uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kina Halima Mdee kufika uchaguzi mkuu 2025 wakiwa Bungeni ni Dharau kubwa kwa vyombo vya Sheria , nini kifanyike ?

    Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine . Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala . Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu. Hawa wabunge 19 wanamaliza...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Issa awaambia CCM hamuwezi kupata kura Konde, 'labda mje mtupige bakora, Sera zenu mbovu'

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu. Mbunge Issa ameyasema hayo jioni ya tarehe 06 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CHADEMA hawakufanya kampeni, halafu wanadai wameibiwa kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amepinga vikali madai ya vyama vya upinzani kuhusu wizi wa kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa, amesema vyama hivyo, hususan Chadema, vimedai kuwa uchaguzi huo ulikumbwa na udanganyifu uliowanyima ushindi wagombea wao. Hata...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM washtuka, Rais Samia asema, kwenye Uchaguzi Mkuu, CCM itajiimarisha na matumizi ya TEHAMA kuongeza mawasiliano na kuwafikia Wanachama

    "Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na kutatua changamoto zao, lakini katika hatua nyingine kichama tumejipanga na matumizi ya Tehama ili...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Golugwa asema Uimara wa CCM ndani ya miaka 48, CHADEMA wajipange na vyama vya upinzani vimeshindwa kusimamia masuala ya msingi yanagusa watanzania

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa na historia ya miaka 48 ya uimara, umoja, na mafanikio makubwa, kimeendelea kuwa mwamba wa siasa za Tanzania huku kikijipambanua kama kiongozi wa maendeleo na mshikamano wa kitaifa. Kwa upande mwingine, vyama vya upinzani, kama CHADEMA, vimeonekana mara kwa mara...
  6. JamiiForums Tanzania VIDEO: Baba Levo amshikisha Alikiba bango la Rais Samia, amgeuza Mashine ya kumpamba Samia

    Wakuu Chawa kazini kama kawaida yao tazama Baba Levo alivyomshikisha Alikiba bango la Rais Samia, na kumgeuza Mashine ya kumpamba Samia.
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii ndio hazina ya vijana CCM tunaotegemea wawe mfano wa uongozi kwa vijana wengine nchini

    Wakuu Hawa ndio vijana tunaotarajia kuwa viongozi wa kesho, lakini badala ya kusimamia maslahi ya wenzao, wanajikita kwenye kampeni za kusifia bila hoja. Badala ya kushinikiza fursa na maendeleo kwa vijana, wamebaki kupiga simu za kujipendekeza kwa Mwenyekiti wao wa CCM na mapambio yasiyo na...
  8. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zanzibar kura zetu kwa Samia Suluhu Hassan

    Wakati Rais Samia anaingia Ikulu, baada ya muda mfupi vyama vya upinzani Tanganyika pamoja wanahabari wa kujitegemea wamekuwa wakipaza sauti zao juu ya Rais Samia katika uwongozi wake, Moja ya hoja kuu ni kuwa mzanzibar kuitawala Tanganyika na kuuza rasilimali za Tanganyika kwa wawekezaji , huku...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nadhani tupate 'Kanuni ya kudhibiti Uchawa' kabla ya Uchaguzi wa Oktoba!

    Wakuu Uchaguzi unakuja, Oktoba 2025 sio mbali, lakini wote tunashuhudia vijana wengi wamegeuka "machawa" na kupoteza mwelekeo wa kisiasa. Badala ya kujadili sera, ajira, elimu, na uchumi, wamebaki kujipendekeza kusiko na faida kwa maisha yetu. Mastaa Wengi wamegeuka kuwa mashine za kuwapamba...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Vijana wa UVCCM walivyopiga magoti na mabango ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM

    Wakuu Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi. Soma, Pia: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Vijana wajipaka matope mwili mzima na kupita mbele ya Rais Samia kwenye birthday ya CCM

    Wakuu Vijana kama vijana kutwa busy na mambo ya uchawa tu! Kikundi cha Vijana Waliojipaka Matope mwili mzima ni miongoni mwa watu waliopata fursa ya kuwepo kwenye maandamano ya watu elfu 5 walioingia uwanjani na kupita mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM mkoani Dodoma...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CCM nia yetu ni kuwapatia Wananchi maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi

    Wakuu Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi. Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika "Sisi, CCM sera yetu ya ki-socialist, nia...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika

    Wakuu Nani awe Mwamuzi wa mnyukano huu? Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, amemwita mezani Tundu Lissu kufanya mdahalo ili Watanzania waweze kutoa maoni yao na kufanya maamuzi bora katika uchaguzi ujao. "Lissu sio size ya Rais, Lissu ni mdogo na Rais ni mtu mzito...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira awaonya CCM: Tafuteni Wagombea wanaokubalika na Wananchi, adai hata tajiri ananyang’anywa mke

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama wa chama hicho kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wanaokubalika na Wananchi katika uchaguzi ujao, Oktaba 2025. Akisisitiza kuwa viongozi ni wa watu na lazima wakubalike na wapiga kura ili washinde...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaume tuwaunge mkono wenza wetu watakaogombea nafasi za uwakilishi uchaguzi mkuu

    Kushiriki siasa ni haki ya kila mtu, bila kujali jinsia. Wanawake wana mchango mkubwa katika jamii, na ushiriki wao katika siasa huleta uwakilishi wa kina na maamuzi yanayojumuisha maslahi ya wote. Kama mume, kumruhusu au kumsapoti mke wako kushiriki siasa ni njia ya kuonyesha usawa na kumtia...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: CCM yachangia madawati Shule ya Sekondari Mgwashi

    Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu, Rajabu Abdulrahaman, ametembelea katika Shule ya Sekondari Mgwashi iliyopo Korogwe Vijijini Kata ya Mngwashi na kutoa mchango wa shilingi milioni saba (7,000,000) kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CUF wamtaka Prof. Ibrahim Lipumba aachie ngazi akafanye majukumu mengine nje na siasa, wanadai anaua chama yeye na genge lake

    Wanachama wanadai Prof. Lipumba hajafuata mchakato wa kikanuni wa kugombea uenyekiti, ikiwemo kutofuata utaratibu wa kuchukua fomu. Wanasema Lipumba hakuchukua fomu, hakurudisha wala kusaini na badala yake inadaiwa kuna watu ambao ndiyo walimfanyia, jambo ambalo ni tofauti na utaratibu wa Chama...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kuanza ujenzi wa kituo kipya cha Afya Vunta Same Kilimanjaro, hii miradi inaanzishwa kimkakati kuelekea uchaguzi mkuu

    Wakuu sasahivi kumekuwa na miradi mingi inayoanzishwa na serikali, ni kama mkakati wa kuwavuta wananchi kuelekea uchaguzi mkuu, zipo kero na miradi mingi huko nyuma hakuna aliyekuwa akiitazama ila kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi ndio wanaamka kutoka kwenye usingizi mzito sana. Je, CCM wanatufaa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kunambi: Waziri nipe kibali nikarabati barabara na Wananchi, serikali mmeshindwa

    Wakuu Joto kuelekea Uchaguzi == Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi ameiomba serikali kumpa kibali ashirikiane na wananchi kukarabati miundombinu ya barabara katika jimbo la Mlimba ambayo serikali imeshindwa kukarabati. Kunambi ameyasema hayo wakati akichangia hoja za Kamati ya Kudumu ya Bunge...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

    Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM. Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…