Mengi sana yanasemwa kuhusu mafanikio ya Mwendazake kama vile watangulizi wake hawakufanya lolote. Kimsingi JK amefanya kazi kubwa sana. Kimsingi amefanya hata kazi za awali kwa yale aliyoyakamilisha Mwendazake kama uwanja wa Terminal III, Daraja la Mfugale, Daraja la Kijazi, SGR na barabara...