tuna

A tuna (also called tunny) is a saltwater fish that belongs to the tribe Thunnini, a subgrouping of the Scombridae (mackerel) family. The Thunnini comprise 15 species across five genera, the sizes of which vary greatly, ranging from the bullet tuna (max. length: 50 cm (1.6 ft), weight: 1.8 kg (4 lb)) up to the Atlantic bluefin tuna (max. length: 4.6 m (15 ft), weight: 684 kg (1,508 lb)). The Atlantic bluefin averages 2 m (6.6 ft), and is believed to live up to 50 years.
Tuna, opah, and mackerel sharks are the only species of fish that can maintain a body temperature higher than that of the surrounding water. An active and agile predator, the tuna has a sleek, streamlined body, and is among the fastest-swimming pelagic fish – the yellowfin tuna, for example, is capable of speeds of up to 75 km/h (47 mph). However, greatly inflated speeds can be found in early scientific reports and still widely reported in the popular literature. Found in warm seas, it is extensively fished commercially, and is popular as a game fish. As a result of overfishing, some tuna species, such as the southern bluefin tuna, are threatened with extinction.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Taifa tuna hasara kubwa sana kama wanasiasa hawatajifunza baada ya kuwaharibia vijana wa Serengeti boys

    Guys Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake. Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu mibovu kwa kweli kama Taifa tuna hasara kubwa sana. Acha tu Nchimbi aitwe YUDA maana namba moja...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi tulionunua Viwanja eneo la Pembamnazi-Tungwi Songani tunahitaji hati zetu

    Kuna viwanja vilivyouzwa takribani miaka minne iliyopita na Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni katika eneo la Pembamnazi–Tugwi Songani. Hata hivyo, hadi sasa wananchi bado hawajapatiwa hati zao za umiliki. Kila wanapofuatilia ofisini, hawapati majibu ya kueleweka kuhusu ucheleweshaji huo...
  3. JamiiForums Tanzania Matajiri wa JF mnafujo sana hapa Dar ikija swala la magari! Ndio maana serikali inadhani wote tuna hela hawashushi bei za mafuta!

    Imagine Porsche 911, Ferrari Spyder, Lamborgini Urus, Mercedes Benz AMG G63, Bentley Bentayga na vichenji chenji kina VXR vikicruise mtaani kwa pamoja, mnaenda ChitChat meeting Coco. Sisi tupo around.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna import maji kutoka nje baada ya miaka 64 ya uhuru

    Hii chupa ya dripu ina nusu lita ya kimiminika aina ya ‘maji’. Lebo hapo inasema "0.9% w/v" Sodium Chloride (chumvi). Kwa kifupi, maana yake ni kwamba 99.1% ya hii chupa ni maji. Kwenye hii dripu ya 500 ml, kuna gram 4.5 ya chumvi. Kilichobaki 495ml ni maji. Haya maji yamekuja kutoka India kwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la Stendi ya Mabasi

    Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa eneo hili gari la taka haliji kwa wakati kubeba taka mpaka imekuwa kero. Mda mwingine inapita hadi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Wilaya ya Chemba (Afya) tuna mwaka hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu

    Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mpigi Kata ya Maili moja tuna mabomba ila hatuna maji

    Mimi ni Mkazi wa Mpigi Muheza Kata ya Maili moja! Tunachangamoto ya maji, tuna mabomba huu Mwaka wa 3 lakini kama unavyoona kwenye hiyo picha ndani ya miaka mitatu yote nimetumia Unit 28. Tuna muda mrefu hatupati maji tangu mwaka umeanza nimetumia kama unit 3 ambazo nimeshazilipa kwa huu mwaka...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuna maji mtaani mwezi mzima, idara ya maji Arusha (AUWSA) hawashughulikii

    Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa! Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane. Cha ajabu ni kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Tungekuwa tuna Rais tayari angekwisha kuja na majibu ya kina kuhusu mradi wa mafuta wa Tanga , na kwanini dangote kapeleka mombasa

    Napata picha Marais makini kama Mwl Nyerere ama Rais Mkapa, kwenye suala kama hili ambalo linawagusa wananchi moja kwa moja, lazima wangetoka mbele na kutupa ufafanuzi wa kina imekuwaje.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mama kashindwa🤦🏾‍♂️ sasa anasema hatuna demokrasia tuna “utamaduni”

    Kichekesho cha Mama Samia kusema eti demokrasia yetu sio kama yao inabidi ifuate utamaduni! Swali ni kwamba utamaduni upi? Utekaji, rushwa, demokrasia, wizi wa kura, undugu kazini ndiyo utamaduni wetu? Wakina Rutto wanakucheka wenzako tayari wana katiba nzuri na wanashindana kwa hoja!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Spika kichekesho kujaribu kumuelimisha Ruto kama eti tuna Demokrasia

    https://youtu.be/Pqc6iwqDZ_8?si=HiMSYksM92lL8jgJ Bunge linatia aibu. Rutto anajua kuhusu utekaji, wizi wakura, rushwa , upendeleo wa undugu na uzanzibari. Anajua kuhusu mauaji
  12. R

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Tuna madeni takriban milioni 100 yanayotokana na uchaguzi yakiwemo ya bendera na T-shirt

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema chama hicho kinna madeni takribani ya Milioni 100 yaliyotokana na kampeni za uchaguzi mkuu 2025. "Kuna mtu mpaka leo anatudaidai...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba

    Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba tunaambiwa kuna mabomba yanatakiwa kubadilishwa lakini ni hadithi. Imagine tuko magomeni kwenye eneo la ofisi usika lakini maji ni mtihani, je hii ni haki hatupati huduma ya maji?
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Tanzania tuna vitaasisi vingi, vinasumbua biashara

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema wingi wa taasisi za udhibiti nchini unachangia usumbufu mkubwa katika biashara na kuathiri ukuaji wa sekta hiyo. Prof. Mkumbo alisema hayo Machi 27, 2026, wakati wa mkutano wa uhakiki wa rasimu ya mpango wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ina Wanawake Wazuri na Warembo. Nimethibitisha

    Salamu na salamu za muda huu ni mimi kwa mara nyingine niliye mdogo kuliko ila ni mwingi wa hekima, busara, ucheshi wa faida na maarifa yaliyo mema ninawasalimu na kuwaandikia wakuu. Itikieni mmeisikia salamu. Ngoja nitembelee moja kwa moja kwenye mada km ilivyo ada km ambavyo kichwa cha mada...
  16. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM tuna matatizo ya kupata mbadala

    Wakuu, Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala "CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tuna mashaka sana na Elimu yetu kwa sasa.

    Naam, ashakum si matusi inauma lakini yaweza kuwa dawa. Zamani mtu akimaliza darasa la saba alikuwa anakuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazomzunguka, Naweza kuamini kwamba baadhi ya masomo kama vile Sayansi kimu,sanaa,michezo na kilimo yalikuwa ni sababu ya kuwaimarisha kimwili...
  18. JamiiForums Tanzania Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

    Kama umeweza kusoma mchezo wa hapa bongo kwenye designing ya hardware au software products kumejaa utapeli. Kwasasa kuna low quality work mno hasa kwenye kazi za mobile application, websites yaaani app au web ya mbongo utaijua tu nyingi zipo hovyo mno ingawa wahandisi wazuri wapo lakini...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Tunduru - Ruvuma tuna uhaba wa Watumishi wa Afya, tuliopo tunaelemewa na kazi

    Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya tuchukie kazi na lawama zote zinakuja kwa Watumishi wakati tunafanya kazi kwa mazingira magumu na...
  20. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mitaa ya Mbagala Kuu tuna kero ya takataka, ni zaidi ya miezi mitatu hakuna gari la taka

    Kero ya matakataka Mitaa ya Mbagala Kuu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hakuna gari la taka lilopita mtaani kwetu. Matakataka yamezagaa na ukizingatia sehemu za wazi ambazo Watoto wanacheza, Serikali ya Mtaa haijachukua maamuzi yoyote. Ni hatari kwa afya. Maeneo ya Mbagala Kuu ni Mitaa ya Mbagala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…