tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Iringa wamkana Mwenyekiti Mungai kauli ya kumuunga mkono Mbowe

    Wakuu, Badamu batachuruzika safari hii! ===== Wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kutoka Mkoa wa Iringa wakiongozwa na makatibu kutoka jimbo la Kilolo, Iringa mjini na wilaya ya Iringa pamoja na viongozi wengine wameibuka kupinga kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa, William Mungai...
  2. JamiiForums Tanzania Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

    Wanabodi, Leo nawaendeshea somo la kitu kinachoitwa assets and liabilities, kwenye siasa. Kwenye biashara assets ni mtaji na rasilimali na liabilities ni madeni, na hasara, biashara ikiwa nzuri, assets ni faida, biashara ikianguka, una dispose some of your assets into liabilities kuiokoa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenje: Nilikutana na Abdul mara ya kwanza kwenye tafrija na kumuuliza kwanini serikali ya mama yake hailipi fidia ya Lissu, alisema angesaidia alipwe

    Wakuu, Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani? Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nikiwa Mwenyekiti, Heche na Lema wawe na nafasi gani kwenye chama.

    Lissu anawauliza wanachama, je ana uhakika wa kushinda? https://x.com/Lissu_2025/status/1870095911273091442/photo/1
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti Taifa, jambo gani umelijua kuhusu CHADEMA ambalo awali hukulijua?

    Habari wakuu Tumeona siku za hivi karibu ndani ya CHADEMA kumechamgamka sana baada ya Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu kuweka nia ya kugombea Uenyekiti Taifa wa CHADEMA. Swali langu kwenu, ni mambo gani umeyafahamu baada ya mwamba huyo kuweka nia ambayo huko nyuma hukuyajuaau hukufikiria...
  6. JamiiForums Tanzania Ushawishi wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye chama hautabadilika sana endapo watashindwa kupata nafasi ya mwenyekiti

    Wanabodi, Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ntobi aomba radhi kwa kauli zake kuhusu Tundu Lissu

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga, Ntobi, ameomba radhi kufuatia kauli zake alizotoa kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Ntobi ameeleza kuwa kauli hiyo ilisababisha mjadala mkali usio na afya ndani ya chama. "Ni wazi kwamba nilihamanika tu," alisema Ntobi. "Naomba radhi sana...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Lissu ni Taasisi inayotembea, tukimpoteza tutapoteza mengi, akosolewe bila matusi

    Uwa siandiki Mara nyingi Kumbukeni wananchi Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tarehe 21/12/2024 Mbowe atatangaza rasmi kutogombea uenyekiti na atamuunga mkono Tundu Lissu

    Wasalaam Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu. Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katavi: Katibu CHADEMA Wilaya ya Mlele: Tunamhitaji Lissu kwa sasa zaidi ya Mbowe

    Wanajukwaa! Habari iwafike kutoka CHADEMA. Baadhi ya makada wa chama hicho wamendelea kuonyesha upande katika kuelekea uchaguzi wa CHADEMA taifa ambao utafanyika mwaka 2025. Inavyoenyesha Mbowe ni kama time yake ya kuachia ngazi wengi wanatamani kumuona Lissu kwenye nafasi ya Uenyekiti wa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Tundu Lissu atawashinda kijani wanaovaa magwanda? Ni kipi tunaweza shauri au fanya wapenda mabadiliko kumsaidia?

    Kuna wavaa magwanda wa miaka mingi sana lakini ndani ni wa kijani na wanafanya kazi kwa faida ya kijani Je kijani halisi na kijana wavaa magwanda wataruhusu TL awe Mwenyekiti? Je tumshauri au nini tunaweza fanya nini wapenda mabadiliko?
  12. JamiiForums Tanzania Ni Mwandishi gani wa habari nchini anaweza kumhoji Tundu Lissu kwa uelewa ulio sawa?

    Muiteni Mlopokaji, Muiteni mwendawazimu, call him Vyovyote unavyoweza kwakua una mdomo, na una bando lako. Ukweli ni Kua TUNDU LISSU ni Moja ya Wanadamu wanaosoma na Kisha alichokisoma akawa na Uwezo wa kukiweka kwenye matendo, ni Moja ya watanzania wenye Karama za Uongozi, ni Moja ya...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa mtazamo wangu Mbowe na Lissu ni vita zaidi ya nje kuliko ya ndani. Ni mwendelezo wa Zitto na Maria Sarungi

    Miaka ya 2010 wakati Zitto Zuberi Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wanaanza kujenga “picha ya kundi ndani ya Chadema” kwa lengo la kuchukua kiti cha Freeman Mbowe (FAM) CHADEMA, mambo kadhaa yalikuwa dhahiri na yanaweza kulinganishwa kwa kiwango kikubwa kwa mizania na mlinganisho na hali...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 2020 CHADEMA mlituaminisha Lissu anaweza kuongoza nchi leo, mnasema hafai kuongoza chama! Mlitaka kutuingiza chaka?

    Viongozi wakuu wa CHADEMA wanaonekana kutomuunga mkono Tundu Lissu kwa madai hatoshi na hana weledi wa kuongoza chama! Freeman Mbowe anaonyesha haamini kama akikiacha chama mikononi mwa Lissu hakitakuwa salama. Kama ni hivyo kwanini mlimuamini kugombea urais wa nchi? Mnasema hana hekima na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Twendeni na Tundu Lissu tuachane na viongozi wanaoendekeza rushwa ndani ya chama

    Uchaguzi wa CHADEMA unafanyika mapema mwaka ujao. Mimi nawasihi Wana CHADEMA twende na Tundu Lissu tuachane na Viongozi wanaoendekeza RUSHWA ndani ya Chama. Tundu Lissu atakijenga Chama chenye weledi pasipokuwa na harufu ya Rushwa. Kama mgombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti ametajwa hadharani...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu kutimkia ACT Wazalendo kama watamletea fitna kwenye uchaguzi.

    Wanaukumbi. Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu. Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo. Chadema...
  17. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sababu tano za wanachama wengi kumhitaji Tundu Lissu kuliko Mbowe

    Hamjambo Watanzania! Ni dhahiri joto la uchaguzi ndani ya chama cha upinzani cha CHADEMA limepamba moto na katika ufuatiliaji wangu kwenye mitandao ya kijamii hususani Youtube,X na Instagram nimeona maoni ya wananchi na wanachama wengi wa kawaida wanamhitaji Lissu kuliko Mbowe. Kwa usanisi...
  18. JamiiForums Tanzania Watu kama Tundu Lissu hutokea mara chache sana Duniani. Tanzania imlinde ni Hazina ya Taifa

    Kidumu Chama cha mapinduzi. Nimeanza na salamu mapema ili ujumbe ufike vizuri kwa watu wote. Lissu ame na atasaidia sana Chama changu cha Mapinduzi. Ni kama kioo. Anahitajika mtu kama Lissu kuliko tunavyodhani. Ili nchi iendelee walitakiwa akina Lissu hata 5 tu tungekuwa sehemu flani pa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Dar: Henry Kilewo: Tunamhitaji Mbowe, Lissu Tunamjua na Mbowe Tunamjua

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho. "Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea"...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ajirekebishe kwenye suala la kujiamini sana

    Sina shaka TAL ni mtu mwenye akili na uwezo mkubwa sana. Akichaguliwa kuw M/Kiti CDM atawafaa sana na kuleta mageuzi makubwa. Changamoto niionayo kwake ni kujiamini sana. Kujiamini ni faida na hasara. Ni faida kwa sababu ana uwezo na akili kubwa katika kufanya mambo, lakini hii ni hasara pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…