tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki

    Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa CHATO DSM, Ghorofa ya pili. Kwa wanaotaka kuhudhuria mdahalo huo watume majina yao kupitia Whatsapp...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe: Mwenye ushahidi wa Rushwa CHADEMA alete, hakuna aliye msafi kama Mtume

    Wakuu "Tunakubaliana wote kwamba rushwa ni kitu kibaya, wala asitokee mtu akijifanya yeye ni mtakatifu sana kwamba yeye katika maisha haya ni msafi kama Mtume, kwamba wengine tu ndio wa rushwa, yeye ana haki na monopoly ya usafi kuliko wote si kweli" "Mimi kwasababu sina ushahidi, siwezi...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Hawa wanaongea uzushi uzushi kila siku kwenye vyombo vya habari baada ya Uchaguzi tutawashughulikia

    === Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii. Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa Lemma, Lissu na Heche endapo hawatashinda Uchaguzi huu kwani watalazimika kujiondoa CHADEMA kabla ya...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA wameendelea Kutoa Elimu kwa waandishi wa Habari

    Baada ya Jana Tundu Lissu kutoa Elimu kwa Mtangazaji Kijakazi Yunus wa CLOUDS TV kupewa Elimu na Makam Mwenyekiti wa CHADEMA, Leo Freeman Mbowe ameendelea Kutoa Elimu ya aina Hiyo na hapa ni azam TV https://www.instagram.com/azamtvtz/reel/DE6vkQ3Bufu/
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Lissu kusema hajui nilichozungumza na Rais ni Umbea

    Wakuu, Wakiwa kwenye vikao wanatabasamu na kucheza pamoja, wakitoka hapo ni spana kwa kwenda mbele! Ni huzuni! :PepeHands: :KEKLaugh: "Taarifa kwamba sikusema nilichozungumza na Rais ni umbea, na unapoona kiongozi mwandamizi kama kweli amesema..mimi sijasikikia ila kama kweli amesema...
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe: Tatizo la Upinzani ni kukosa uvumilivu wa kusubiri, Wabunge wakishapoteza Kipato

    Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema; "Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa watu kusubiri miaka mitano, kumi, ishirini. Wanapokuwa wabunge, kwa mfano, hakuna kipindi tumejua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Afrika unamhitaji sana Tundu Lissu kuwaambia ukweli Kagame na Museveni

    Enyi Wapiga Kura wa CHADEMA tuleteeni TAL kwa kuwa ndio mtu SAHIHI wa kuleta MATOKEO CHANYA ya kutuokoa Watanzania zidi ya UDIKTETA. Mkimrejesha mtatufanya wengi turejeshe nia ya kupiga kura 2025. Ni mtu sahihi wa kutetea wanyonge wa Afrika zidi ya MADIKTETA kama KAGAME na MUSEVENI kupitia...
  8. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Clouds Media, Wampiga Stop Tundu Lissu kutaja jina la Abdul kwamba alimpelekea Rushwa. Idrissa Rubibi na Daniel Naftari wadakwa na Pesa

    Maelezo ya Tundu Lissu *Mimi wanasema sina pesa. Na kama sina pesa sina pesa za kugawa. *Mimi sitoi Rushwa na Sipokei Rushwa. Nililetewa hapa kwenye Sebule hii na Abdul Mtangazaji: Mheshimiwa tunaomba tusitaje Majina. Tundu Lissu: Kwanini nisitaje kama vinaweza vikathibitika? Mtangazaji...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Bunda Mjini: Tutamfuata Lissu chama chochote kama atadhulumiwa

    Hakika Umma wa Watanzania na Mungu wa Mbinguni wako na Lissu, Mbowe ajitafakari sana kulinda heshima yake kidogo aliyosalia nayo atangaze kujiondoa tu kwa heri bila kukigawa chama
  10. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lissu ni hakika, Wenje na kundi lake isipokua Mbowe watahamia CCM, CHADEMA kitakua chama chenye nguvu sana

    Baada ya uchaguzi wa kesho kutwa. Na sababu kubwa itakayomuondoa Wenje ni kua tayari ameshawekwa wazi kubwa ni Project ya watu. Kama umesikiliza Hotuba ya Wenje na kudadavua mistari yake , Wenje kaamua kutumia Uongo mwingi akidhani anafanya damage. Msigwa na wengine walofukuzwa Kwa Hila...
  11. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mbowe, Lissu wasalimiana kibabe BAWACHA, huku wakicheza kwa bashasha wimbo wa "Tuvushe Mbowe Tuvusheee"

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Wote wawili wanamchuano mkali...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

    Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360, Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi. Yaonekana alikuja na...
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: Ona Shangwe la Lissu mkutano Mkuu BAWACHA

    === Katika hali isiyo ya kawaida Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA ) Taifa wameshindwa kujizuia na kuonesha hisia zao kwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu alipokuwa akiingia Ukumbini. Hakika LISSU Will Fix CHADEMA
  14. JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje: Peter Msigwa na Lissu walipanga kufanya mapinduzi kipindi Mbowe yuko gerezani. Mimi nilikataa kuwa muasi

    Wakuu, Mambo yamezidi kupamba moto CHADEMA. Kwenye Press conference ya leo amesema kuwa Lema na Lissu walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA wakati Mbowe yuko gerezani na kwamba yeye ni team Mbowe kwa sababu alikataa kuwa muasi ya mapinduzi hayo. Yaani Wenje ameamua kwenda...
  15. JamiiForums Tanzania Video: BAWACHA wamuunga mkono Tundu Lissu hadharani, wasema "Mabadiliko lazima"

    Tazama kundi la baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wakimuunga mkono Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hadharani, wasema "Mabadiliko lazima" wakiwa kwenye uchaguzi wa kupata viongozi wao. Pia, Soma: Tundu Lissu: BAWACHA kama...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Siwezi kutoboa kuanzisha chama kipya, hawataninikubalia kukisajili

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Tundu Lissu ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika chama hicho amesema hawezi kutoboa kuanzisha chama kipya kwa sababu wahusika wa usajili wa vyama vya siasa nchini hawawezi kukubali kutokana na kile kinachodaiwa kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu: Msigwa alienda kumsubiria Mwenyekiti Mahakama ya Kisutu alipoachiwa huru lakini hakumkuta, akashangaa kumuona kwenye TV yupo Ikulu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anasema siku ambayo Freeman Mbowe anaachiwa huru Mchungaji Peter Msigwa alienda na wanachama wa CHADEMA kumsubiria katika Mahakama ya Kisutu lakini cha kushangaza hawakumuona na baadaye walishituka kumuona akiwa ikulu na Rais Samia. Tundu Lissu anasema...
  18. JamiiForums Tanzania Lissu anafanya mahojiano Clouds Media muda huu

    Huyu MTU yuko Gifted sana na Uwanda mkubwa wa Maarifa na akili nyingi . Ninashauri, Waandishi wawe wanaandaa maswali yao kwanza, wasingoje majibizano na LISSU ndio yawape maswali. Pia LISSU awe anaitwa Kutoa Hotuba, yaan ahutubie akimaliza waulize maswali yao. Narudia kusema, kuhojiana na...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu: Mbowe aliitisha kikao nisitie nia ya kugombea uenyekiti, asema CHADEMA kimepoteza watu wa maana sababu ya 'kuatamia madaraka'

    Mgombea uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya 'mastori ya town' kusambaa anataka kugombea uenyekiti aliitwa kwenye kikao na watu watatu wanaoheshimika kwenye jamii, anasema kwenye kikao hicho Mbowe alisema hatagombea uenyekiti lakini pia alimkatalia Lissu asigombee nafasi hiyo kitu...
  20. JamiiForums Tanzania LIssu alikuwa kiongozi wa Chama cha Wanasheria wa Mazingira (LEAT), kimekufa baada ya Lissu na Nshala kufanya ubadhirifu, ndio apewe CHADEMA?

    LEAT ilikuwa ni moja kati ya taasisi kubwa sana, ikipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, kiasi kwamba ikawa na ofisi mikoani, pale Mwanza walikuwa na ofisi jengo la Nyanza ghorofa ya juu,. LEAT haikudumu. Lissu na Nshalla na mwenzao mmoja sasa marehemu walifyeka hela zote na kuingiza mifukoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…