tshisekedi

Tshisekedi is a surname. Notable people with the surname include:

Denise Nyakéru Tshisekedi (born 1970), wife of Felix
Etienne Tshisekedi (1932–2017), Congolese politician and party leader
Félix Tshisekedi (born 1963), Congolese politician and president of the Democratic Republic of the Congo

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Joseph Kabila na hoja 10 dhidi ya utawala wa sasa wa DRC chini ya Tshisekedi

    OKOA CONGO: Kabila Amkataa Tshisekedi Kuhudumu kwa Muhula wa Tatu na Kuwataka Wananchi Wachukue Hatua Kuokoa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC): Hoja kuu 10 kutoka katika hotuba ya Rais wa zamani Joseph Kabila. 1️⃣ Kongo iko katika hatari ya kusambaratika...
  2. N

    JamiiForums Tanzania RAIS PAUL KAGAME, EVALIST NDAYISHIMIYE NA FELIX TSHISEKEDI NI MARAIS WENYE WELEDI SANA?

    Kufutia kifo cha anayedaiwa kuwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kuonekana akiwa na marais wa nchi mbalimbali za Afrika mashariki na ukanda wa kusini na hata akipiga nao picha ikulu za ajabu ajabu, Tofauti na wafanyabishara kama akina Dangote, Mo Mohamed akipiga picha na Rais wa nchi huwa za...
  3. R

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Rais Tshisekedi aita Mazungumzo ya Kitaifa kutuliza mivutano ya kisiasa, M23 wawekwa kando

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, ametangaza mpango wa kuanzisha mazungumzo ya kitaifa yenye lengo la kupunguza mvutano wa kisiasa nchini humo, ambao umeongezeka kutokana na muswada ambao wakosoaji wanadai unaweza kumuwezesha kutafuta muhula wa tatu wa urais...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi atua Tanzania kuimarisha uhusiano

    Rais Tshisekedi atafanya ziara ya siku 3 nchini Tanzania kuendelea Kuimarisha Uhusiano wa Kihistoria na Ushirikiano wa Kikanda Ujio wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, nchini Tanzania kuanzia Agosti 17 hadi 18, 2026, kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi amzawadia Jeep Lumumba wa AFCON

    Shabiki wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Michel Kuka Mboladinga maarufu Lumumba, amezawadiwa gari aina ya Jeep na Rais wa nchi hiyo, Felix Tshisekedi, kwa kuitangaza nchi hiyo kwenye michuano ya AFCON 2025. Lumumba alikuwa akisimama na kunyanyua mkono juu muda wote wa...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi (Uganda): Sitaruhusu Kabila awe Rais wa DRC

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema yupo tayari kumsaidia Rais wa sasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi kuendelea kubaki kuwa Rais na hatoruhusu kamwe aliyewahi kuwa Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila kuwa rais tena. Kupitia mtandao wa X...
  7. JamiiForums Tanzania Kukutana kwa Kagame, Tshisekedi kutamaliza mgogoro DRC?

    Wakati viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Rwanda wakikutana nchini Qatar kwa ajili ya mazungumzo ya kusitisha vita, waasi wa M23 wamegomea mkutano mwingine wa usuluhishi uliokuwa ufanyike nchini Angola. Viongozi hao, Rais wa DRC, Felix Tshisekedi na Rais wa Rwanda, Paul...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Rwanda Paul Kagame, akutana na rais wa DRC, Tshisekedi huko Doha, Qatar

    Ni mkutano ulioitishwa na amim bin Hamad Al Thani kiongozi wa nchi hiyo. Wenyewe wanajua walichokuwa wakikiongelea
  9. JamiiForums Tanzania Tshisekedi atakimbia nchi

    Dalili zote ni kwamba,huyu jamaa atakimbia nchi maana hana jeshi,ha hata sijui anafanya nini hivi sasa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Gen Makenga ajitokeza nje, atembelea askari wa fardc walioteka vitani- tunaenda kumfukuza Tshisekedi

    15 February 2025 Kivu DR Congo JENERALI SULTANI MAKENGA AJITOKEZA HADHARANI, NA KUSISITIZA NIDHAMU Jenerali Sultani Emmanuel Makenga ajitokeza na kutembelea askari waliotekwa wa jeshi la serikali la FARDC ambao, sasa wanapewa mafunzo ya kuondoa nidhamu mbaya waliyokuzwa nayo wakitumikia jeshi...
  11. JamiiForums Tanzania Tshisekedi amshutumu Joseph Kabila kwa kuwafadhili M23 ili kumpindua

    Fungua hii hapa: https://youtu.be/lElMstEAAww?si=0nAu1Paai2oo95i8
  12. JamiiForums Tanzania Hili ndio suluhisho la mgogoro wa Congo na Rwanda, kati ya Kagame na Tshisekedi

    Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua. Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo...
  13. JamiiForums Tanzania Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo

    03 February 2025 Dar es Salaam, Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC Dar es salaam kupokea marais wa nchi za sadc na eac kujadili mgogoro wa nchi ya dr congo Mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ilikuwa kosa kubwa sana Joseph Kabila kumuibia Tshisekedi ushindi wa urais Congo dhidi ya mshindi halali, Fayulu

    Uchaguzi wa Congo DRC wa mwaka 2018 ulikuwa ni fursa ya dhahabu ya Congo kurekebisha mambo mengi sana na kuipa nchi hiyo muelekeo sahihi wa kitaifa kwa mara ya kwanza ila uroho wa madaraka wa Kabila kulinda maslahi yake na kutoheshimu matakwa ya raia ukaikosesha Congo fursa hiyo. Katika...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: President Tshisekedi kuya Tanzania tuyajenge.

    Mr presidaa bounjour, Mr presidaa nayua Kiswahili inakusumbula sana, lakini nayua kuna batu yako ya karibu humu JF bataweza kukuelezea hii massage yangu kwako na utaelewa kila kitu ninachokwambia hapa. Mr presidaa ni wazi huko Goma mayi yameshinda bunga, hivyo weye na basodaa wako hamuwezi...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Upinzani DR Congo wapinga mabadiliko ya Katiba yanayoweza kumweka Rais Tshisekedi madarakani milele

    Vyama vya Upinzani vya DR Congo na Viongozi wa Mashirika ya kiraia mwishoni mwa juma walitangaza Muungano wa kupinga mabadiliko ya Katiba ambayo huenda yakamweka Rais Felix Tshisekedi Madarakani kwa muda usiojulikana. Muungano huo uliopewa jina la ‘Uamsho wa Kitaifa’, utafanya mkutano wake wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Congo, F. Tshisekedi, tumia mbinu za ujasusi za Netanyahu kupambana na ugaidi utafanikiwa

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada inakuja baada ya waasi wa M23 kuteka mji wa kalembe ambao ni muhimu kwao, unatoa nafasi kwao kufikia majimbo mengine kirahisi hasa yenye utajiri wa madini, kama tshobo, kivu kusini, na maniema. Alichofanya netanyahu wakati ana anza kupambana na hamas uko...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi adai Ruto amevuruga mazungumzo ya Amani kati ya Serikali na Waasi

    Rais Felix Tshisekedi amesema Rais wa Kenya, William Ruto amevuruga mazungumzo ya amani yaliyoanzishwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kati ya Serikali ya DRC na Makundi ya Waasi. Akizungumza katika mjadala wa hali ya DRC ulioandaliwa na Brookings Africa Security Initiative na Africa Growth...
  20. JamiiForums Tanzania Kagame: Tupo Tayari kumpiga Tshisekedi

    “We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….." Anaendelea kusema " Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…