uanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kuna uhusiano gani kati ya uanachama wa chama cha siasa na kugombea uongozi wa Serikali ya Wanafunzi?

    Ninaomba suala hili lifanyiwe uchunguzi na mjadala mpana, kwa sababu linagusa haki za wanafunzi na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Wanafunzi katika vyuo vya Tanzania. Kuna hali inayodaiwa kuwepo katika baadhi ya vyuo nchini ambapo mwanafunzi anapotaka kugombea nafasi za juu katika...
  2. JamiiForums Tanzania Asha rose migiro atuambie aliyekuwa makamu wa rais E.J.Nchimbi yupo wapi mana yeye ndiye alitutangazia kumvua uanachama.

    Tunahitaji jibu huyo mama atupe jibu
  3. JamiiForums Tanzania Kutoka AI: Tanzania inaweza kusimamishwa uanachama Jumuiya ya madola kisa Tundu Lissu

    Nikifahamu kuwa vikao vya Jumuiya ya madola vinaanza kesho nchini Marekani nimemuuliza AI swali kuwa: SWALI: Nini kitaipata Tanzania ikiwa imekaidi maazimio ya Jumuiya ya madola ya kuitaka Tanzania imuachie Tundu Lissu? MAJIBU YA AI: Ikiwa serikali ya Tanzania itakaidi kabisa agizo la...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Hatimaye HAKI imetamalaki kwa ODERO,Tawi la Olosiva latoa ufafanuzi kuhusu barua feki iliyosambazwa mtandaoni kwamba amevuliwa uanachama wa CHADEMA

    Naomba kukujulisha kwamba tulipokea barua yako uliyoandika tarehe 27/4/2026 na kupokelewa na mwenyekiti wa tawi tarehe 7/5/2026 ukitaka kupata ukweli na usahihi wa barua iliyokuwa na kichwa cha habari ya kukuvua uanachama wa Chadema. Baada ya kupitia barua hiyo kama uongozi wa chama tawi la...
  5. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya uanachama: Usidharau hatua ndogo ulizofikia

    Wakati mwingine tunaweza kuona maendeleo yetu kuwa ni madogo kwa sababu tunaangalia sana watu walioko mbele yetu. Unaweza kujiuliza: “Bado sijafika kule ninapotaka, kwa hiyo kuna maendeleo kweli?” Jibu ni NDIYO. Maendeleo hayamaanishi lazima uwe umefika mwisho. Maendeleo yanaanza pale...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakivuliwa uanachama wanaendelea na Ubunge ila Makamu aaaaa!

    Sheria ya nchi hii kwasasa inatafsiriwa kulingana ni nani anatakiwa kuhukumiwa. Kangarooo. Mwanasheria Mkuu Leo anatafsiri vitu almradi tu Nchimbi awe na hatua. CCM kajifunzeni CHADEMA tangu enzi za Zitto, Arfi na Prof Safari
  7. JamiiForums Tanzania Wanaotoa hoja za kumfukuza Mbowe uanachama bila shaka ni chawa wa CCM

    Wanatafuta justification ya walichomfanyia Nchimbi kukichafua Chama. Chadema haipaswi kufananishwa na ccm , iwe mfano wa kuigwa wa demokrasia ndani na nje ya chama.
  8. JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuwa Licha ya Kujiuzulu na Kufukuzwa CCM, Mpaka Sasa Dr.Nchimbi Bado ni VP Mpaka Tar. 4 Sept?. Kufutwa Uanachama CCM, Hakuathiri Mafao Yake!

    Wanabodi, Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza tuwe na heshima kwa viongozi wetu, kwasababu licha ya kujiuzulu mwenyewe na kufukuzwa CCM kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Kufukuzwa Uanachama, Upi ni Uhalali wa Yale Yaliomo Kwenye Notisi ya Kujiuzulu?

    Kwamba nitastahafu siasa kuanzia tarehe 4 Septemba, 2026 Nawaza tu, kama notisi ilikubaliwa, je huyu mwamba ni bado Makamu wa Raisi mpaka 4 September 2026 au kwa kufutwa kwake uanachama amefukuza wakati akiwa kwenye notice period. Wabobezi, wanazi na vilaza ni wengi, ila wote maoni yetu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania CCM, Hii siyo sawa. Pamoja na yote , msingelimfutia uanachama nchimbi. Mungu anawaona

    Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu. Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama...
  11. JamiiForums Tanzania Is he in the "House Arrest?". Haiingii akilini, kaachia ngazi mwenyewe kwa hiari lakini bado kafuatiliwa kwa nyuma na kupigwa panga la uanachama!

    Huyu mwanamke ni hatari aisee.. Kakataa katakata kushindwa kirahisi rahisi na asiye upande wake... Je, inaandaliwa kesi ya uhaini dhidi yake...? Inasemekana alikuwa na mipango ya kumpindua boss wake kwa namna yeyote.. Rejea makutano yake na TEC mara kwa mara. Then na safari zake za nje ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mtu ameshasema anastaafu siasa sasa huo uanachama wa kazi gani? Kuachwa kunauma nyie acheni tu

    Kuna mambo yanafurahisa sana. Kuachwa kunauma hatari Mwamba alikuwa sawa kuleak ile barua hiyo jana vinginevyo leo wangemdhalilisha kwa kumfuta umakamu na kumtimua uanachama.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Je, Kamati Ndogo ya Maadili Ina uwezo wa kumvua uanachama VP???

    Kumbukumbu zinaonyesha, Kamati Ndogo ya Maadili ilishawahi kumvua uanachama aliyekuwa Jasusi Mbobevu ambaye kwa Sasa ni Marehemu. Jibu ni Ndiyo inayo uwezo huo. Na endapo ikitokea, je Tutegemee safi Mpya ya Uongozi??? Jibu ni Ndiyo, tutegemee PM wa Sasa kuwa VP, na Minister wa Sports wa Sasa...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini ni kirusi ndani ya vyama vya siasa, afutiwe uanachama haraka kabla hajaleta madhara.

    Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine. Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inaweza kusimamishwa uanachama wa Jumuiya ya Madola isipotekeleza mapendekezo yake?

    Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala. Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio. Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kumkana tamko lake la "Yuda", Simai lazima avuliwe uanachama

    Mambo yanaenda kasi sana. Waswahili wanasema mdomo ulikiponza kichwa. Madsi ya mwanasiasa asiyejulikana na wengi kutoka Zanxibar sitwaye Simai Mohammed, umeleta mtafaruku wa kisiasa ndani ya CCM, na hata Bungeni. Madai yake mazito ati kuna Yuda msaliti ndani ya serikali, si tu yamekosea...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Odero avuliwa uanachama CHADEMA. Alikuwa akipigia chapuo maridhiano!

    Wakuu, Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29! ====== Mwanachama na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa 2015, Odero Charles...
  18. JamiiForums Tanzania Kujivua Uanachama kwa Katibu wa Kanda na Mkoa wa Tanga: CCM na Serikali Yake Wanaogopa Mabadiliko!

    Kama Mwanachadema wa Kanda ya Kaskazini wa Chadema, naijua kanda hii vizuri – tumejenga imani ya wananchi kwa miaka mingi, tumevumilia mateso, na tumeendelea kuwa nguvu ya mabadiliko Nawakumbusha ndugu zangu wa Chadema: hawa si wa kwanza, wala hawatakuwa wa mwisho. Na hii si habari mbaya tu –...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM Geita imechanganyikiwa? Madiwani walimkataa Manunga kuwa mwenyekiti wa Halmashauri . Leo hii mnafukuza uanachama huku mlilazimisha awe mqenyekiti?

    Alishindwa na Diwani Kapembe. Mkalazimiha awe Mwenyekiti. leo Mmefukuza uanachama
  20. JamiiForums Tanzania Maombi ya Tanzania na Uganda kuondolewa uanachama Jumuiya ya madola yawasilishwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG)

    Kampuni ya sheria ya kimataifa Amsterdam & Partners LLP, inayoongozwa na Wakili Robert Amsterdam, imewasilisha maombi rasmi kwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) kutaka serikali za Tanzania na Uganda kuondolewa a mara moja kutoka Jumuiya ya Madola. Sababu kuu zilizotolewa ni; 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…