Mjumbe wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, Balozi Radhia Msuya, ametoa ufafanuzi kuhusu idadi ya vifo iliyobainishwa katika ripoti ya tume hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Dar es Salaam, Balozi Msuya amesema idadi hiyo imezingatia taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi kama...
Kuna Tetesi,
Ameandika Maria Sarungi "Msishangae kesho mkisikia muumbe au hata mwenyekiti wa Tume ya Chande anaumwa yuko mahtuti!
Familia za hawa wajumbe wawe makini SANA! Mtakuja kuniambia"
Halima Somda - THRDC
Asasi za kiraia na taasisi za watetezi wa haki za binadamu 14 leo Aprili 27 zimekosoa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani wa Oktoba 29, 2025 wakitaka kuundwa kwa tume huru ya kimataifa na kuwalipa fidia waathirika wa vurugu hizo.
Tume hiyo inayoongozwa na Jaji...
Ripoti Tume ya Samia chini ya uenyekiti wa "Jaji Mstaafu" Othman Chande is full of self - contradictory statements and statistics of the number of deaths
Tunamshukuru Mungu wa mbinguni sana ktk Yesu Kristo kwa kuwa amewafumba macho na akili ili wakose ufahamu, wajichanganye na kisha waonekane...
Mh Rais walio kufa ni watanganyika je walijua ilo?
Je wangapi na ni ndugu zako?
Je ni Rais yupi aliwai kuwa Rais kwa mauaji ya watu hata 300?
Tanganyika?walikufa ni wengi kwa Nini usiqchei nchi?
Nipo ninalia nikimwaza clala masawe hata kwenye orodha ya chande hayupo.R.I.P clala
Nacheka kama mazuri Wakuu ila daaah ni zaidi ya kupewa za uso😂🤣
Eti jamani, si hata Chande angesema mirioni mirioni angalau hata tungeshawishika kidogo🤣🤣. Kweli jamani mtu akarisk na kupigwa risasi kwa alf 10?
Au ndo mshazoea mazombi ya sisiemu mnayowapa afsabasaba basi mkaona mkitutajia...
Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?
Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni kwambie tu mama mkubwa kilichotokea leo kimekoleza moto kwa Watanganyika, wataendelea kukubagaza sana...
"Lakini pia, Mheshimiwa Rais, kulikuwa na madai ya kuwepo makaburi ya halaiki. Kulikuwa na madai hayo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo kwa makaburi ya halaiki eneo la makaburi ya Kondo, Kunduchi, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Tume imefanya...
Wakuu
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Soma Pia: Jaji Chande: Kauli za wanasiasa kama 'No Reforms No Election'...
Hamjambo Wote!
1. Kilichotokea October 29 kiliingiza nchi yetu kwenye historia ngumu, mbaya na yenye maumivu yenye kumbukumbu za machozi ya damu.
2. Kwa wazee niliokutana nao wenyewe wanasema wao wenyewe tangu kuzaliwa hawajawahi kuona Hali na tukio la namna lile. Hii ni kumaanisha wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.