Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania kuwakaribisha Wageni wanaokuja kushiriki katika Mashindano ya CHAN Barani Afrika yatakayofunguliwa kesho August 2 kwa kuhimiza Utulivu, Heshima, Ukarimu na kwa Amani.
Soma zaidi: Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda...