tume ya madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    Anthony Mavunde Apongeza Ushirikiano wa CRDB Bank na Tume ya Madini, Wachimbaji Wadogo Kupata Nguvu Mpya

    Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
  2. T

    Maswali ya usahili Tume ya Madini

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mwenye maswali ya usahili Uhandisi wa Uchimbaji Madini (Mining Engineering II) naomba anisaodie. Natanguliza shukrani.
  3. Mafyangula

    Mwenyekiti wa tume ya madini afanya ziara Ludewa, akabidhiwa jengo la ofisi ya madini na soko la madini

    Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dkt. Janet Lekashingo, amefanya ziara ya siku moja wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo ametembelea maeneo ya uwekezaji wa madini katika miradi ya Liganga na Mchuchuma. Katika ziara hiyo, Dkt. Lekashingo pia amekabidhiwa rasmi jengo la ofisi ya madini na soko la...
  4. W

    Tume ya Madini yazidi kunadi fursa za uwekezaji katika sekta ya madini

    Tume ya Madini imeendelea kunadi fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta ya madini kupitia ushiriki wake kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma. Akizungumza wakati wa kutoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la...
  5. W

    Simbachawene aipa Tano Tume ya Madini

    Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Simbachawene ameipongeza Tume ya Madini kwa kazi kubwa na yenye matokeo chanya katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali na kuchochea maendeleo ya Sekta ya Madini nchini. Akizungumza alipotembelea banda la...
  6. Lord Denning

    TRA na Tume ya Madini tunaomba uthibitisho/ushahidi wa kodi ya Bilion 42 iliyolipwa na Mgodi wa Makaa ya Mawe wa CCM uliopo Mkoani Ruvuma.

    Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
  7. Roving Journalist

    Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa Tume ya Madini: Zaidi ya Migodi 13,279 na Bohari za Baruti 164 imekaguliwa

    Jumla ya migodi 13,279 pamoja na bohari za baruti 164 zimekaguliwa nchini kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025. Hayo yameelezwa Mei 28, 2025 jijini Mwanza na Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa Tume ya Madini, Mhandisi Aziza Swedi, akizungumza kwa niaba ya Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Mhandisi...
  8. W

    Mhandisi Samamba awataka Watendaji Tume ya Madini kuendelea kuongeza ubunifu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuongeza ubunifu kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini hasa katika kuongeza ushiriki wa watanzania katika Sekta ya Madini kupitia shughuli za utafiti, uchimbaji, uchenjuaji na biashara ya madini sambamba...
  9. W

    Katibu Mkuu Wizara ya Madini Mhandisi Samamba awataka watendaji Tume ya Madini kuendelea kuongeza ubunifu katika sekta ya madini

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuongeza ubunifu kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini hasa katika kuongeza ushiriki wa watanzania katika Sekta ya Madini kupitia shughuli za utafiti, uchimbaji, uchenjuaji na biashara ya madini sambamba...
  10. W

    Wachimbaji Geita wampongeza Rais Samia kwa mafanikio makubwa ya sekta ya madini

    Wachimbaji na Wafanyabiashara wa Madini wa Mkoa wa Geita wamempongeza Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake. Hayo yamesemwa jana kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na wachimbaji hao katika eneo...
  11. Roving Journalist

    Dkt. Kiruswa: Sekta ya Madini imepiga hatua, naipongeza Tume ya Madini ukusanyaji maduhuli

    NAIBU Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Sekta ya Madini imepiga hatua kubwa. Dkt. Kiruswa ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 wakati akifunga Kikao cha Manejimenti ya Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma. Amesema, kutokana na...
  12. W

    Waziri Mavunde atoa siku 21 Tume ya Madini kupitia mfumo wa biashara ya madini ndani ya ukuta Mirerani

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, ameielekeza Tume ya Madini kupitia upya mfumo wa biashara ya madini ndani ya ukuta wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, ili kuja na pendekezo bora zaidi la namna ya usimamizi na uendeshaji wa biashara ya madini ya Tanzanite kwa lengo la kuongeza thamani ya...
  13. ChoiceVariable

    Hii ndiyo orodha ya Majiji, Manispaa, Miji na Halmashauri 65 zenye mzunguko mkubwa wa fedha ukianzisha biashara hapa, kutoboa ni lazima

    Ni vyema ikaeleweka kwamba pamoja na kwamba TRA ndio Ina jukumu mama la kukusanya Mapato ila Kuna taasisi pia zimekasimiwa jukumu Hilo pia.Baadhi ya taasisi hizo ni pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa,Tume ya Madini nk. Leo nitajadili Makusanyo ya ndani (Own Source) yanayokusanywa na Mamlaka...
  14. J

    Tume ya madini kuendelea kuwasaidia wasambazaji na wauzaji baruti

    TUME YA MADINI KUENDELEA KUWASAIDIA WASAMBAZAJI NA WAUZAJI BARUTI. Tume ya Madini imesema itaendelea kutoa ushirikiano na kuwasaidia wasambazaji na wauzaji wa baruti nchini ili wafanye shughuli zao kwa mujibu wa Sheria na kanuni za baruti zilizopo. Mkaguzi Mkuu wa Migodi Mhandisi Hamisi...
  15. Just Pray

    Rukwa: Tume ya madini kuimarisha usimamizi wa sheria kuinufaisha jamii dhidi rasilimali zake, ujenzi wa shule wachangiwa mifuko 50 ya Saruji

    Tume ya madini mkoani Rukwa imeenza utekelezaji wa kanuni na utaratibu za umiliki wa leseni ya madini na namna ya uwajibikaji kwa jamii ilikuhakikisha jamii inayozungukwa na shughuli za uchimbaji wa madini inayonufaika na shughuli hizo. Akitoa ufafanuzi wa namna sheria hiyo inavyo tekelezwa...
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Azindua Magari 25 ya Tume ya Madini

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI 25 YA TUME YA MADINI Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha usimamizi katika Sekta ya Madini hasa kwenye ukusanyaji wa maduhuli, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amezindua magari mapya 25 kwa ajili ya kusambazwa kwenye Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa sambamba...
  17. milele amina

    Tume ya Madini ni lini Vyama vya Wachimbaji Madini (FEMATA) vitafanya uchaguzi wa viongozi wake?

    Vyama vya Wachimbaji Madini (FEMATA) vitafanya uchaguzi wa viongozi wake lini? Ikiwa kuna mtu mwenye katiba ya FEMATA, tafadhali igawanye ili watu wengine waweze kupata taarifa muhimu kuhusu taratibu na kanuni za uchaguzi. Ni faida zipi za FEMATA kwa wachimbaji wadogo? Chama hiki kinawasaidiaje...
  18. Roving Journalist

    Wizara ya Madini, Tume ya Madini na BoT wakutana na Wadau kuhusu utekelezaji wa Kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123

    Ikiwa ni mkakati wa kujenga uelewa kwa wadau wa madini kuhusu utekelezaji wa kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123, leo Oktoba 04, 2024 Wizara ya Madini imeratibu mkutano wa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini uliofanyika jijini Dodoma ambapo elimu kuhusu utekelezaji wa sheria hiyo...
  19. Roving Journalist

    Wizara ya Madini yaendelea kutoa darasa la kutumia mfumo wa ‘Monorope System Winchi’ kutoa udongo kwenye mgodi

    Wizara ya Madini kupitia Tume ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni ya Kidee Mining Ltd wanaendelea kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo na wa kati wa madini wanaotembelea Banda la Tume ya Madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea kwenye viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma, namna ya kutumia...
  20. A

    DOKEZO Tume ya Madini inatoa leseni za wachimbaji wadogo kwa upendeleo na kisingizio cha kutokuwepo Bodi

    Hizi leseni mbona zinatolewa kwa upendeleo na maombi yetu yanaambiwa hayasikilizwi kwa kuwa hakuna board, wote wamestaafu huku wachimbaji wengine wakipewa leseni Waziri Mavunde hebu tusaidie na sie tuweze pata leseni tuendele na kazi sababu ukisema tusubiri board ipitishe inakuaje wengine...
Back
Top Bottom