tundu lissu

  1. Tundu Lissu: Ili mfumuko wa bei upungue Rais apunguze kodi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema mfumuko wa bei unaoendelea Nchini kwa bei ya vitu vingi kupanda ni wa Rais na kama akitaka upungue lazima apunguze kodi. Amesema “Ukipunguza kodi bidhaa zitapungua bei, ila sijasema ifutwe bali ipunguzwe, kwani ni lazima Serikali inununue VX...
  2. Tundu Lissu hana wazo la kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Kama kuna watu walikuwa wanaomba mgongano wa kiuongozi ndani ya Chadema sasa wanywe panadol. Kuna wale maadui wa siasa za kishindani walikuwa wanatamani Mhe. Lissu autamani uenyekiti wa Chadema ili agombanie nafasi hiyo na Mhe. Mbowe Kuitakia Chadema migogoro ya ki uongozi ni sawa na kumeaga...
  3. SI KWELI Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Tundu Lissu ina chupa ya Konyagi

    Kumekuwepo na picha inayozunguka mitandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akizungumza na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo yakiwa na picha yenye chupa ya konyagi. Picha inayodaiwa kuwa na chupa ya Konyagi Ukweli wa picha hii...
  4. SI KWELI Tundu Lissu apongeza Tume Mpya ya Haki Jinai, iliyoundwa na Rais Samia

    Kuna Taarifa zilizosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii, zinazodai Tarehe 31 Januari 2023 wakati Tundu Lissu akifanya Mahojiano ya channel ya YouTube ya Jambo TV, kwamba alimpongeza Rais Samia kwa kuunda Tume mpya ya Kuchunguza Haki Jinai. Taarifa hizo ni Uzushi. Uzushi huo ulidai kuwa Tundu...
  5. J

    Luhaga Mpina vs Tundu Lissu, nani ni Mzalendo wa kweli?

    Kule Bunge la JMT akisimamia mbunge wa Kisesa mh Mpina kila mtu anatega sikio kutaka kumsikiliza atakachoongea Na huku Uswahilini Tundu Lissu akisimama mkutanoni mfano Mwembeyanga daladala, bodaboda nk hupaki pembeni ili wamsikilize Ndio najiuliza wawili hawa ni wazalendo kweli kweli au ni...
  6. Tundu Lissu Apongeza Tume Mpya ya Haki Jinai'

    Leo Katika Mahojiano ya Tundu Lissu na mwandishi wa Jambo Tv kiukweli nimefurahishwa Sana na majibu Tundu Lissu hii ni ishara Kabisa Tume ya Maliziano ya Kisiasa imefanya kazi yake. "IGP na Mapolisi wetu ni wazoefu katika Kuchambua na kupata taarifa hivyo kuundwa kwa Tume hiyo naamini tutapata...
  7. J

    Tundu Lissu atakubalika kwa Utetezi wa Wanyonge lakini hatavunja Rekodi ya Magufuli ya kupendwa na Wananchi

    Ni angalizo tu kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu kwamba wanamkubali kwa Kiasi anachofanya kutetea haki zao likiwamo hili la Mfumuko wa Bei yaani inflation. Atazidi kukubalika ila hatavunja Rekodi ya Kupendwa na Wananchi aliyonayo hata kufani yule Shujaa Magufuli. Tunaeleweshana...
  8. J

    Video: Tundu Lissu atolea ufafanuzi Haki Jinai, Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    ..hii ni interview ya kwanza tangu atue nchini.
  9. J

    Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

    Nisiongeze chochote. Fuatilia ktk video.
  10. Hoja za Tundu Lissu zazua mjadala Bungeni. Ni hoja ya mfumuko wa bei na njaa

    Mimi ni mwana CCM, Linapokuja suala la uwezo wa Mtu na Akili kubwa huwa haki yake nampa mtu yeyote Kama ninavyowashangaa wanahisabati na wana sayansi kama Albert Einstein, Isaac Newton na Blaise Pascal waliwaza nini na kwanini Walifikiria hivyo ndivyo kwenye siasa za Tanzania na amsha amsha...
  11. Lissu acha kudandia, hoja ya mfumuko wa bei ni ya Mpina. Alikwisha ifikisha Bungeni miezi 8 iliyopita!

    Huu ndio ukweli halisi! Mheshimiwa Luhaga Mpina, mbunge wa Jimbo la kisesa, alijitoa kafara,bila kupepesa macho bungeni,na kuichana Live, serikali ya chama chake cha CCM. Akatohoa kila kitu kutokana ndhila wanayopitia Watanzania. Kutokana na upandaji holela wa bei za bidhaa nchini. Lissu na...
  12. J

    Hii nchi kumpata Mwanasiasa Mwaminifu ni ngumu sana labda yule Sokoine au huyu Tundu Lissu

    Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa tai ya Bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe sanaa tupu! Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu! Wapinzani ndio hao walamba asali. Sidhani kama kuna kitu kinaitwa Uaminifu kwenye Siasa.
  13. J

    Chawa wanashangaa Rais wa CWT kukataa Uteuzi wa DC mbona Tundu Lissu alikataa Uteuzi mkubwa tu. Ukiwa na maono yatakuongoza, hutayumba!

    Mjadala wa Walimu kukataa Uteuzi wa uDC umekuwa mkubwa kana kwamba wao ndio Watu wa kwanza kukataa Uteuzi hapa nchini. Kuna Wengi hukataa Teuzi kimya kimya na maisha yanaendelea. Yuko mtu inasemekana Nyerere alitaka ateuliwe kuwa mgombea Urais wakati wa Chama Kimoja lakini alikataa kwa sababu...
  14. Tundu Lissu tengeneza CHAWA wako ufike mbali zaidi kisiasa. Usidanganywe, uchawa ndiyo siasa za kileo nchini

    Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako. Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!
  15. Tundu Lissu una uchungu na Taifa lako. Unaumia linavyoibiwa ila Mbowe ameungana na wanaoliibia

    Chama chetu hakina mwenyekiti bali kina mpigaji tu. Lissu unaongea kwa uchungu sana. Nimesikia ukizungumzia wizi wa wanyama pori huko Loliondo. Wizi wa pesa za umma ambazo ni kodi ya wananchi. Tatizo Chadema ni mganga njaa Mbowe
  16. J

    CHADEMA mkianza kuchukua ruzuku na malimbikizo Yote mtujulishe Wadau wa Siasa!

    Mliposusia ruzuku Katibu mkuu mh Mnyika alitutangazia nasi tukawapongeza Vivyo hivyo mtakapoanza kupokea tena kama bado mtujulishe Wadau ili tuwapongeze tena Jumaa kareem!
  17. M

    Nina mambo matatu ya kujadili kuhusu Tundu Lissu

    Tundu Lissu amerudi nchini na tunategemea joto la ushindani wa kisiasa litapanda kwa faida ya umma. Nina mambo matatu ya kujadili kuhusu TL, Muda umebadilika na inabidi atulie aangalie muelekeo wa mambo ya ndani na ni hoja ipi inaweza kupeleka Chama chake mbele. Kwa Tanzania bado rushwa ni...
  18. J

    Polisi watakuja na kisingizio gani? Walisema hawawezi kumhoji Lissu kwasababu hayuko nchini

    Polisi walisema hawawezi kuchunguza kwasababu wameshindwa kumhoji Lissu. Na kisingizio cha kutokumhoji Lissu ni kwasababu alikuwa nje nchi. Sasa Lissu amerejea Tanzania. Natarajia jeshi litamhoji na kuwakamata mara moja waliohusika. Au wataleta kisingizio kingine?
  19. J

    MNEC Mlao amkaanga Tundu Lissu, asema ni mpotoshaji

    MNEC MLAO AMKAANGA TUNDU LISSU, ASEMA NI MPOTOSHAJI. Alhamisi, Jan 26, 2023. Misungwi, Mwanza. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwinshehe Mlao (MNEC) amewasili Jijini Mwanza akitokea mkoani Shinyanga ambako amekuwa na muendelezo wa ziara Kanda ya ziwa kuelekea katika...
  20. K

    Tundu Lissu amegundua nguvu ya Hayati Magufuli

    Baada ya Chadema kufanya mikutano hafifu sana na iliyokosa watu kanda ya ziwa (Mwanza na Mara), Tundu Lissu akapata meseji kichwani mwake kwamba nguvu ya Hayati Magufuli siyo ya kawaida kwenye jamii hasa kwa wananchi wa maisha ya chini kabisa na kwamba kuendelea kumponda Magufuli ni kujichimbia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…