Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao
Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
Mwana siasa nguli na Mwanachama wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa Watanzania kuenzi misingi ya majadiliano yenye hoja badala ya kuendeleza chuki na mifarakano inayotokana na tofauti za kimtazamo.
Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Mbatia amesema kuwa hali...
"Siku nikifa mpinzani wangu Hichilema, asishiriki maziko yangu Wala kuukaribia mwili wangu"
Familia ya Rais wa Zamani wa Zambia Edgar Lungu Yatangaza Atazikwa Afrika Kusini Baada ya Mvutano na Serikali
Familia ya rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, imetangaza kuwa atazikwa nchini Afrika...
Kwa mfano labda wakipanga Njama zao za ama Kukujeruhi au Kukumaliza (Kukuua) na wakakukosakosa jitahidi sana kama ukipata Msaada wa haraka wa Kukimbizwa Hospitalini kwa Matibabu basi jitajhidi mno hiyo Hospitali unayopelekwa iwe ni SIRI kwa Watendaji huwa na Mawakala wao karibu katika Hospitali...
Takribani miaka 6 Sita Sasa tangu uangalizi wangu kwa binti wa majirani zetu, nampenda yule binti nayeye pia ananipenda pia kwao walizaliwa 6 lakini wa kiume mmoja binti Huyo Alifunga kizazi na ndio pekee aliyeweza kusoma
1.ugomvi wa visima vya maji
Ugomvi ulianza kwenye kisima cha maji mwaka...
Hii ni Sheria ya 15 kati ya Sheria 48 za mamlaka zilizoandikwa na mwandishi ROBERT GREENE katika kitabu chake kiitwacho THE 48 LAWS OF POWER. Sheria hii imesema; CRUSH YOUR ENEMY TOTALLY, yaani mponde adui yako ipasavyo.
Bila shaka mtu anayejitafuta kwenye maisha ni lazima awe na maadui. Kama...
Siku moja Nyani waliposikia kwamba mtu aliyekuwa akiwafukuza kwenye shamba la mahindi amefariki, walisherehekea kwa furaha kubwa na Shangwe wakijipongeza na kuamini hakuna tena atakae weza kuwazuia kuiba Mahindi.
Lakini mwaka uliofuata, hakukuwa na mahindi. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.