Rais wa Marekani anamshindaje kwa mfano kama sio wizi mwingine huu? Zipi sababu za mtukufu huyu kushinda Tyrant of the...
  5. Fascinating

    Tanzania na Uchaguzi wa 2025: Kutoka Kisiwa cha Amani Hadi 'Pressure Cooker' – Vusi Thembekwayo

    Hivi karibuni, mchambuzi wa masuala ya kibiashara na mikakati ya uwekezaji Vusi Thembekwayo ametoa uchambuzi mzito kuhusu hali ya Tanzania baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Vusi, ambaye amekuwa akizuru Dar es Salaam kwa zaidi ya muongo mmoja, anasema kile alichokishuhudia safari hii kimemshtua...
  6. Mafia Island Boy

    PostGE2025 Kuzimwa kwa Intaneti wakati wa uchaguzi wa 2025, kuliumiza wengi, haki ya kupata taarifa iliminywa

    Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania iliingia kizani kimawasiliano baada ya Mamlaka kuzima Mtandao wa intaneti (internet), upande wa pili Serikali ikidai kufanya hivyo kumeweza kuwadhibiti waandamanaji kuhamasishana kuandamana. Kuzimwa kwa Mtandao kulisababisha madhara mengi kwa Wananchi ikiwa...
  7. R

    PostGE2025 Uchaguzi wa 2025 Tanzania imeng'ara kwenye magazeti kama nchi ya mauaji na isiyo na demokrasia

    Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa mauaji, ukandamizaji na udikteta Vyombo vyetu vya habari vilipuuza sana kuripoti habari za matukio ya...
  8. W

    GE2025 Waliofanikiwa kupenya ubunge kwenye uchaguzi wa 2025

    Mkoa wa Songwe - CCM imeshinda majimbo yote Walioshinda ni Philipo Mulugo (Songwe) Japhet Hasunga (Vwawa) Onesmo Mkondya (Mbozi) David Silinde (Tunduma) Kondesta Sichalwe (Momba) Godfrey Kasekenya (Ileje) Mkoa wa Mara - CCM iimeshinda majimbo yote Mgore Miraji (Musoma Vijijini) Mary Daniel...
  9. K

    GE2025 Kama unafikiri tujivunie huu uchaguzi wa 2025 tueleze sababu!

    Kama unafikiri tujivunie huu uchaguzi wa 2025 tueleze sababu!
  10. JanguKamaJangu

    GE2025 Mwanamke wa kwanza kuwania Urais Zanzibar ni katika Uchaguzi wa 2025

    Laila Rajab Khamis Katika historia ndefu ya siasa za Zanzibar, jina la Laila Rajab Khamis sasa limeandikwa kwa herufi kubwa si kwa sababu ya nafasi aliyopewa, bali kwa nafasi aliyoamua kuichukua mwenyewe. Mwaka 2025, Laila amekuwa mgombea pekee wa urais mwanamke visiwani Zanzibar, na wa kwanza...
  11. mwanamwana

    GE2025 Nimepoteza interest na uchaguzi wa 2025 baada ya baadhi wagombea wa upinzani kuhamia CCM

    Uchaguzi wa mwaka huu umeibua mambo ya kushangaza. Licha ya kutokuwepo kwa uwanja sawa wa ushindani wa kisiasa kati ya CCM na vyama vya upinzani, kumetokea hali ya baadhi ya wagombea waliopitishwa na vyama vya upinzani katika ngazi za udiwani na ubunge wakiwemo wale waliokuwa na ushawishi mkubwa...
  12. econonist

    GE2025 Mpaka Sasa sijaona hoja za kiuchumi kutoka kwa wagombea urais mwaka huu

    Niseme ukweli, ni kwamba mpaka Sasa sijaona au kuridhika na hoja za kiuchumi za wagombea urais wakiichukua fomu INEC mwaka huu. Hakuna mgombea urais aliyeonesha namna atakavyo ikwamua Tanzania kiuchumi. Wagombea urais wengi wanahoja za kawaida au za kufurahisha hadhira. Wengine wanadai...
  13. B

    GE2025 Sasa ni rasmi uchaguzi wa 2025 "HAUTAKUWEPO"

    Habari ndio hiyo. CCM na mabilioni Yao ya uchaguzi UCHAFUZI hayaendi kuzuia hili. Project ACT na CHAUMA ilishafeli kabla ya kuanza, CCM kuendelea kuwapa pesa vyama hivyo ili kufanya showoff za kujaza watu kwenye mikutano Yao Hilo nalo ni sawa na kusukuma upepo. Kwa maana Kila mtu Sasa anajua CCM...
  14. The Zanzibar Echo

    Kumbukumbu mtazamo wa Mwalim Nyerere kuhusu tabia za Wanasiasa

    Huu hapa mtazamo wa mwalim Nyerere kuhusu uchaguzi wa Tanzania 2025 na wanasiasa wake
  15. DuaZaMama

    GE2025 Shangwe Ayo: Uchaguzi wa 2025 ni mapambano ya kuikomboa Demokrasia

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 hautakuwa wa kawaida bali utakuwa uwanja wa mapambano ya kuikomboa demokrasia ya Tanzania, ambayo kimeeleza kuwa imetekwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kauli hiyo imetolewa na Naibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Taifa, Mheshimiwa...
  16. peno hasegawa

    Madhara ya nchi za Ulaya na Marekani, Kutotambua Uchaguzi wa 2025 wa Tanzania na Athari Zake kwa Viongozi wa CCM na Wananchi

    Uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania unakaribia, na tayari kuna wasiwasi kuhusu uwezekano wa kutotambuliwa kwake na nchi za Ulaya na Marekani. Madhara ya hali hii yanaweza kuwa makubwa, sio tu kwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) bali pia kwa wananchi wa kawaida. Katika makala hii, tutaangazia...
  17. Alloyce PR

    Kiherehere cha Mbweha na uchaguzi mkuu.

    "Mbweha aliposema, 'Pasipo mabadiliko hakuna uchaguzi,' aliulizwa: 'Na pasipo ukweli, mabadiliko yanatoka wapi?' Akakimbia kwenda kugombea tena." - Alloyce, P.R.
  18. technically

    Binafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama

    Binafsi siwezi kuendelea kuishi kwenye Taifa lisilo na usalama. Kivutio kikubwa na sifa kubwa ya Tanzania ilikuwa ni ulinzi na usalama imara na amani tele ambao kwa Sasa hakuna sababu ya wasiojulikana. Tutaendelea kuishi vip kwenye nchi ambaye hakuna mtu aliye salama? Siwezi kuishi kwa hofu...
  19. mshale21

    Kanuni za uchaguzi wa 2025 zimewekwa makusudi kupora haki ya wanachi kuchagua

    Wakuu Salaam za pasaka kutoka viunga vya Tanzania! Bila kuwachosha, mada tajwa hapo juu yajieleza. Mimi binafsi sitapoteza muda wangu kwenda kupiga kura, maana ni kijipotezea fedha na muda wa kupata fedha. Mwisho, amani ya Bwana wetu kristo Yesu iwe nanyi.
  20. Boeing787-8

    PreGE2025 Naona Giza nene CHADEMA wakisusia uchaguzi wa 2025

    Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna...
Back
Top Bottom