tundu lissu

  1. Mbowe Amuita Tundu Lissu: Njama za Kisiasa Kabla ya Uchaguzi?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, Kamati Kuu ya Chama inatarajiwa kukutana tarehe 6 Januari 2025 kwa ajili ya kujadili masuala mawili makubwa: uvujishaji wa taarifa za ndani ya chama na tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu. Hii imeibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa...
  2. Binafsi nimeijua CHADEMA kupitia Zitto Kabwe, Halima Mdee na Tundu Lissu

    Nakumbuka nikiwa mdogo umri wa miaka 14 mwaka 2008 Machachari yake zitto ya kipindi kile,halima mdee (sauti ya zege) dokta slaa na Tundu lissu hao ndio walinifanya niijue CHADEMA. So CHADEMA imejengwa na watu wengi maana hata hao wote juu walionifanya nikaijua CHADEMA lissu pekee ndio kabaki...
  3. Catherine Ruge: Tumejenga BAWACHA ya kisasa Tanzania nzima hakuna Wajumbe naomba mnichague tena ili nishirikiane na Tundu Lissu kuipaisha CHADEMA

    https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ ==== Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa...
  4. PreGE2025 John Heche kumuunga mkono Lissu asema Lissu ni mkweli, muwazi na muadilifu sana

    == Mhe John Heche anasema yeye waziwazi anamuunga mkono Mhe Tundu Lissu kwa sababu ni mtu mkweli sana ni muadilifu sana na anachukia rushwa kwa moyo na nguvu zake zote. Mhe John Heche ilitarajiwa na wengi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa lakini baada ya Mhe Tundu...
  5. PreGE2025 Ezekiel Kamwaga: Tundu Lissu anaweza kuwa Dikteta mtarajiwa

    Baada ya Chadema kuupinga udikteta kwa miaka mingi, sasa wameamua kumkaribisha dikteta mezani kwao. Mpaka sasa anapingana na maamuzi ya kila kikao cha chama cha kidemokrasia, anasema yeye mwenyewe ataenda kupindua maamuzi ya chama hata kama vikao havitaki. Hapa ndipo chadema itapasuka kwa...
  6. K

    Hizi hapa sera zinambeba TUNDU LISSU kuchaguliwa uenyekiti chadema

    Sera za Tundu Lissu ndani ya CHADEMA zimekuwa zikijikita katika misingi ya demokrasia, uwajibikaji, utawala bora, na haki za binadamu. Hapa chini ni baadhi ya mambo makuu ambayo yameonekana kama sehemu ya msimamo na maono yake kwa chama na taifa: 1. Kuimarisha Demokrasia ya Ndani ya Chama...
  7. J

    PreGE2025 Nataka Lissu ashinde Ili akutane na ugumu aliokutana nao Magufuli kwenye kuongoza chama kilichojaa wala rushwa!

    Kila iitwapo Leo nazidi kumuombea Tundu Antipas Lisu ashinde KITI Cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa Nadhani atakutana na zaidi ya aliyoyakuta Shujaa Magufuli kule CCM na atakapoanza kulialia tutamkumbusha alivyokuwa anamsimanga Shujaa Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya 🌹
  8. CHISAYE: Mwenyekiti BAVICHA Taifa ajae ni Wakili Mahinyila kwa sababu anamuunga mkono pia Mwenyekiti wa Taifa ajae ambae ni Tundu Lissu

    JE UNAMJUA DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA? MAMBO 10 KUMHUSU MGOMBEA WA UENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA - TAIFA) WAKILI DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA. 1. Deogratias Cosmas Mahinyila, Ni Wakili wa kujitegemea wa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mahakama zilizo...
  9. Mimi na Mbowe tutapishana January 21, 2025. Kwaheri CHADEMA ya Mbowe

    Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo. Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo...
  10. M

    PreGE2025 Freeman Mbowe ashauriwa akichaguliwa amteue Tundu Lissu kwenye uongozi

    Ni takriban wiki 3 zimesalia pekee kushuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kukalia kiti cha Chama kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA. Kumekuwa na mpambano mkali kwenye mitandao ya kijamii hasa nani anafaa kuchaguliwa kuongoza chama hicho katika uchaguzi wa...
  11. KANDA YA PWANI: Mwenyekiti mstaafu wa Kanda hiyo Baraka Mwago amewataka wajumbe wote wa mkutano mkuu wamchague Tundu Lissu ili chama kisife

    Allahmdulillah! Nilipata heshima ya kuhudumu kwenye nafasi mbalimbali za chama chetu kuanzia nyumbani Mkuranga, kisha Uenyekiti wa Mkoa wa Pwani. Niliiongoza Kanda ya Pwani kwa miaka mitano wakati wa mawimbi makali ya mwendazake, na nikahudumu katika Kamati Kuu ya Chama kwa miaka 5. Kwa uzoefu...
  12. F

    Tundu Lissu anafaa sana kuwa mbunge au hata rais lakini sio kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM. Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
  13. J

    Je, Tundu Lissu ni mkweli kupita kiasi, au ni mropokaji?

    ..Huyu bwana ni mwanasiasa tofauti sana, na wa aina yake miongoni mwa wanasiasa waliokuwepo, na waliopo. ..Tundu Lissu ni mtu aliye moto muda wote. Hakuna kipindi yuko wa vuguvugu, au wa baridi. ..Ni mwanasiasa ambaye wasiomkubalana naye wanamchukia kupita viwango, na wanaokubaliana naye wana...
  14. M

    Mpambano wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu: Wajue wagombea hawa wawili

    Ilikuwa kama utani na ilianza tetesi kwamba Tundu Lissu ameamua kupambana na Mwenyekiti wake ili kumpata kiongozi mpya atakayekiongoza chama hicho kwa miaka mitano ijayo Sasa ni rasmi mafahali hawa wawili wameingia ulingoni ili kuamua ugomvi wao kupitia sanduku la kura. Freeman Mbowe...
  15. Kama Tishio ni Lissu, Mbowe angetafuta Mhusika mwingine agombee uenyekiti kisha amuunge Mkono, kwa usalama wa Chama

    Sabato Njema! Kambi ya Mbowe ingekaa ikatulia, ikatafakari, ikahesabu kila hesabu na chenchi zake. Hakika kama wangefanya hivi wasingemruhusu Mbowe Agombee tena. Ningekuwa kwenye hiyo Kambi, ningewashauri; "Tunahitaji Kambi yetu iendelee kuongoza. Sisi ni wamoja. Nasema uongo?" "Mbowe tayari...
  16. Mbowe ameongoza CHADEMA kwa muda mrefu sana kwa hiyo ampishe Lissu" Hoja ya kitoto kama nini

    Halafu unakuta mtu anae toa hoja hiyo anajiita msomi. Mnaendaga shule kukariri eti eeh? Mtu alie ongoza Chama kwa muda mrefu tena kwa mafanikio makubwa si ndio anatakiwa kuendelea kupewa nafasi ya kuongoza kwa sababu tayari ana experience? Na amesha prove kwamba anaweza. Mnataka learner wa...
  17. Kumbukizi: Mtifuano wa Tundu Lissu na Anna Makinda Bungeni. Nini cha kujifunza?

    Salaam Wakuu, Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda. Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza? Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu...
  18. Wakili Edward Heche atangaza kumuunga mkono Tundu Lissu aseme ni mtu pekee anayechukia rushwa kwa moyo na roho yake yote

    Mpaka Sasa Mawakili wote Tanzània bila kujali I tikadi zao wanamuunga mkono TUNDU LISSU,
  19. PreGE2025 Tundu Lissu afukuzwe CHADEMA haraka

    Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia. Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA. Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana...
  20. Olengurumwa atoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi

    Wakili maarufu na mwanaharakati wa haki za binadamu, Onesmo Olengurumwa, ameandika ujumbe wa kipekee katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, akitoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…