tuzo rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania BoT yamtunuku Rais Samia Tuzo ya Kinara wa Mapinduzi ya Mifumo na Huduma Jumuishi za Kifedha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalumu na ya kipekee na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikitambua mchango wake mkubwa na maono yake kama kinara wa mabadiliko ya kiuchumi na mifumo ya kifedha nchini. Tukio hilo limejiri leo Juni 12, 2026, katika Kituo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia na Bunge lako nani kawaagiza kumpa Tuzo Rais Samia? Mmetoa kwa niaba ya nani kama wananchi hatujawahi kuridhia?

    Hiki ni kituko cha mwaka aiseee😆😆 Hivi we ulisikia wapi (kwa sauti ya Bwege)? Spika Tulia amesema yeye na wabunge wamefikiria kitu cha kumpa Rais kwa niamba ya 'wananchi wanaowawakilisha' wakaona wampe tuzo kutokana na kazi yake iliyotukuka. Mimi mwananchi nauliza ni kenge gani walitoa ruhusa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Tuzo ya 'Mother of the Nation' na Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sheikh Mohamed Bin Zayed

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anaendelea kuchanja Mbuga katika Mioyo ya Walimwengu. Anaendelea kuteka na kugusa mioyo ya watu, anaendelea kuifanya Dunia kuendelea kumjadili na kujifunza kutoka kwake uongozi bora , uchapakazi, uzalendo na uhodari katika kuinua na kuboresha Maisha ya watu...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi

    Wakuu Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi ya mifumo ya usimamizi wa sekta ya Ardhi Tanzania. Pia, Soma Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM
  5. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Salamu za Pongezi kwa Rais Samia kupokea Tuzo ya The Global Goalkeeper Award

    Kufahamu zaidi kuhusu tuzo hiyo ingia hapa: Rais Dkt. Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award
Back
Top Bottom