tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

    Wakuu, Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni. Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani "CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu anazungumza kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ikungi Singida

    Wakuu. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea Tundu Lissu amesema kuwa mara ya mwisho Tanzania kufanya Uchaguzi ilikuwa nwaka 2014 kwani mwaka 2019...
  3. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mwenye video ya Tundu Lissu akizungumzia namna ya kukuza uchumi wa nchi ailete

    Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote. Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara! Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80%...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akichaguliwa rais wa Tanzania utafanya nini?

    Japo simpigii kampeni, nani ajuaye mipango ya Mungu. Katika gombea gombea ikatokea Tundu Lissu akachaguliwa kuwa rais, utanya nini au utajisikiaje? Nakumbuka. Alimuonya Magufuli juu ya uvunjaji wa sheria za mikataba akataka kumuwahisha kuzima akaishia kuwahi yeye. Alinusurika kuuliwa. Hakuuguzwa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu awakalia kooni Maaskofu waliopewa pesa na Rais Samia, ataka warudishe "Hana tofauti na Yuda, hiyo pesa ina laana"

    Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu. Pia, Soma: Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Fikira fikirishi: Maneno haya ya Tundu Lissu yana maana gani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema mji wa Tarime una nafasi ya kipekee ya kudai haki kupitia chama hicho cha upinzani hasa kikipewa uongozi na wananchi. Lissu ameyasema hayo leo Novemba 21, 2024, wakati akiongea na wananchi wa Tarime akiwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu anaunguruma Mkoani Mara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA

    Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara na mwanasiasa mashuhuri, amepokelewa kwa shangwe na hamasa kubwa mkoani Mara wakati wa ufunguzi rasmi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Kama Mnaogopa Mabomu, Mkalale Mshughulikiwe na CCM. Ukiogopa Mabomu Kalale Uchunwe Ngozi na CCM

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara Tundu Lissu, amewataka wanachama wa chama hicho kutokuwa waoga katika kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchauzi huu wa Serikali za Mitaa na kuwataka kutokuwa waoga wa mabomu. Lissu ameyasema hayo wakati akisalimiana na wananchi wa Kata ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa mawili yanayomsumbua Tundu Lissu wiki hii!!

    1. Taarifa aliyoitoa Makonda kwa waandishi wa habari kwenye utoaji wa ripoti yake ya miezi 6. Katika kujibu tuhuma anazorushiwa na Tundu Lissu, Makonda alijikuta akitueleza ni vipi Kuna vikao vilikuwa vinaendelea baina yake na viongozi wa chadema Huku Tundu Lissu wakimuacha kwa makusudi kwa...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Tundu Lissu Kisiasa ni Kuunda Chama Chake cha Siasa. Napendekeza Jina: United Front for Democracy (UFD)

    Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, ipo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema. Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
  12. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Baada ya kuwasikiliza Makonda na Kigaila kisiasa na kiusalama Tundu Lissu inatakiwa ahamie CCM au aache siasa .

    Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli. Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anavyojulikana na Akili Mnemba (AI)

    Tundu Antiphas Mughwai Lissu ni mwanasheria, mwanaharakati wa haki za binadamu, na mwanasiasa mashuhuri wa Tanzania. Amekuwa akihusishwa sana na harakati za kutetea demokrasia, utawala wa sheria, na haki za wananchi. Yeye pia ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Makonda: Naijua hali anayopitia Tundu Lissu, sio hali nzuri kabisa

    “Naijua hali anayoipitia Tundu Lissu kwenye chama chake cha CHADEMA, sio hali nzuri kabisa, anapambana namna ya kujishikiza mahali na sehemu pekee ya kujishikiza ni kwa makonda. Jambo alilosema Tundu Lissu halina ukweli hata kidogo, tukirudi nyuma wakati tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi...
  15. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ndiye Rais ajaye baada ya Rais Samia

    Kila ninapomtazama TAL na aliyoyapitia na anayoyapitia sasa hivi naona miaka si mingi anakuja kuwa President wa Jamhuri hii . Sina tangible reasons msije kunikaba lakini kuna vitu katika dunia hutokea tu ili kuwaonesha wanadamu kuwa yupo mpangaji wa mambo tofauti na vile tunavyojiaminisha kuwa...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

    Wale walenga shabaha(snipers )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu. Mnaidhani wale sio sniper refer Donald Trump alipunyuliwa nywele badala ya kupigwa kichwa na sniper....tuendelee Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili. Mbowe mtoto wa mjini akahisi...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kati ya mkutano wa Lissu, Lema na Kigaila upi ndiyo msimamo wa CHADEMA?

    Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea? Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana uwezo mdogo mno wa uongozi ukimlinganisha na Dkt. Slaa au mbowe ambao angalau wana maono

    Ukiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni. Hana maandalizi wala mpangilio wa kujieleza. Ni kama analalamika tu kwa kila kitu. Akijieleza binafsi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anzisha chama tukuunge mkono

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana kutoka moyoni mwangu,naamini baadhi ya Viongozi wa Chadema kwa makusudi wamekubali kutapeliwa na wametapelika dhidi ya matapeli wa CCM Hii inadhihilisha ni jinsi gani wako kimaslai zaidi kuliko kuwa kalibu na wananchi wao, waliokipenda chama kwa moyo mmoja...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Bwana Lissu, kumbuka kuwa Kwenye msafara wa Mamba, Kenge hawakosekani...

    Chadema siyo mkusanyikowa malaika, ni wanadamu and all humans are fallible no human being is infallible! Ukilijua hilo, hotuba yako ya jana Singida, sishangai kuona kuwa kuna watu walitegemea kupewa vyeo! ndiyo maana tunasema huwezi kuchukua chama ukampa mhamiaji kama Cecil Mwambe alivyokuwa...
Back
Top Bottom