tundulisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lucas mwashamba

    Maajabu ya TUNDULISU na wakovu wa watanzania

    Kila nikiangalia hii picha na bubujikwa na machozi ya furaha hakika mpendwa wetu yupo mahari salama hapo wakoloni wanajua wanamkomoa Wakoloni walimuweka gerezani Nelson Mandela wakidhani wanampunguza makali kumbe ndo wanamjenga kiakili na ukomavu na ndo tunashuhudia kwa tundulisu Leo hii yupo...
  2. Dream big

    Ccm Ubwabwa vs Ccm Utundu

    Mimi sio politician,sisubiri tume ichunguzwe.......(Roma mkatoliki) Kinachoendelea kwenye siasa za ccm ni makundi mawili. Moja halitaki reforms sababu kuu ni kuwa Lina mgombea dhaifu ambaye ili ashinde 1.Awe na mpinzani dhaifu (chaubwabwa) 2.Awe na upinzani wenye kutugawa kidini (kigoma cha...
  3. Megalodon

    Tundu Lissu ni Fimbo ya Musa kwenye kulikomboa taifa teule la TZ

    Guys , tumuheshimu sana tundu Lissu. Jamaa UPINZANI wake anamaanisha… and for sure APEWE HESHIMA….wengi hatuwezi ijapokuwa tunataka mabadiliko…. It is wothless kuwa na UPINZANI wa bahasha za kaki huku watu wanakufa na kutekwa in a serious note . Mtu kama Ben Saanane ndio mazima….hatujapewa...
  4. M

    Free Car Inspection Kila Jumapili:Kuanzia sasa, kila Jumapili, tunafanya ukaguzi wa bure wa magari Jerry spare parts and services

    TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako! Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Free Car...
  5. 1Africa54

    SI KWELI PreGE2025 Tundulisu kawadhikaki walimu ambao hawana ajira

    Nimekutana na taarifa chanzo Millard ayo inayo sema mheshimiwa Tundulisu kawadhikaki walimu ambao hawana ajira 👇👇👇 Je ni kweli?
  6. M

    Hii michango anayoomba Tundu Lissu si rushwa kipindi hiki cha uchaguzi wa ndani?

    Kama uchaguzi wote unasimamiwa na chama, huu mchango unalenga nini kama si rushwa? Chama kimelipia uchaguzi wote. Pesa hii haitamika kuhonga wajumbe na kusambaza propaganda dhidi ya chama?
  7. Beira Boy

    Abdul na mabilion yake anamwogopa sana Tundu Lissu

    Kitendo cha kuinuka na mabilion ya pesa kumpelekea mtu kwa Dunia hii leo iliyojaa uchu, tamaa, ufisadi, ujambazi, laana plus njaa ya kila namna na shida na mahangaiko ya kila namna na akazikataa lazima uogope sana. Watu wanauza mpaka bandari za nchi ili wapate pesa, lakini kwa Tundu Lissu...
  8. lugoda12

    KUTOKA KWA TUNDU LISSU

    "Nawajulisheni kwamba nimeandika barua kwa katibu mkuu, nimeondoa kusudio la kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa chadema Tz bara, na nimewasilisha barua ya kugombea uenyekiti wa chadema Taifa" Mh. Tundu Lissu
  9. Beira Boy

    Katibu wa Baraza la maaskofu katoliki TEC aligoma kuwapa wanasiasa mike tundulisu, mnyika na chimbi kwanini mwamposa alimpa mike makonda

    Amani iwe nanyi wana wa MUNGU Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni...
  10. R

    Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

    Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huu uliopita. Makamu huyo nguli wa sheria na siasa bora Tanzania ametumia nafasi hiyo kuwapongeza watanzania waliokiunga mkono chama hicho kikiwa...
  11. U

    Mikono yenye damu by Tundu Lissu

    Habari ndugu wadau. Nilisikiliza hotuba ya TUNDU LISU Sept 7 siku ya kumbukizi ya miaka 5 tangu jaribio la kutaka kumchomoa nafsi. Katika hotuba yake ambayo kimsingi inavutia sana alitaja mambo mazito sana.Kimsingi watanzania hatujazoea kusema ukweli ata kama ni Mchungu, tumezoea kupaka rangi...
  12. Leak

    Tundu Lissu ni Wakili muhimu kwenye kesi inayomkabili Mbowe, unapaswa kuja nchini bila kujali mazingira

    Wsalaam wanajamvi, Case ya Mbowe kuhusu ugaidi imekuwa na mvuto wa ina yake kabisa na wengi wamekuwa wakiitazama kwenye jicho la siasa kuliko kisheria pamoja iko mahakamani. Kwenye hili nami na kubaliana na wao wanao itazama kwa jicho la kisiasa hata kama imekwenda mahakamani na ni wazi kabisa...
  13. K

    GE2020 Tundu Lissu, huku ni kutafuta wadhamini au ni kampeni?

    Ndugu zangu, Kipekee, napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai siku ya leo. Mh. Tundu Lissu namfuatilia kwa umakini sana, tangia aanze kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini, ni kama vile anafanya kampeni tayari. Japo mimi siyo mwanasheria, ila kwa kumsikia tu, ndugu huyu anafanya kampeni...
  14. J

    Kizungumkuti hifadhi ya Burigi

    Tuwekane sawa kidogo kuhusu mambo ya uongo ambayo ameongea ndugu TUNDU LISU mgombea uraisi kwa nafasi kupitia chama Cha demokrasia na maendeleo. HIFADHI YA TAIFA YA BURIGI Mwanzo kabisa hi hifadhi ya taifa ya burigi kabla kupandisha hadhi kuwa hifadhi ya taifa ya wanyama pori, Lili kuwa ni...
  15. Sauti ya Umma

    GE2020 Aliyekuwa Mbunge wa Mwibara, Mutamwega Mgaywa apitishwa na Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kugombea Urais

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mwibara kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005 Mheshimiwa MUTAMWEGA MGAYWA amepitishwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU) katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi octoba...
Back
Top Bottom