tundu lissu

  1. PreGE2025 Uropokaji wa Tundu Lissu ni kilema hawezi kubadilika. Tumkatae kabla hajaleta maafa

    Wafuasi wa Tundu Lissu wamekuwa wakimtetea huyu 'masia' wao kuwa ni mkweli, kanyooka, penye nyeusi anaita nyeusi, ni msafi. Lakini siku zinavyozidi kwenda inajidhiilisha Tundu Lissu sio mkweli bali ni mropokaji. Lissu anaropoka jambo lolote ambalo anahisi wafuasi wake watapenda kulisikia na...
  2. Kwa wanaompenda Tundu Lissu Mwambieni aache kuishi kama Celebrity maadui zake Kisiasa bado wapo

    Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na madaraka, Heshima na Urithi. Sasa unapofanya harakati kuna utakaowaumiza kwenye kusema, kutoa...
  3. M

    Uchaguzi CHADEMA na hatima ya kiti cha mwenyekiti

    Habarini wana jukwaa wa JF. Ni wiki chache sasa Zimebaki CHADEMA waingie katika UCHAGUZI wa viongozi wao wakuu wa chama.Hii ndio tafakuri yangu. 1)Lissu anaungwa mkono na idadi kubwa ya wanachama pamoja na wengine wasio wanachama,je hii inaweza kumfanya apate ushindi katika UCHAGUZI? 2)Mbowe...
  4. M

    Tundu Lissu atapigiwa hapa kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Uchaguzi wote kuwa live katika TV za nje na ndani. Hii ndio itampigia Lissu kisiasa. Hivi sasa team Lissu yote imeingia baridi
  5. Ommy Dimpoz: Dhambi zote za Rais Samia apewe Tundu Lissu

    Wakuu, Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, amezua utani wa aina yake leo Januari 7, 2025, wakati wa ufunguzi wa hoteli mpya katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar. Dimpoz, amesema itapendeza sana kama "dhambi zote za Rais Samia akipewa Tundu Lissu"
  6. Kama uchaguzi unaoendelea CHADEMA sio drama huu ni mtazamo wangu kwenye Lissu vs Mbowe

    Kuna kila dalili na ishara kwamba minyukano inayoendelea ndani ya CHADEMA imeratibiwa na kupenyezwa kwa mbinu za siri ili kukivuruga chama hiki ambacho kimsingi ndicho chama kikuu cha upinzani. Baada ya hali ya chama tawala kuonekana tete kuelekea uchaguzi mkuu 2025 hususan baada ya dalili zote...
  7. Ni Rahisi kuwaza MWISHO WA DUNIA ni Lini kuliko kuwaza Chadema bila Tundu Lissu nini hatima yake.

    with Due respect, Mbowe kubali kukaa pembeni ni kweli wewe ni mpambanaji hutakatai, muda wako umetosha,
  8. PreGE2025 CCM asilimia 95 tunamuunga Mkono Mbowe. Hatumtaki Lissu. Tunataka Mbowe agombee na Urais

    Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema. Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA. Lissu ni mtu asiyefaa...
  9. J

    Mbowe ni kama Hayati Membe alivyoitwa Joka la Mdimu na Mudhihir yaani hataki Lissu awe Mwenyekiti wala mgombea Urais na yeye hataki kugombea Urais

    Mudhihir alisema majoka Yana Tabia za ajabu sana Akatoa mfano wa Joka la Mdimu ambalo linazuia Watu wasichume ndimu wakati lenyewe halili ndimu Mbowe mbele ya Viongozi wa dini alikataa kugombea Uenyekiti wa chadema wala Urais wa JMT lakini hataki Tundu Lisu agombee hizo nafasi RIP Mudhihir...
  10. Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

    Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana. Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili...
  11. PreGE2025 CHADEMA: Huku Freeman Mbowe kule Tundu Lissu strength & weaknesses

    Kwenye Uchaguzi huu wa CHADEMA Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kuhusu Hawa wagombea wa uenyekiti. Freeman Mbowe STRENGTH 1. Hekima zake,mikakati,kujitoa kwake hata kiuchumi bado zinahitajika kwa CHADEMA na siasa za nchi hii 2. Uhakika wa kuto kununulika kwake kunafanya awe muhimu kuendelea...
  12. Z

    Sasa nimeelewa maovu mengi ya Mbowe kupitia Lissu

    Lissu Kaamua Kufichua Siri za Mbowe Rushwa Ubadhirifu wa fedha za chama, ikiwemo kukodisha chopa wakati wa kampeni Ubinafsi Udikteta Na mengine mengi
  13. Z

    PreGE2025 Tufanye hata Mbowe mwenyewe ampe kura yake Lissu, bado atashindwa tu

    Watanzania siasa siyo nyepesi kama mnavyodhani, lissu hawezi kushinda uenyekiti hata mbowe akimpigia kura Lissu, ila baada ya miaka mitano mnyika atakuwa Mwenyekiti na Lissu atakuwa amesajili chama chake.
  14. Haya makundi Manne yakimuunga mkono Tundu lissu , mapema uchaguzi 2025 anaingia Ikulu

    Nadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika. Haya makundi manne kama yataunganisha nguvu ni wazi uchaguzi 2025 ikulu panaingilika popote pale...
  15. Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

    Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu. Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara...
  16. PreGE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

    Wakuu Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma" Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa...
  17. PreGE2025 Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

    Wakuu Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji. Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea...
  18. PreGE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

    Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa. Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa...
  19. R

    PreGE2025 Sukuma gang hatuta-support CCM 2025, tutakwenda na Tundu Lissu

    Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo . Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo . Ni hayo tu .
  20. B

    Duh! Mkeka umechanika vibaya sana! Huku Tundu Lissu pale John Wegesa Heche!

    Kugombea nafasi ya umakamo mwenyekiti chadema kwa John Heche ili ni pigo kubwa na baya sana kwenye kambi ya Mbowe na vibaraka wake. Hakika wakati ni ukuta huwezi kushindana na wakati bahati mbaya Mbowe na timu yake hawakufikiria kuhusu wakati kuwakataa kuwa viongozi. Sasa ni rasmi mkeka wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…