tujadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    Tujadili; Mwanaume kamili unaruhusuje kupigwa na mkeo/mpenzi wako

    Kwa wanaome wanaopigwa na wake au wapenzi wao. Nini kinatokea mpaka mpaka mwanamke anakuwa na mamlaka ya kutoa kichapo? Mwanaume anakula mpole sana, hana nguvu wala uwezo wa kuhimili piga nikupige au ana huruma? Au anazingatia sana sheria hataki kufanya violence?! Naona ni kitu cha kushangaza sana.
  2. Troll JF

    Airtel wakifunga huduma zao kwenye sim Card yoyote wanakua na Kosa? Jibu hapana tujadili kidogo

    Naamini Jamii Forums ni kisima cha Maarifa ni kwamba huwa kuna Mkataba kati ya Airtel na Mteja hizi Agreement mara nyingi huwa ni ndefu na zimeandikwa kwa maandishi madogo lakini pia zinatumia Lugha za Kisheria ambapo watu wengi wanapuzia kuzisoma na ukikaa ukisoma kwa makini hizi agreement huwa...
  3. Q

    TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

    Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura. Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate? Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa? Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How. Je...
  4. Mshana Jr

    Kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanganyika nawaomba tujadili kwa undani hili jambo la maridhiano

    Tukijadili kwa kina na kwa mapana yake.. Pengine wahusika wanaweza kuamka usingini na kuelewa LAKINI kabla ya yote Polepole aliwahi kutuasa tusikubali MARIDHIANO YOYOTE baada ya uchaguzi mkuu wa 29 October 2025 Sasa wachambuzi wenye weledi na ufahamu mpana wanaweza kuja hapa na kutuchambulia...
  5. Lord Denning

    Tujadili pamoja: Kuna haja na faida tena ya kuwa na TISS nchini?

    Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3; 1. Kiuchumi 2. Kijamii 3. Kisiasa Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana...
  6. Econometrician

    Karibu tujadili fact za kisiasa: Kwa kujiweka katika viatu vya Rais wetu

    Tuanze na swali,Je political strategy aliyotumia kushinda uchaguzi huu ilikuwa sahihi au haikuwa sahihi?? na kwa nini? Maoni yako yazingatie fact zifuatazo;- 1.Dhamira ya mgombea ilikuwa ni lazima kushinda katika uchaguzi na kuendelea kuwa Rais; 2.Tukumbuke tayari alikuwa na model ya...
  7. N

    Kwa heshima na taadhima nawaita BAKWATA, TEC, KKKT, Wasabato, Manabii, Waanglikana na masheikh tujadili hotuba hii ya Mwalimu Nyerere

    Nawaomba sana ndugu zangu tusikilize hotuba hii kwa makini ili tuweze kujadiliana vizuri.
  8. MkuuXyz

    Jamani kuna Wakenya hapa tujadili football kidogo

    Sijukama niandike kwa English au Kiswahili anyways, nadhani niende Kikongoman , Hivi Majirani wa Kenya Mpo hapa nataka tuzungumze masuala na Mupira kidogo, Maana sisi wa Tanzania Hatujuagi Mpira tunataka nyie wataalam wa Mupira mtufunze kidogo, ili tukikutana kwenye fainali Tuweze Kukudinyeni...
  9. Knock life

    Tujadili suala la makaa ya mawe, iweje wananchi wa eneo husika wawe masikini ila magari yanasomba tu

    Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa . Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
  10. M

    CCM mtandao na CHADEMA masalia kuna muunganiko. Nadharia za HP. Tujadili

    Nimemsikiliza Polepole kwa umakini mkubwa inaonekana ameibua dhana ya CCM mtandao na Chadema Masalia yaani G 55 waliokimbilia Chaumma je kuna uhusiano wa dhana au narration hizi mbili polepole tuambie tujadili nini kilichopo.
  11. MGOGOHALISI

    GE2025 Tujadili bila Jaziba, Kwanini watia nia wengi "wasomi" wanashindwa kupenya kwenye kura za maoni CCM?

    Wakuu tujadili hii, Ni kweli Ukiangalia kwenye madiwani, wabunge wa majimbo na viti maalum wengi wanaoongoza kura za maoni ni standard 7 au wenye elimu za kawaida Je tatizo ni nini hasa kwa wasomi kupenya nafasi hizi? Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  12. S

    Ajali iliyoua watoto 5 huko Mbeya imenisikitisha sana; Lakini hebu tujadili mambo haya machache kiufundi kwa usalama wetu

    Kuna taarifa ya watoto waliokuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia huko mbeya kugongwa na bus na kupelekea vifo; Sipo hapa kulaumu mtu yoyote bali naomba tuelimishane mambo machache tu ambayo mimi kama fundi samico naweza kuwapa kama fundi. Kwanza kabisa swali la kujiuliza kila mmoja, wale watoto...
  13. Little brain

    Mungu yupi ni sahihi? Karibu tujadili

    Uchambuzi wa kina 1. "Kama Mungu ni mmoja mbona kuna dini nyingi?" Kihoja: Hili linauliza juu ya mkinzano kati ya dhana ya Mungu mmoja (monotheism) na uwepo wa dini mbalimbali duniani. Kiuhalisia: Dini hutofautiana kwa sababu ya tamaduni, historia, siasa, jiografia, lugha, na mapokeo ya watu...
  14. Lugano Edom

    TUJADILI CHANGAMOTO ZETU

    Una changamoto gani? Tukusaidie.. Popote pale nyumbani, kazini, n. K ANDIKA wapo wAtatuzi usiogope.
  15. Prof_Adventure_guide

    Tujadili kwa Umakini: Nani anateka na kwanini wanaotekwa ni wakosoaji wa utawala?

    Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari. Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku...
  16. Smile Digital Stationery

    Mimi sio mtabiri, ila hebu tujadili hili kuhusu Tundu Lissu

    Hello wana Jukwaa; Kama nlivyotangulia kusema kuwa mimi sio Mtabiri, wala mfuatiliaji wa siasa kiviile na sijui mengi katika mambo ya siasa. Ila mimi huaga hata katika maisha yangu ya kawaida, hupenda sana kuunganisha Dot kwa yale yalonitokea, niloyapitia na hunipa mwanga kuwa naelekea wapi...
  17. Knock life

    Uzi maalumu wa vijana tuliozaliwa mwaka 1995 tu , karibu tujadili njia za kuingia Ikulu pamoja kuteketeza mifumo yote ya kitapeli na unyonyaji.

    Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 . Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth" Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania . Kisiasa . Kijamii Kiuchumi Ikiwa wewe haujazaliwa mwaka 1995 Ila unataka kushiriki kutoa mawazo yako unakaribishwa.
  18. Nehemia Kilave

    Nadhani Siasa za 2025 zishakwisha tunapoendelea kupambania Maisha na Afya zetu tujadili hivi vifurushi vipya vya NHIF

    Habari jf , ni vifurushi vya Ngorongoro na Serengeti kwa kuanzia :- 1. Kuna dawa muhimu zimetolewa 2.Gharama zimeongezeka 3.kuna ukomo wa gharama zako za kutibiwa Nini kifanyike kuboresha hivi vifurushi na huduma za afya ?
  19. L

    Unaweza kuishi kwa bajeti ya 5000 hadi 10,000 kwa siku? Hebu tujadili!

    Maisha ni magumu, gharama za maisha zimepanda, lakini bado kuna familia zinazoishi na bajeti ndogo. Swali ni moja: Ukiwa na 5000 hadi 10,000 tu kwa siku, unaweza kupata milo mitatu kwa familia yako na ikatosha? 🤔 Hebu tuweke hali halisi mezani. Unaamka asubuhi na hiyo bajeti mkononi. Unahitaji...
  20. THE FIRST BORN

    Tujadili Simba ina ukubwa gani mbele ya Yanga

    Mpira ni Makombe na sio rekodi za points, Simba huo ukubwa mnaojipaga mbele ya Yanga mnautoa wapi? Hua najiuliza tu. My favourite player Ronaldo ana magoli Mengi kuliko mchezaji yeyote alie active now ila magoli yale tunashindwa kuyatetea bila Kombe la dunia bila Balon dor za kutosha mbele ya...
Back
Top Bottom