Mimi ni mkazi wa Kibaha-Zogowale, eneo ninaloishi limezungukwa na viwanda. Hivi karibuni kumeibuka shida kubwa ya uchafuzi wa hali ya hewa wakati wa usiku. Kuna harufu kali sana inachafua hewa wakati wa usiku, nina uhakika harufu hii si salama kwa afya ya binadamu.
Viwanda ni chachu ya maendelo...
Kama kichwa cha habari kinavyosema,huu n mwez watu hali kama unavyo iona.
Cc;Mwenyekit wa mtaa machifoni
Cc:Mbwana Afya wilaya ya kiteto
Cc:Mkurugenzi wilaya ya kiteto
Cc: Mkuu wa mkoa wa manyara
Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka za nyumbani, plastiki, mabaki ya chakula na hata vinyesi.
Tabia hii si tu inaharibu mandhari ya...
bomu
halmashauri ya manispaa ya songea
kimya
manispaa
manispaa ya songea
mjini
mto
mto matarawe
nec mazingira
rc ruvuma
songea
uchafuziuchafuziwamazingira
Hapa ni katika kata ya Usagara, kijiji cha Nyangh'omango,kitongoji Nyaruhama kuna uchafuzi wa mazingira unaendelea eneo hili kwa kuchimba moramu eneo last makazi ya watu.
Hili jambo linahatarisha maisha kwa wakazi wa eneo hili hasa watoto, shimo ni refu sana wakati wa mvua maji hutuama humo...
Kuna tatizo linaendelea hapa kata ya usagara,kijiji Nyangomango,kitongoji Nyaruhama.
Kuna uchimbaji wa molamu katika makazi ya watu na mbaya zaidi lipo shimo lefu sana ambalo limetokana na uchimbaji wa hyo molamu hii ni hatari na watu wanaoishi maeneo haya hasa watoto hasa kipindi cha mvua maji...
Anonymous
Thread
eneo
holela
kijiji
kuchimba
mazingirauchafuziuchafuziwamazingira
uuzaji
uuzaji holela
Hivi hapa Shinyanga kuna kiongozi wa mazingira? Viongozi wa mkoa wako wapi? Na wamafanya nini? Wale wa Wilaya vipi?
Kusema ukweli sisi wananchi wa Shinyanga tumekuwa tukiteseka kwa muda mrefu na maji machafu ambayo yamekuwa yakitiririka kutoka ndani ya kiwanda na kuja hadi kwenye makazi ya watu...
Kuna tabia ambayo hasa inafanywa na Madereva na Makondakta wa Dalalda kujisaidia haja ndogo pembezoni mwa magari yao wakati yakiwa kwenye foleni hasa magari yaendayo shamba yaani Mlandizi, Boko Mnemela, Chalinze na Miono inaendelea kukithiri.
Taboa hiyo imesababisha kuwe na harufu mbaya sana...
Habari ndugu zangu wana jukwaa wenzangu.
Hili Jiji la Mbeya licha ya kukumbwa na ugonjwa wa Kipindupindu ambao kila siku tunasikia Serikali inapambana nao lakini hali ya uchafu katika baadhi ya maeneo inaendelea kuongezeka.
Na hizi mvua zinazoendelea kunyesha ndiyo zinazidi kusambaza uchafu...
Uchafuzi wa mto Goba unaweza kuonekana kutoka angani. Hamuamini? Angalieni picha zilizo chini. Zinaonyesha picha za satelaiti za mto Goba. Kati ya 2018 – 2021, kulikuwa hakuna maeneo makubwa ya kutupa taka. Lakini ukilinganisha picha hizo na za mwaka 2024, utaona kwamba pembezoni mwa mto...
Mjadala ulizuka baada ya muimbaji wa nyimbo za Injili kuchoma moto gari alilopewa kama zawadi na Mchungaji, ambapo baadhi ya watu walisema hilo ni kosa kisheria wengine wakisema siyo kosa kisheria. Wakili Bashir Yakub alilitolea ufafanuzi upande wa kisheria (zaidi soma hapa), lakini je, upande...
Salaam Wakuu,
Tanzania inaelekea kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024. Kwa sasa joto la uchaguzi huo limezidi kupanbda na Wagombea wengi wapo kwenye hatua za kurejesha fomu zao ili kupitishwa kugombea nafasi walizokusudia.
Imekuwa kawaida kwa Chaguzi zilizopita kupita nje ya...
Wapiga Debe, madereva bajaj na bodaboda wamekuwa wakijisaidia haja ndogo kwenye eneo la hifadhi ya barabara na mitaroni Barabara iendayo Stendi ya Mabasi Magufuli.
Ukipita hapo pananuka haja ndogo. Ni hatari kwa afya.
Mamlaka husika mpo wapi?
Soma Pia: Uhaba wa vyoo Stendi Kuu Mbeya abiria...
Habari wana TANZANIA TUITAKAYO.
Utangulizi.
Ninayofuraha kupata wasaa huu kuandaa andiko langu linalohusiana na mazingira.
Neno mazingira limefafanuliwa katika mawanda mapana lakini ngoja nilitolee maana rahisi na ya kawaida ikimaanisha jumla ya vitu vyote vinavyotuzunguka vilivyo na visivyo...
Katika halmashauri ya jiji la Mwanza wilaya ya Nyamagana, kata ya Luchelele mtaa wa Silivini mji mdogo wa( Nyamalango) kumekuwa na tabia ya viongozi wa mazingira kutoshughulika na majukumu yao hali inayopelekea takataka kutupwa katika barabara za mitaa.
Taka kuwekwa maneo holela ambayo sio...
Anonymous
Thread
mazingira hatarishi
mazingira machafu
uchafuziwamazingira
utupaji taka
Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko. Nenda sokoni kanunuwe mboga, mihogo utapewa mfuko wa plastiki, chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
Kumekuwa na usafirishaji wa taka ovyo bila kufuata utaratibu wa kiafya hivyo inapelekea maji machafu yenye harufu kali sana kumwagika barabarani.
Tena unakuta gari la taka lipo kwenye foleni kwa hiyo watu wanateseka sana na harufu kali.
Kwa hiyo ningeshauri manisipaa kufanya utaratibu wa jinsi...
Habari, wanaouza viungo vya chakula, mboga za majani, matunda na bidhaa nyinginezo maeneo ya barabarani hasa maeneo ya friends Conner Arusha na maeneo ya soko la Samunge upande wa chini mwa soko mbele ya kituo cha kurekebisha tabia za watoto(magereza ya watoto Arusha) wapo watu wanaofanyia...
Anonymous
Thread
biashara
kero
mazingira
sahihi
sehemu
uchafuziuchafuziwamazingira
uchaguzi
Wakuu,
Hakuna kitu nakerereka kama kutembea kila mita kumi nakutana na chupa ya Mo energy imezagaa hakuna dalili kwamba itaenda popote.
Kwanini nisione chupa ingine kama ya maji ya azam au hill au kilimanjaro, hata ikionekana kwa bahati mbaya basi ukirudi hutoikuta hii ndo inatakiwa.
Sasa Mo...
U hali gani mwana JF.
Napenda kuliongelea suala la uchafuzi wa mazingira kama kero. Serikali ya Jamuhuri ilipendekeza siku ya Jumamosi kama siku ya kufanya usafi, aidha iliweka sheria nzuri ilipelekea viwanda vya kutengeneza mifuko ya plastiki kufungwa. Kwa hili serikali ilijitahidi japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.