Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauwaji ya Raia)
ACT Wazalendo tunalaani vikali tukio la mauaji ya kinyama dhidi ya Ndugu Juma Ame Ngwali, mwenye umri wa miaka 58, mkazi wa Kijiji cha Ndooni, Shehia ya Uweleni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Marehemu...