tundu lissu

  1. TUNDU LISSU dhidi ya CCM +Mbowe+Chawa wa Mbowe +Vyombo vya Usalama Nchini !!.Nyuma ya Lissu Kuna nguvu ya KIUNGU !!.

    Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana . Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile. Silaha pekee alizonazo LISSU...
  2. P

    Je Lissu ni mbeba maono?

    Tundu Antipas Lissu ni mtu ambaye amekoswa-koswa sana katika siasa za nchi hii. Amenyimwa haki zake alipokuwa Mbunge, Amepigwa, amefungwa, ametukanwa na kumiminiwa risasi nyingi sana ili tu auawe. Lakini Mungu akasema, hapana. Lissu, bado nina ahadi naye. Ni ahadi ipi aliyonayo Mungu kwa TAL...
  3. Yanayomkuta Lissu ndio yaliyomsumbua sana Magufuli. Nadhani unaona jinsi mzigo ulivyo mzito

    Umuofia kwenu, ndugu, jamaa na mtanzania mwenzangu. Hakuna kitu kigumu kukubalika duniani kama Mabadiliko na mazoea. Hili mara nyingi linasababishwa na Woga wa kisichijulikana (fear of unknown and uncertainty). Kwasababu mwanadamu kaumbwa kuijua jana ambayo ni historia, leo ambayo ndio...
  4. PICHA: Tundu Lissu akiwa ameweka mkono wake juu ya Kichwa cha mtoto wa Shule. Imevutia Wengi!

    Picha ya Tundu Lissu akiwa ameuweka mkono juu ya kichwa na mmoja kumshika mkono mtoto wa shule iliyowavutia wengi.
  5. Tundu Lissu ni Magufuli aliyechangamka

    Shujaa Hayati Rais John Magufuli 2020 akiwa Ikungi jimboni kwa Tundu Lissu alikiri mbele ya Wazee wa Singida kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana wao Tundu Lissu lakini alikataa,kiuhalisia tofauti kubwa kati ya Hayati Rais John Magufuli na Tundu lissu ni majina na vyama lakini wote...
  6. PreGE2025 Tundu Lissu: Daftari la Wapiga Kura liandikishwe upya, majina mengi ni 'Marehemu'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amedai kuwa daftari la wapiga kura lina majina mengi yasiyo halali hivyo kutaka daftari hilo liandikishwe upya.
  7. PreGE2025 No Reform No Election yaingia Jimbo la Mtama, Wananchi wamtaka Nape atafute kazi ya Kufanya, nafasi yake ya Ubunge haipo tena

    Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Jimbo la Mtama, Ambako Ile No Reform No Election inafundishwa muda huu. Baada ya Mkutano kuanza wananchi waliomba Nafasi ya Kumfuta Ubunge Nape Nnauye kwa Tuhuma za kushiriki wizi wa kura karibu kila mwaka wa Uchaguzi tangu alipoasisi bao la mkono, Uamuzi wa...
  8. R

    Ushauri: Tundu Lissu kataa kupokea utukufu wa aliye juu, wewe ni mtu tu, Baki na unyenyekevu, utabarikiwa

    Salaam! Nichukue fursa hii kukupa ushauri ewe Tundu lissu, u mtu upendwaye sana na watu na Mungu, Lengo la mada hii ni kukustua uache kupokea utukufu wa aliye juu ya yote, Yesu Kristo. Nimeona wanawake wakivua kanga zao na vitenge wakivitandika chini, na wengine wamelala chini Ili upite juu...
  9. PreGE2025 Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge. Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani ya CHADEMA cha G55 chenye Malengo ya kukwamisha Kampeni ya no reforms no Election. Pia wanadaiwa...
  10. PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

    Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election. Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
  11. Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi

    Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
  12. PreGE2025 Kiuhalisia hatukumuelewa Hayati Magufuli, kwa sasa hakuna namna tumuelewe Tundu lissu . Wakati wa ukombozi ni sasa

    Kiuhalisia tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Tundu lissu ni majina na vyama lakini wote wawili ni wazalendo wa kweli . Hayati JPM aliumia sana masilimali za nchi zilipochezewa na alitamani sana kuona Tanzania ikisonga mbele , kwa sasa tuna Tundu lissu kimtazamo hana tofauti na JPM ...
  13. PreGE2025 TUNDU LISSU, wewe ni mwanasheria, Watia Nia G-55 Si lazima wagombee kupitia CHADEMA, wanataka kulitumia jina la chama Kwa Masilahi yao, WAFUKUZWE

    Vyama Nchi hii ni zaidi ya 10, Mkutano Mkuu ulikubali No Reforms, No Election. Inawezekana Mwenyekiti Mbowe na Genge lake walikua wanafanya Siasa za udalali Kwa Lengo la kuwafanya CCM wapandishe DAU zaidi . Kwa Lugha nyingine, zile kelele za kukushambulia huku Mbowe akisifiwa na kumwagiwa...
  14. P

    PreGE2025 VIDEO: Freeman Mbowe akitangaza agenda ya No reform No Elections, G55 Wanadhihirisha ule ulikuwa ni mchezo wa maigizo wa Mbowe

    Kuna wakati Watanzania tunaanza kuamini Freeman Mbowe alizungukwa na vijana hatari sana huku yeye akila na kulala nao. Kama wanavyojitambulisha hawa vijana wanaojiita G55 ni vijana toka team iliyojitanabaisha kuwa ni team Mbowe wakati wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA mapema mwaka huu. Kama...
  15. Ushauri : Tundu Lissu wafute uwanachama wajumbe 55

    Kwanza ni matapeli Mtu Kama yeriko na mrema ni watu wa kukisemea chama kweli kweli? Wahuni,!! Futa uwanachama wao haraka kabla hawajapokea pesa yao chafu Kuna tetesi wamevuta pesa nyingine Kama walivyovuta mwaka Jana na kufeli vibaya Project part two inaendelea Lissu na Heche msicheke na...
  16. S

    PreGE2025 Lissu yuko tayari kuumizwa na hata kufungwa jela kama Mandela na wapigania uhuru wengine

    Hii ndio point aliyofikia Liisu na Heche na pia anafanya jitihada kuwaandaa kisaikolojia wanachama na wafuasi wa CHADEMA nchi nzima juu ya hatari inayowakabili katkika kufanikisha agenda ya "no reforms, no election." Liissu anafahama kabisa ili kuiondoa CCM madarakani, ni lazima wawe tayari...
  17. K

    PreGE2025 Nayaona haya kwa Tundu Lissu na CHADEMA nikiwa kama 'political strategist'

    Nikiwa kama 'political strategist' nimetafakari na kuchambua hali ya siasa za upinzani hususani CHADEMA kuelekea uchaguzi Mkuu na nimeona yafuatayo: Kwanza ,nimeona kuwa upinzani wote watashiriki uchaguzi kikamilifu na kwa kiwango kikubwa. Hapa CCM haitakiwi kubweteka na wanajipanga kwa mbinu...
  18. PreGE2025 Wasaka Tonge, Mmemlazimisha Tundu Lissu Leo kutoa Siri ya kwanini Anapigania Mgawanyo wa Majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Mmewasanua CCM!

    Hivi hivi Ndugu zangu, Ukweli ni kwamba , Yale Mabadiliko ya Sheria za Vyama vingi mwaka 1992, yalipoondoa Sheria ya Ugawaji majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Kwa wakati ule wa Chama Kimoja, na Upinzani wa kawaida, Sheria hiyo iliondoshwa Si Kwa sababu Kura nyingi zilikua Mjini , La Hashaa...
  19. G

    PreGE2025 Hongera Lissu kwa kuleta mabadiliko ya Uongozi nafasi ya M/kiti ,utatosogeza mahali Ila bado CHADEMA inahitaji kiongozi kumalizia kazi

    Nilijizuia kulisema hili muda mrefu Ila niweke wazi maana naona inazidi kudhirika nilichokuwa naona kuhusu mh Lisu. Kiu yetu kubwa ilikuwa kwanza mabadiliko ndani ya chadema haswa nafasi ya juu ili kufanya Chadema kufanya kazi Kama mfumo sio one man show. Huo ni ushindi mkubwa kwa Lisu wapenda...
  20. PreGE2025 Tundu Lissu: Wanasema ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na tupo tayari kufanya hivyo

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu, amesema wako tayari kufanya ‘uasi’ ili kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu usifanyike. Lissu ametoa kauli hiyo leo, katika Mkutano kati ya Uongozi wa Juu na Wanachama wenye nia ya kugombea Uongozi mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…