Imeelezwa kuwa kushiriki katika uchaguzi ambao hauko huru na wa haki ni kukiuka misingi ya demokrasia na kuhalalisha dosari za mfumo wa uchaguzi.
Hayo yamesemwa na Wakili Msomi, Dickson Matata wakati akizungumzia uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki katika Uchaguzi...
Chaguzi za rais ,wabunge na madiwani zitakuwa huru. Sababu tume ya uchaguzi itakuwa huru.Wizi wa kura utadhibitiwa.
Mahakama zitakuwa huru, sababu majaji watakuwa wanaomba kazi hawatakuwa wateule wa rais.
Kesi zinazohusu uchaguzi zitakuwa huru na upendeleo utakoma.
Viongozi waliofanya...
Leo ulikuwa unazungumzia na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Je mchakato wa kufikia hapo umeufanya?
Kuna mapungufdu mkubwa katika mchakato mzima wa kupiga kura .
Vigezo hivi sidhani kama hapa vinatimizwa inavyotakiwa.
VIGEZO VYA UCHAGUZI HURU NA HAKI
1. Voter...
Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka.
Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa...
Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema;
"Mwezi Oktoba mwaka huu nchi yetu inatarajia kufanya uchaguzi mkuu, katika kulizungumzia jambo hilo nyeti tumeona ni vyema tukayarejea maneno muhimu tulioyatoa katika Baraza la Eid lililopita Machi 31, 2025 ya kwamba...
"Chadema tunachokitaka tunataka uchaguzi wa kistaarabu sisi diwani tunapata ,wenyeviti wa mitaa tunapata na mbunge tunapata lakini tunapata kwa maumivu makubwa sana"
"Ndiyo maana tumesema hatutaki uchaguzi wa kumwaga damu kwa sababu ili nishinde ubunge wa mikumi kwa mfano na wananchi kama...
Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali.
Sikiliza video yake hapo chini
Unamuweka ndani Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini ili asifanye siasa. Hapa unatuma meseji gani, kwamba kama unazuia watu kufanya siasa za kudai mabadiliko, wewe uko tayari kufanya uchaguzi huru na wa haki?.
Je, uko tayari kukubali kushindwa ukishindwa?
Uko tayari wagombea wa chama...
Tumefika mahali wengine tumechanganyikwa na dhana ya No Reform No election, Mimi naomba wachambuzi wa mambo mnisaidie.
Ukiangalia ni kweli uchaguzi wa 2019, 2020 ulikuwa mbaya haijawahi kutokea na Serikali akiwemo Rais alikiri hivyo, lakini mwaka 2024 hali ikajirudia na hatimaye CHADEMA na ACT...
Leo, Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Lentz alikutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kujadili umuhimu wa michakato ya uchaguzi huru, wa haki, na wa amani kwa maendeleo endelevu ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa ya Tanzania.
Marekani ndio nchi iliyoanzisha democrasia katika mfumo wa vyama vingi.
Marekani kupitia IMF , WORLD BANK, wameineza sera ya democrasia, katika nchi masikini kuanzia miaka ya 1980s. Nguvu ya uma ni muhimu sana katika kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya Tanzania.
Lakini kulingana na asili yetu...
Salaam
Kauli ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, inayoitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaodaiwa kutaka kuzuia uchaguzi mkuu ni ya kutia wasiwasi katika muktadha wa demokrasia na haki za raia. Tamko hili linaibua maswali kuhusu uhuru wa...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kipo tayari kuunganisha nguvu na vyama vingine vya siasa pamoja na taasisi mbalimbali ili kuhakikisha vinapambania uwepo wa uchaguzi huru na haki mwaka huu.
Akizungumza leo Februari 23 kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho Kiongozi wa ACT Wazalendo...
Wanabodi,
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, amesisitiza kuwa kujiandikisha zaidi ya mara moja ni kosa la jinai lenye adhabu ya kifungo cha angalau miezi sita, kisichozidi miaka miwili, au vyote kwa pamoja.
Ameyasema haya wakati wa mkutano na wadau wa...
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA.
"Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ajitoe. Nikihofia kwamba akianguka labda itashuka kidogo. Lakini alipoamua kuweka uchaguzi kwa kiwango...
Wanabodi,
Baada ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura kufanyika Dodoma na viunga vyake sasa zoezi limehamia mikoa mingine
====================================================
Kupitia ukurasa wa Instagram wa INEC, tume hiyo ya Uchaguzi imetangaza kuwa uboreshaji wa daftari...
Wakuu,
Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mazungumzo yake ya moja kwa moja na Jambo TV, Askofu Mwamakula amezungumzia mchakato wa Uchaguzi unaoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA
Askofu Mwamakula amesema kuwa hata wao ambao hujitokeza pale ambapo CHADEMA wanateswa, wakiona kuwa kuwa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Ndg. William Lukuvi akiwa ameambatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mtungi leo 07/10/2024 ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya ACT Wazalendo na kupokelewa na Kiongozi wa Chama Ndg. dorothy Semu aliyeambatana na Katibu Mkuu...
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki:
1. Elimu ya Mpigakura: Wananchi wanapaswa kupewa elimu ya kutosha kuhusu haki zao za kupiga kura, mchakato wa uchaguzi, na umuhimu wa kushiriki kwenye uchaguzi. Hii...
Wanabodi,
Saa hizi ni usiku mkubwa, usingizi umejigomea, hivyo nimeshuka jf.
Baada ya mwana CCM mwandamizi, ambaye ni born and breed CCM, kusema ukweli kuhusu ushindi wa uchaguzi kwenye baadhi ya maeneo, uchaguzi huendeshwa kwa mtindo wa Mutatis Mutandis!.
Hivyo kwa heshima na taadhima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.