trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Minnesota Mji Uliojaa Wasomali, Kiasi cha kuhatarisha Usalama wa Marekani, Trump Awapelekea Moto

    Kwa sasa kuna mvutano mkubwa Minnesota kati ya jamii ya Wasomali (ambayo ni karibu 80,000 wenye asili ya Kisomali) na serikali ya shirikisho na ya jimbo. Hii imetokana na madai madhubuti ya udanganyifu mkubwa wa fedha za umma pamoja na hatua za Rais Donald Trump kuongeza ukaguzi wa uhamiaji na...
  2. Serikali iliyoshinda kwa 98% inatembea mitaani na ulinzi mkali tena baada ya doria kali inazidi hadi ulinzi wa Trump aliyeshinda kwa asilimia ndogo

    Serikali iliyoshinda kwa 98% inatembea mitaani na ulinzi mkali tena baada ya doria kali inazidi hadi ulinzi wa trump aliyeshinda kwa asilimia ndogo. Tukutane #D9 wakati ambao watakimbia hii nchi. kuthibitisha wizi wao Kuna vijana wangapi wamekamatwa hovyo kabla ya ziara ya mwigulu mitaani ...
  3. Trump kuzuia nchi za dunia ya tatu kuingia Marekani

    Kutoka kwenye andiko lake refu kwenye ukurasa wake wa X(twitter) Rais wa US, Donald Trump, amesema atazuia watu toka nchi za dunia ya tatu(third world countries) kutoingia Marekani mpaka pale mifumo yake ya uhamiaji itakapokaa sawa. "I will permanently pause migration from all Third World...
  4. Trump afuta Mkataba na Kenya wenye thamani ya KSh7.4 Bilioni uliosainiwa na Biden na Ruto

    Nov 24, 2025 Kenya imekuwa miongoni mwa walioathirika zaidi, huku thamani ya kandarasi za Marekani zilizofutwa hadi sasa ikizidi takribani Shilingi (za Kenya) bilioni 108. ======== Kenya has been among the hardest hit, with the value of cancelled American contracts now exceeding Sh108...
  5. Viongozi wa Dunia Wacheka Kutokuwepo kwa Trump, Ramaphosa Asifiwa G20 kwa maandalizi mazuri

    Viongozi wa dunia wakicheka kwa urahisi kutokana na kutokuwepo kwa Trump na kumpongeza Ramaphosa kwa maandalizi mazuri ndivyo Mkutano wa G20 ulivyohitimishwa jijini Johannesburg. Rais wa Afrika Kusini alikataa kukabidhi uenyekiti kwa naibu balozi wa Marekani. “Afisa mwenzake kwa kiwango sawa”...
  6. R

    Kwwli Trump hana interest na TZ?

    Mauaji haya nilitegemea ayasemee kidogo
  7. L

    Watanzania puuzeni babari zinazotolewa na CNN, kwa sababu ni chombo ambacho hakiaminiki na kimeshutumiwa sana na Donald Trump

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambia ya kuwa kaeni Makini sana na habari na taarifa zinazotolewa na CNN ya Marekani. Kwa kuwa ni chombo ambacho kimekuwa kikitumika kufanya propaganda na kutoa taarifa zenye kuleta taharuki ,kuchafua watu, taasisi, Nchi,jumuiya na hata vyama vya kisiasa...
  8. Prince wa saudia Ana nguvu gani mpaka Trump ampe heshima kiasi hiki

    Jana mtoto wa mfalme wa Saudi Arabia walikutana na Trump ikulu oval office ya white house Amekaribishwa kwa uzito sana kupita hata Marais kama wa ufaransa, Ukraine na nchi zote za Africa. Hata hivyo ameahidi kuwekeza dollar trillion 1 za marekani nchini humo. Hizi pesa atazinyea wapi kama tu...
  9. Nicki Minaj anatarajiwa kuhutubia Umoja wa Mataifa kwa niaba ya utawala wa Trump

    Huu ni ushirikiano ambao hakuna aliyewahi kutarajia … Nicki Minaj anashirikiana na Utawala wa Trump kuhutubia Umoja wa Mataifa. Msanii wa “Anaconda” anaripotiwa kuungana na Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Mike Waltz, kutoa hotuba Jumanne jijini New York, ikilenga kuangazia ukatili...
  10. F

    Hili la kutokuhojiwa ushindi wa rais mahakamani, ni upumbavu mkubwa. Trump alipelekwa mahakamani, Olmert wa Israel, Sarkozy, Park Gen-hye, soon Bibi"

    Hawa viongozi wa Tanzania wanajifanya miungu mtu, eti hata waibe vipi hawawezi kushtakiwa mahakmani,, na matokeo hayawezi kupingwa mahakamani! Huo ni upumbavu mkubwa unaorudisha demokrasia nyuma na kuwafanya marais wa Tanzania sawa na miungu. Mahakamani ni mahali pa kutafuta haki, sasa...
  11. Mpango wa Trump kuwa Rais kwa awamu ya tatu wazidi kusukwa na MAGA

    Mmojawapo wa wanamkakati wakubwa na wa kwanza wa MAGA , Steve Bananon ambaye pia amewahi kuwa mshauri na katibu mkuu kiongozi katika utawala wa Trump anasema kwa namna yoyote ile Trump lazima awe Rais katika kipinde kingine cha tatu kuanzia 2028. Steve Banon ansema kuna njia na fursa nyingi za...
  12. Trump ataka idara ya sheria ya serikali ya Marekani imlipe mamilioni ya dola kwa usumbufu wa uchunguzi na kesi dhidi yake

    Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
  13. Musk amtolea povu waziri wa uchukuzi US kufuatia mpango wa serikali ya Trump kui-DOGE na kuindoa NASA kuwa shirika huru

    Elon Musk amewatolea povu waziri wa uchukuzi wa Marekani Sean Duffy na serikali ya Trump kufuatia mpango kutaka kuiweka NASA chini ya waziri wa uchukuzi au kama mojawapo ya wizara tofauti na ilivyo sasa kama shirika huru linalojitegemea. Waziri huyo wa uchukuzi amesema pia SpaceX inafanya kazi...
  14. Trump aposti video clip akiwanyea waandamanaji vichwani

    Rais wa Marekani amewajibu waandamanaji wa Hakuna Wafalme Marekani kwa kuposti video akiwa ndani ya ndege akiwanyea mavi waandamanaji waliokuwa katika maandamano hayo.
  15. Trump aendelea kuwatia nyavuni wakosoaji wake, John Bolton ashitakiwa kwa makosa ya ujasusi na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri

    Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
  16. Rais wa Marekani Donald Trump awaonya tena Hamas

    Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
  17. Donad Trump aidhinisha CIA waanze kazi nchini Venezuela baada ya Maduro kusema hatakubali kufanyike mabadiliko ya uongozi

    Raisi wa Marekani Donald Trump ameidhinisa idara ya Ujasusi ya Marekani CIA kuanza mchakato wa kuuondoa utawala wa raisi wa Venezuela Nicolas Maduro, baada ya kiongozi huyo kukataa kufanywa mabadiliko hayo ya uongozi nchini humo au "Regime Change". Neno "Regime Change" huja baada ya maslahi ya...
  18. Magaidi wa Hama lazima wasalimishe silaha zao ama sivyo tutawalazimisha-Donald Trump

    Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vita huko Gaza na kuwaachia mateka wote walio hai kinachofuatia sasa ni kusalimisha silaha zao kwa Amani wakikataa tutawapokonya kwa nguvu-Donald Trump "Mytake" Huo ndiyo mwisho wa Hamas!!! Wanajuta kwa nini Oct 07,203 walivamia Israel!!
  19. Watanzania kushambulia page za white house na Trump sio jambo zuri

    TCRA wanamuandama sana Mange kimambi. Uchafu wa serikali anaopost badala ya serikali kuufanyia kazi ,TCRA wabapambana account ya Mange kufutwa. Mange ameamua kumobilize followers wake kushambulia page za white house na za Rais Trump uko Instagram. Aisee serikali na Samia wanakaangwa kwenye...
  20. Donald Trump: Sidhani kama nitaenda Mbinguni

    Rais wa 47 wa Taifa la Marekani, Donald John Trump (79) ameeleza mashaka yake ya kuingia mbinguni ambapo amesema hana hakika kama kuna kitu kinachoweza kumfanya aingie mbinguni ila ana uhakika amesaidia maisha ya watu wengi. Trump alisema hayo akijibu swali la mwandishi wa habari aliyemuuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…