trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Trump kaandika bonge la gazeti vita aliyoanzisha na wachina imemgeukia

    Mara ya mwisho Trump kuandika gazeti refu kama hili lini ?maana kalalamika sana humu😀 mpaka namuonea huruma Ubaya mwenzake Xi hayupo kwenye mitandao ya kijamii hivyo ni ngumu kujua hata anajali wala kuzingatia lalamiko la Trump.
  2. Mgogoro wa majimbo kuzuka US baada ya Trump kutuma majeshi ya jimbo la Texas kuvamia Chicago jimbo la Illinois?

    Kinyume na katiba ya nchi hiyo Trump amepeleka majeshi ya jimbo lingine(Texas) kafanya kile anachoita operation ya usalama wa raia katika jimbo lingine(Illinois) kwa madai ya ukosefu wa usalama uliopitiliza kiasi cha kuhitaji jeshi kuingilia. Gavana wa jimbo la California lenye uchumi mkubwa...
  3. Jinsi Marekani ilivyogeuka uwanja wa vita(warzone) chini ya Trump

    US ya sasa chini ya Trump ni mapambano na mshikemshike kila kona. Wanajeshi wamezagaa kila kona na silaha, watu wanakwidwa na kubebwa mzobemzibe sio poa.
  4. Hamas imejibu mpango Trump kumaliza vita Gaza, na kukubaliana sehemu kadhaa ikisema baadhi ya vipengele vinahitaji mazungumzo zaidi.

    Wanaukumbi. Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani. Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kusitisha mapigano Gaza, ikikubali kuwaachilia mateka wote wa...
  5. H

    Hamas Waridhia Mpango wa Trump wa Kukomesha Vita Gaza

    Hamas wametoa jibu kwa mpango wa Trump wa kukomesha vita Gaza. Hamas wamesema kuwa kimsingi wanakubaliana na mpango huo, wanachohitaji ni kujadili undani wa utekelezaji. Mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, unawataka Hamas kuwaachilia mateka wote ndani ya masaa 72 tangu wakubali, Israel...
  6. Trump awaambia New York hawatapata miradi ya maendeleo kutoka serikali kuu wakimchagua Mamdani wa Democrats kuwa meya

    Trump ni jiwe mtupu. Mkomunisti wa Jiji la New York anayejitangaza mwenyewe, Zohran Mamdani, ambaye anagombea nafasi ya Meya, atathibitika kuwa moja ya mambo bora zaidi kuwahi kutokea kwa Chama chetu Kikuu cha Republican. Atapata matatizo na Washington kuliko Meya yeyote katika historia ya Jiji...
  7. H

    India yaukubali mpango wa Trump wa kukomesha vita Gaza. Yataka Mataifa yote yaunge mkono

    Waziri Mkuu wa India, Modi, ameukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, na kusema kuwa mpango huo umegusa mambo yote kwa kina, na hivyo wahusika wote wanatakiwa kuuunga mkono kwani mpango huo unalenga kuleta amani, usalama na maendeleo kwa wapalestina, waisrael na Asia Magharibi yote...
  8. Hamas watakuwa Wapumbavu kama watakubali mpango wa Donald Trump kumaliza mgogoro wa Israel na Palestina

    Nimesoma huo mpango wa point 21 wa kuleta amani Palestina naona ni kama mtego kuwaachia mateka na kujisalimisha rasmi katika utawala wa kimabavu wa Israel. Eti Baraza la amani la mpito la Palestina litaongozwa na Trump na Tony Blair. Wapiganaji wa Hamas waweke silaha chini na kuwaachia mateka...
  9. H

    Trump atangaza mpango wa kumaliza vita Gaza, Netanyahu Aridhia, Nchi za Kiarabu na Kiislam Zaukubali.Hamas Wanatakiwa Kunyang'anywa Silaha

    Muda mfupi uliopita, Rais Trump na Waziri Mkuu Netanyahu, wameongea na waandishi wa habari kuhusu mpango wa kumaluza vita Gaza, wenye vipengere 20. Netanyahi amesema kuwa anaukubali mpango huo. Vipengere mujimu ni pamoja na: 1. Jumuia ya kimataifa ikishirikiana na wasomi wa kipalestina...
  10. Speech ya Trump United Nations ['Deranged', 'staggering', 'incoherent':]

    Hayo sio maneno yangu bali ni reaction za media across the world; Ingawa fikra zangu ni kwamba kama huu ndio muendelezo na huyu ndio Mwenyeji bora si wabadilishe sehemu za kukutana au kutumia muda huu kwenda likizo hata Ibiza kupunguza Stress !!!! Sababu UN imegeuka kuwa Uwanja wa Mipasho na...
  11. Argentina, Taifa pendwa la Elon Musk na Trump America Kusini lazidi kuzama kwenye mdororo wa uchumi, Trump apanga kulipa billion 20$

    Uchumi wa Argentina umezidi kufanya vibaya chini ya utawala wa Rais Javier na kuwa katika hatihati ya kuanguka kutokana na utawala mbovu wa Rais huyo hali inayopelekea Marekani kuandaa kitita cha dola billion 20 kuukomboa. Javier ni swahiba mkubwa wa Trump na mtindo wao wa uongozi na siasa...
  12. Kumbe Trump kamaliza vita vya DRC Congo na waasi,Rwanda!

    Kweli wazungu wana akili sana, mungu awabariki.
  13. Trump awaonya Wamarekani kutotumia Paracetamol, adai zinasababisha usonji(autism)

    Hili taifa kwa sasa linaongozwa na watu ajabu ajabu sana, yani Trump na Tanzania wa Afya/bush dokta RFK Jr sasa hivi ndio wako mstari wa mbele kutoa elimu ya afya. Sasa hivi wamekuja na kituko eti kwamba paracetamol zikitumiwa na wajawazito watoto wanazaliwa na usonji(autism)!
  14. Trump afungua milango kwa matajiri wenye $5Million kununua uraia wa Marekani

    Ni sera yake mpya aliyosaini leo ikiitwa Trump Gold Card, amesema hata Oligarchs wa Russia wanaruhusiwa kulipa na kununua uraia wa Marekani.
  15. D

    Naona Trump anaigeuza Marekani kuwa kama Ujerumani enzi za Hitler

    Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni kuwatuhumu Demos ambao wengi wanakuwa referred kama the lefts na kila baya anawatuhumu wao Zamani...
  16. Ningekuwa na uwezo na kuruhusiwa na mamlaka ningejenga sanamu kubwa la TRUMP, SHEIKH ZAYED na NETANYAHU

    Sheikh Zayed wa UAE. Trump wa US Netanyahu wa Israel
  17. R

    Utawala wa Trump yaagiza kuondolewa kwa baadhi ya maonyesho ya utumwa katika hifadhi za taifa

    Idara ya Mambo ya ndani ya Marekani imetangaza kuwa mabango yote ya maelezo kwenye hifadhi za taifa yapo chini ya ukaguzi, hatua inayokuja wakati wa utawala wa Rais Donald Trump ambao unadaiwa kujaribu kubadili namna historia na urithi wa Marekani unavyosimuliwa. Gazeti la 'Washington Post'...
  18. Trump akiri hawezi kumaliza vita vya uvamizi wa Russia Ukraine bila msaada wa NATO Ulaya

    Zile tambo za kumaliza vita kwa siku moja atakapoingia Ikulu alizowahadaha nazo MAGA Wamarekani sasa ni kama zimefika ukingoni baada ya karibia mwaka ukienda kuisha bila dalili zozote za vita kuisha zaidi sana akiwa amechezwa Shere na Putin! Sasa anasema kwanza hii vita sio yake ni ya Biden na...
  19. Trump anachofanya kuweka ngumu kupata visa ya Marekani na kuwasaka waamiaji haramu kupitia ICE yuko sahihi

    Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu wako watakaosema ni ngumu jibu ni kwamba hakuna kitu kirahisi Ukifuatilia habari ni kawaida kuona...
  20. Netanyahu na Trump watafanikiwa kujidanganya na kuidanganya dunia?

    Najua kuwa manazi wengi wanaoshangilia uhayawani na ukatili vinavyoendelea mashariki ya kati. Jana, Netanyahu aiishambulia Qatar, kikaragosi kama yeye cha Marekani. Leo, imeshambulia Yemen, mwiba kwa wote wawili. Je, mazwazwa na wahuni hawa wawili watafanikiwa kujidanganya na kuidanganya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…