tunafeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. biabia

    JamiiForums Tanzania Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

    Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana...
  2. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunafeli wapi juu ya watoto tuliowazaa

    Naongea hili baada ya kuachana na dogo wa miaka 22 kanifata nimpe ramani ya maisha kumdadisi kaniambia Baba na mama yake hawaishi pamoja kitambo. Baba Hana sauti kwa mama wa kambo akiomba msaada wowote wa kuendelezwa baba anamsikiliza mama wa kambo.Baba anasema Hana hela wakati watoto wa mama...
  3. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi Waafrika tunafeli wapi kabisa?

    Waafrika ivi tulivyo sisi ni mipango ya Mungu au ni upumbavu wetu tu. Unajua Mara nyingi najiulizaga. Hivi Hawa wenzetu weupe walimpa Mungu nini mpaka awabariki ivi. Au kuna Siri gani ambayo wanajua kuhusu ulimwengu huu lakini wanatuficha sisi watu weusi. Kila kukicha wao ndo wakuvumbuwa vitu...
Back
Top Bottom