tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Indegazette: Tume ya Lila Yakabiliwa na Mtihani wa Kubaini Waliowezesha Vurugu za Uchaguzi Tanzania

    Jarida la Indegazette.be, katika makala yake iliyochapishwa Agosti 13, 2026, limeangazia Tume mpya ya Uchunguzi ya Tanzania inayoongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, likisema jukumu kubwa la tume hiyo ni kwenda zaidi ya simulizi za kisiasa na kubaini kwa ushahidi waliochochea, kushiriki na...
  2. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Tume ya kuchunguza ghasia za uchaguzi Kenya (Jaji Phipps Waki Commission) VS Tume ya Rais Samia(TZ) chini Jaji Chande/Lila

    ♦️Labda muuaji Samia na genge lake la wahuni wakisaidiwa na Chawa wao wa mitandaoni na huko kwingine wanaweza kuelewa vizuri na kuacha kuteka na kuumiza watu hovyo... Hebu tujadili kuhusu; Commission of Inquiry into the Post-Election Violence (CIPEV), chini ya Jaji Philip Waki (Kenya) VS...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Najaribu kupiga bajeti ya tume ya jana kutoka Namibia, Uganda na Tanzania

    Hypothetical budget Makamishina 6. Kila mmoja posho zooote....ie siting allowance, per diem, "salary "trànsport etc etc... yaani kama wabunge wanavyokula posho na mshahara......combine all.......1,500 USD per day per head Siku 150 x 1,500 per day x 6= 9,000,000 USD Roughly 9,000,000 USD for the...
  4. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA toeni kauli kupinga hii the so called Tume

    Silence means what? Consent? Tuanzie hapo
  5. JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  6. JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  7. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Tume kutoka nje na hali ya nchi zao

    Uganda ni typical banana Republic (Jamuhuri ya ndizi) isiyo na utawala wa Sheria (due process) inayoongozwa na familia moja baba akiwa Rais, mama waziri na mtoto wao mkuu wa majeshi mropokaji hovyo na kujiamulia mambo anavyoona inamfaa. Namibia ni nchi ya watu milioni 3, demokrasia changa...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimae Dunia imeanza kuamini na kutumia hizi Data za Tume iliyoundwa na Samia, na itaenda hivo vizazi na vizazi.

    Kitu pekee Samia anapambana na ccm kwa ujumla ni kutaka uongo uwe officialized na uwe documented. Na unajua madhara ya kua documented? Madhara yake ni kua hizo taarfa ndio zitakua Rasmi kwa vizazi na vizazi na zitakutumika kama reference. leo hii Dunian taratibu inaanza kutumia Data za watu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume za Rais Samia kuhusu 29/10 ni feki na hazisaidii chochote kwa sababu zinapewa kazi ya kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji yaliyofanyika

    Wanabodi Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta kuhalalisha mauaji ya 29/10 ili kuonyesha walikuwa na haki ya kuua watu kwa namna ile. Na sasa, kwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chadema toa TAMKO kuhusu hizi Tume zinazoundwa kuhusiana na mauaji ya 29.10.2026

    Huu ni mtegon mkubwa. Kujalalisha uovu.. Matais wa nchi zilizoleta majaji ni birds of the same feathers fly together! Uganda haina Independent judiciary, pia Namibia! Museveni ni dikitaita namba moka Afrika. Besigye anaozeamjela kwanuonevu kama Lisu.. Eti huyo atoe jJaji kuja kuona ukweli...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia hapa Kafeli kabla ya kuanza.. Eti tume imchunguze halafu impe ripoti🤣

    Watu wanadai kikundi kinachoteka na kupoteza watu alikiunda yeye ili kulinda kiti dhidi ya wapinzani wake wa kisiasa. RIP Polepole. Watu wanadai aliyetoa amri ya kupiga risasi za moto wananchi wanaoandamana ni yeye. Aliyeteua kiongozi wa tume huru ya Uchaguzi ambayo ndo iliharibu uchaguzi ni...
  12. JamiiForums Tanzania Tume ya Sayansi Yampa Mkopo wa Milioni 100 Mbunifu wa Helikopta Ili aendeleze Teknolojia.

    My Take Kuwe na Mfuko maalumu wa kuwawezesha wabunifu tuu na WA link na research centres . Kuna mwingine kule Njombe ameishia la saba ila ametengwdza mfumo wa umeme. Tukienda hivi tuswapita Iran.Kukariri vya wengine huko madarasani ni ku endeleza ujinga...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Tume ya Jaji Lila haina mamlaka ya kisheria kupeleleza jinai

    Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu...
  14. JamiiForums Tanzania UFISADI CHADEMA, wanachama wamemkalia Kooni John Heche wamuomba Msajili kuingilia Kati wamtaka Katibu Mkuu Mnyika kuunda tume ya kumchunguza

    Shalom Makamanda, Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni ushahidi kuwa Tume ya Jaji Chande haipashwi kuaminiwa and it deserves to be thrown in the dust bin

    Sikiliza ushahidi usio na mashaka kuwa that tume was a rubbish!
  16. JamiiForums Tanzania UFISADI: Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA kanda ya Kati Amshauri Mnyika kuunda Tume kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho

    John Wegese Heche akiwa bado ananuka Ufisadi wa pesa za Tone kwa Tone uliofanywa akiwa makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Kanda ya Kati, Aquilin Claud ameshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aunde tume ya kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa chama...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kusajili Local Content Tume ya Madini Kupitia LCCSR-MIS

    Wakuu wasalaamu. Naomba anayeweza au anayejua anisaidie kwenye kusajili local content Nimejaza taarifa zangu za Register kwa mfumo, ila sijapata hata email ya kuconfirm au kutengeneza log in credentials. Toka maombi yangu yapokelewe zimepita siku 3. Ningeomba anayeweza kusaidia kujua namna...
  18. JamiiForums Tanzania Kama grid ilitoka katika mazingira ya kawaida tume imeundwa ya nini Gerson Msigwa aache uongo

    Guys Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda. Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa kashakuwa chawa mwongo muongo Usije ukamwamini msigwa kwa lolote lile maana ameshiba na amejaa dharau.
  19. U

    JamiiForums Tanzania MWAMNYETO MWAMNYETO na kuitwa sisi WANAYANGA tume kusamehe rasmi!

    Leo tumeona uwezo wako
  20. JamiiForums Tanzania HATUA MPYA YA UDOM NA TUME YA TEHAMA KUANDAA WATAALAMU MAHIRI

    Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana na Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wameendesha programu maalum ya uhamasishaji kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Tehama, ikiwa ni sehemu ya kuwajengea uelewa kuhusu umuhimu wa usajili wa kitaaluma kwa wataalamu wa Teknolojia ya Habari na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…