uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yavitaka Vyombo vya Habari kuomba vibali vya kuripoti Uchaguzi Mkuu 2025

    Kwa kuzingatia kifungu cha 26 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatoa mwaliko kwa vyombo vya habari vyenye nia ya kuchapisha au kutangaza habari wakati wa kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo. Chombo cha Habari...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kunje Ngombale: Nikiwa rais nitafuga mamba kwa ajili ya mafisadi

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha Wakulima AAFP Kunje Ngombale Mwiru Akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za Wagombea Urais, Wabunge na Madiwani katika Jimbo la Morogoro kusini kata ya Matombo amewahutubia wananchi wa eneo hilo na kunadi sera zake, Ngombale Mwiru amesema ya kwamba kama akipata...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aahidi Kukamilisha Ujenzi wa Bandari Kavu Tunduma

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kukamilisha ujenzi wa bandari kavu yenye ukubwa wa ekari 1800 katika eneo la Katenjele lililopo Tunduma mkoani Songwe. Dkt. Samia amesema bandari hiyo itaondoa changamoto ya...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Mapingamizi ya INEC kesi ya Mpina yatupwa, kesi ya msingi kusikilizwa Septemba 8

    Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025), iliyofunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Luhaga Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Tume Huru ya...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Ilani ijayo 2025 - 2030 CCM kuinua uchumi jumuishi kwa Watanzania

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Mgombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu wa Otoba 29, 2025, Dk. Samia Suluhu Hassan, atapigiwa kura nyingi kwa sababu wananchi wameiona kazi kubwa aliyoifanya kuleta maendeleo kwa miaka minne iliyopita...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu Hafidh Ameir mgombea sahihi jimbo la Makunduchi, Zanzibar

    WANU HAFIDH AMEIR MGOMBEA SAHIHI JIMBO LA MAKUNDUCHI, ZANZIBAR Wananchi wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar wameonyesha kufurahishwa kumpata Mhe. Wanu Hafidh Ameir kama mgombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi katika kipindi hiki ambacho kuna miradi...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

    Wakuu, Uchawa unaendelea Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia mwenyewe. Huyu si ajabu ni baba na ana familia yake.
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walioahidi kushona sare kwa ajili ya Mgombea Urais CCM Dkt Samia Suluhu Hassan wamewasili uwanjani Songwe

    Walioahidi kushona sare kumpokea Mgombea Urais CCM Dk. Samia wameanza kuwasili uwanja wa Mwaka Tunduma Mkoani Songwe.
  9. JamiiForums Tanzania CCM Mnakataa kuwa mnasomba watu na wakati Kariakoo mliwalazimisha machinga wafunge biashara zao ili waje kwenye kampeni zenu Kawe?

    CCM mnkuwa mnasomba watu na wakati Kariakoo mliwalazimisha machinga wafunge biashara zao ili waje kwenye kampeni zenu Kawe? Mnawalazimisha watu kuja kwenye kampeni zenu na kuwatisha kuwa lazima wakaskilize kampeni zenu alafu mkija kwenye vyombo vya habari mnasema mmewapa lift, kilichowafanya...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Kibamba aahidi kuboresha maslahi ya Bodaboda

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba, mkoani Dar es Salaam, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 2, 2025, akiwa katika Kata ya Saranga, ameahidi kuboresha maslahi ya waendesha bodaboda endapo atapewa nafasi ya kuwakilisha wananchi wa jimbo hilo bungeni...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: Siku tukiwatoa Madarakani CCM, Chama kitakufa, wamezoea wanabebwa na dola

    "Siku tukiwatoa Madarakani CCM kwa jina la Mungu muumba wa majeshi hiki chama kitakufa kwa sababu wamelegealegea, wamezoea utepeutepe, wanabebwabebwa na dola, siku tukiwatoa na jinsi tulivyo na hasira kuijenga taifa hili, jinsi tulivyo na akili ya kutumia rasilimali za taifa hili itatuchukua...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu Mkuu wa Chama MAKINI: Tutapeleka waandishi Canada, Wazee Posho laki 1 kila mwezi na Vijana kupewa bodaboda bure

    Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho uliofanyika Septemba 2, 2025, katika eneo la Manzese jijini Dar es Salaam, amesema endapo chama hicho kitapewa ridhaa ya kuongoza dola, kitaweka mpango...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Hakuna uchaguzi ni maigizo, Samia anashindana na kivuli chake

    "Tuendelee kupigania reforms, tupate reforms za kweli, twende kwenye uchaguzi wa kweli tutakapopata hizo reforms, kwahiyo hiki kinachotokea hapa ni ndoto",- Wenje. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, akizungumza Septemba 2, 2025 kupitia...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kibonde: Polepole ni mmoja wa wanamtandao ambao walikuwa wanataka kumwondoa Rais Samia asigombee urais

    Mgombea wa Urais wa Chama Makini Amshukia Polepole. Aendelea kumnadi Samia. Katika hali ya kipekee katika siku ya kwanza ya uzinduzi wa kampeni za Chama Makini, mgombea wa Urais wa chama hicho Coaster Kibonde amemshukia vikali Humphrey Polepole. "Naomba Watanzania wenzangu popote...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kufikiri unaongoza nchi wakati 50% na zaidi ya watanzania wanajua hujafanya chaguzi !!! ni ujinga

    Kufikiri unaongoza nchi wakati 50% na zaidi ya watanzania wanajua hujafanya chaguzi !!! ni ujinga. Watanzania wa leo sio watu ambao wanachelewa kujua ukweli kwasababu ya techmnologia na elimu ya watu. Rais wanao kudanganya waangalie tena hutaweza kupata amani kwa mazingira haya. Watanzania...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Huenda changamoto ya afya ya akili ikawakosesha wengi sifa na fusra ya kupiga kura kwa mujibu wa sheria uchaguzi mkuu wa Oct.2025 na sio reforms

    Huenda wengi wenye mawazo au mtazamo wa kutoshiriki uchaguzi au kutokupiga kura uchaguzi mkuu wa october2025, wanapitia changamoto hiyo mtambuka ya afya ya akili kwasasa, na kujikuta wakiwa na msukumo au shinikizo hasi lisilo na faida kwao wenyewe, familia zao na taifa kwa ujumla. Ugumu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wapinzani anzisheni kampeni nyingine, hii ya No Reforms No Election imebuma. Hii slogan imefeli kwa 100% uchaguzi upo palepale

    Mtu anakaa kwenye daladala na kasimu kake ka mkopo anaandika NO REFORMS NO ELECTION then anasubiri kusikia INEC imesogeza uchaguzi mbele. This is totally madness. Sheria za uchaguzi ziko wazi. Uhalali wa uchaguzi haupo kwa wingi wa watu waliojiandikisha kupiga kura au kwa wingi wa watu...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mbio za kukinadi Chama cha Mapinduzi mkoani Geita zaanza kwa kishindo

    MBIO ZA KUKINADI CHAMA CHA MAPINDUZI MKOANI GEITA ZAANZA KWA KISHINDO 📌 Majimbo 7 kati ya 9 yapita bila kupingwa 📌 Kata 92 kati ya 122 zapita bila kupingwa 📌 Maelfu wakusanyika kusikiliza Ilani ya CCM 2025-2030 📌 Dkt. Biteko awasisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kumpigia kura Dkt. Samia...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Makini waahidi kutoa bodaboda milioni 1 kwa vijana endapo watashika dola

    Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa bodaboda zaidi ya milioni moja ili kuwapatia ajira vijana. Hayo yalielezwa jana wakati wa uzinduzi wa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Makini tutatoa posho kwa wazee kila mwezi laki moja

    Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa laki moja kila mwezi kwa wazee wote wa Tanzania Hayo yalielezwa jana wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…