twitter

Twitter () is an American microblogging and social networking service on which users post and interact with messages known as "tweets". Tweets were originally restricted to 140 characters, but on November 7, 2017, this limit was doubled to 280 for all languages except Chinese, Japanese, and Korean. Registered users can post, like, and retweet tweets, but unregistered users can only read them. Users access Twitter through its website interface, through Short Message Service (SMS) or its mobile-device application software ("app"). Twitter, Inc. is based in San Francisco, California, and has more than 25 offices around the world.Twitter was created in March 2006 by Jack Dorsey, Noah Glass, Biz Stone, and Evan Williams, launched in July of that year. The service rapidly gained worldwide popularity. In 2012, more than 100 million users posted 340 million tweets a day, and the service handled an average of 1.6 billion search queries per day. In 2013, it was one of the ten most-visited websites and has been described as "the SMS of the Internet". As of 2018, Twitter had more than 321 million monthly active users. Since 2015 Twitter has been a hotbed of debates and news covering politics of the United States. During the 2016 U.S. presidential election, Twitter was the largest source of breaking news on the day, with 40 million election-related tweets sent by 10:00 p.m. (Eastern Time) that day.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    X (twitter) wameondoa mahudhui ya porno/ngono kwa wanaotumia VPN zinazosoma hosts mataifa ya Ulaya na U.K

    Kuondolewa kwa chudai ni kutokana na EU na UK kutaka age verification kwa watumiaji, hivyo wamepiga kufuli au censorship kwa mahudhui yote ya ngono. Majanja wa Ulaya na Uingereza wamekuwa waraibu wa porno kwenye X (twitter) Kwa wale wapenzi wa video za kirumi au pilau, watasha wanaita adult...
  2. Knock life

    Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  3. Manepesa

    Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

    Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela. Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
  4. Internet-Money

    Youtube imefungiwa kama Twitter

    Nimejaribu zaidi ya lisaa lizima kuingia YouTube ila inagoma. Baada ya kuwasha VPN mambo yanafanya kazi. Mwezi mmoja kabla niliona trend videos za YouTube kama zipo tofauti na kawaida. Sijui ni YouTube wenyewe wanapokea hela kuzima baadhi ya content zisionekane kwenye trend, kama vile...
  5. Dalton elijah

    Salim Kikeke anapitia Spana kwenye mtandao wa X

    Baada Ya Kutia Nia Salim Kikeke Ameanza Kupitia Spana Kwenye Mtandao Wa Twitter. Kwenye Moja Kati ya Chapisho Lake Ameandika Kuwa ........................ Sometimes change has to be fought from within. Albert Einstein once said “Doing the same thing over and over again and expecting different...
  6. Abdu khalifa rehani

    Naomba msaada nikifungua X (Twitter) inanipa option ya ku verify na nikibofya haikubali?

    HABARI WAKUU NAOMBA MSAADA WA KUFUNGUA TWITTER KILA NIKIFUNGUA INALETA NI VERIFYING ILA NIKIJALIBU HAIKUBALI SHIDA NINI WAKUU HAPO?
  7. Lord Denning

    Pongezi sana kwenu Watanzania wa X( Twitter), Machawa wameanza kutoa milio. Endeleeni kufinya hivyo hivyo

    Leo account maarufu ya Kiongozi wa machawa waliopo X ( Twitter) imeanza kutoa milio baada ya Watanzania wapenda haki wa X (Twitter) kuanza kuzi tagg account za wafadhili wa Tanzania na mashirika ya Kimataifa (Washirika wa Maendeleo) kuhusu udhalimu unaofanywa na Serikali ya Samia dhidi ya...
  8. Heritage123

    VPN 3 Bora za Kutumia Twitter na Telegram Tanzania (2025)

    Katika kipindi ambacho baadhi ya mitandao kama Twitter na Telegram hupata vikwazo vya upatikanaji nchini Tanzania, kutumia VPN (Virtual Private Network) ni suluhisho la haraka, rahisi na salama. VPN huficha anwani yako ya mtandao (IP address) na kukupa uhuru wa kutumia mtandao kama uko nchi...
  9. M

    Rais Samia tunaomba VPN unayotumia kuingia mtandao wa X

    Mh. Rais wetu shikamoo Mama. Nimejaribu kuingia twitter au X kukutetea dhidi ya hawa wanao comment no Reforms No Election lakini nimeshindwa sababu imefungiwa Tanzania. Nina dhamira ya kwenda kupambana na hao Kenge, Wapuuzi na Walevi. Ombi langu kwako Mama nisaidie kupata VPN unayotumia nami...
  10. technically

    Utafungiaje Twitter halafu uendelee kuitumia?

    Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani. Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate...
  11. Lord Denning

    Balaa na Nusu: Kenya wana Kenyans on Twitter (X) ila Tanzania imezaliwa Tanzanians on Instagram (IG). Wanashambulia kama Nyuki

    Hapa Afrika kuna watu wanafahamika kama Jeshi la Mashambulizi. Hao ukianzisha ugomvi nao huko X (Twitter) jihesabie umepoteza pambano kabla hata halijaanza. Watu hao ni Wakenya wa Twitter (X) au kwa jina Maarufu Kenyans on Twitter. Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi...
  12. M

    Ni kwanini TCRA mfungie mitandao ya kijamii kama X (Twitter), wananchi wanapataje mawasiliano Kwa mtindo huu mlio nao?

    Hili ni janga kwanini mfungie Twitter? hadi Twitter VPN why? Enzi za Kikwete hakukuwa na upuuzi kama huu
  13. Stuxnet

    Pamoja na kuwa na VPN naona masaa 2 sasa Twitter (X) haipatikani.

    Natumia Norton VPN toka last week, ila kufika saa 7.30 leo naona Twitter haifunguki. Je na nyinyi mnapata shida kama ya kwangu?
  14. X

    PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

    Ndio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo! Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
  15. L

    Kwanini Mtandao wa Twitter Unakataa kufunguka Kwenye Simu yangu?

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa ni kiangazi kwetu kwa hiyo pilika pilika za mashambani ni nyingi sana. Kwa hiyo Muda wote tunakuwa Bize . Sasa nimepata nafasi nikawa nimepumzika nikasema nikatembelee Twitter huko maarufu kama X niangalie habari za hapa na pale . Ila naona unagoma. Kazi...
  16. Lord Denning

    Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

    Hali si Hali nchini Tanzania. Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X. Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa...
  17. Bei Rahisi Electronics

    Anayeuza account Tiktok, Instagram, Twitter, Facebook page

    Wapwa anayeuza Account Twitter x TikTok Instagram Facebook page Pesa ipo, Onyo Matapeli kaeni mbali.
  18. Roving Journalist

    CHADEMA: Akaunti zetu za chama za YouTube na X (Twitter) zimedukuliwa

    WITO WA KUSHIRIKI KESI YA MH. TUNDU LISSU, JAMII KUFUATILIA MJADALA WA BUNGE LA ULAYA, NA TAARIFA YA UDUKUZI WA AKAUNTI ZA CHAMA. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu Watanzania na jamii ya kimataifa juu ya matukio matatu makubwa yenye athari kwa demokrasia na haki...
  19. T

    Kule Twitter (X) ati Njaa55 wanataka kupambana na maambukizi huku wakishiriki ngono.

    Kweli Mzee Mbowe alizungukwa na vijana wa hovyo, waliendekeza pombe na nyama choma. Waligawa vyeo kwa wadada kwa rushwa ya ngono. Walijua wazi Lissu akiingia biashara yao imeisha. Mbowe bado anahitajika kwenye siasa za Chadema bila kuwa kiongozi mkuu wa chama kama alivyo Mhe.Zitto. Anachopaswa...
  20. toriyama

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua

    Mtandao wa X (Twitter) TANZANIA umefungwa Tangu jana 12 april 2025 kuelekea vuguvugu la CHADEMA na kukamatwa kwa Tundulissu bila VPN huwezi kuufungua
Back
Top Bottom