trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Marekani kuanza kusitisha ufadhili wa fedha kwa WHO ndani ya siku 30 zijazo

    Rais wa Marekani Donald Trump ambaye anakabiliwa na uchaguzi mkuu mwaka huu ambaye amekosolewa jinsi anavyotatua ugonjwa huo nchini Marekani , amelaumu China kwa kujaribu kuziba mlipuko huo na kuilaumu WHO kwa kushindwa kuiwajibisha China. Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kwamba...
  2. Trump asema Marekani kuwa na wagonjwa wengi wa Corona ni heshima ya kwamba vipimo vyetu viko vizuri

    Rais Donald Trump amesema ni '' ni heshima '' kuwa Marekani ina idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya corona duniani. ''Ninalitazama suala hili kama heshima fulani, kama jambo zuri kwasababu inamaanisha kuwa vipimo vyetu viko vizuri,'' alieleza akiwa Ikulu ya Marekani. Marekani ina watu...
  3. CORONA USA: Rais Trump asema anatumia dawa ya Hydrocychloroquine kujikinga na ugonjwa wa Corona, kinyume na ushauri wa wataalam wa afya

    Rais Donald Trump amesema yeye anatumia dawa ya malaria kujilinda dhidi ya ugonjwa wa COVID19, licha ya onyo kutoka kwa serikali yake mwenyewe kwamba inapaswa kutolewa tu kwa ajili ya COVID-19 hospitalini ama katika mazingira ya kiutafiti kutokana na athari mbaya ambazo zinaweza kusababishwa na...
  4. B

    Hotuba ya Rais Magufuli Mei 17, akili za kuambiwa changanya na za kwako

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada itifaki yote imezingatiwa. Hapo jana huko Chatto mheshimiwa akitujia mubashara tokea kanisani, mbona ametuachia mengi fikirishi? Yeye mwenyewe aliurejea ule usemi maarufu wa mzee wa msoga kuwa, "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako." Tokea Chatto...
  5. P

    Janga la Corona: Trump asema kuwe na chanjo au kusiwe na chanjo Marekani kufunguliwa

    Rais Trump amesema kuwa iwe chanjo imepatikana au haijapatikana Marekani lazima ifunguliwe ili shughuli zirudi kama kawaida Trump ameahidi pia kuwa mpaka mwisho wa mwaka huu chanjo ya ugonjwa huo itakuwa ipo tayari, ingawa wataalam wengi wana wasiwasi kama muda huo ni sahihi...
  6. Trump atishia kusitisha uhusiano na China

    Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kusitisha mahusiano na China kutokana na dhima ya taifa hilo katika kusambaa kwa virusi vya corona ambavyo hadi sasa vimesababisha vifo vya zaidi ya watu 300,000 duniani. Katika mahojiano yaliyorushwa jana Alhamis Rais Trump amerejea shutuma zake dhidi...
  7. Obama aanza kumlaumu Trump kwa kushindwa kulikabili janga la Corona. Asema Trump anaishughulikia Corona kama janga la machafuko

    Donald Trump, Rais wa Marekani BARACK Obama, Rais Mstaafu wa Marekani, amemtuhumu rais wa sasa Donald Trump kwamba ameshindwa kuukabili ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Amesema, mbinu anazotumia Trump kukabiliana na...
  8. Trump: Tunafungua nchi watu wafanye kazi waondoe hofu wanawe na waepuke mikusanyiko

    "Watu wanataka kazi ziendelee, tunaondoa lockdown na tutafungua uchumi wetu kwa njia zilizo salama,Watu wataendelea kuosha mikono na kuepuka mikusanyiko, uchumi wetu utarudi kwa nguvu zote, hakuna Nchi yoyote Dunia ya kutukaribia kiuchumi hata China”-TRUMP
  9. Trump asema kama kufa na tufe, lazima tuifungue nchi kuokoa uchumi

    Baada ya uchumi wa Marekani kudorora kutokana na lockdown, na pia baada ya kugundulika kwamba huu ugonjwa ndio kwanza unaanza Marekani, na kwamba hauta ondoka hata baada ya mwaka, pia kutokana na watu kuendelea kufa pamoja na kuwepo lockdown, Trump na jopo lake wanatarajia kufanya maamuzi ya...
  10. M

    Trump is under Pressure as US records deaths of more than 65,000 from Covid-19

    Donald Trump is certainly having his worst moments now as President of the United States. Every day that breaks, people keep dying in hundreds. He is being accused of incompetence and calls are mounting up for his resignation. The call for his resignation gained momentum when the death toll...
  11. Magufuli na Trump wanavyofanana

    1. Wote hupenda kutupia lawama Kwa waliowatangulia Ikulu. Kikwete na Obama. 2. Wote walijitapa kujiandaa na janga la Corona..vizuri na matokeo ni kinyume.. 3. Wote waliudharau ugonjwa Kwa kuuita ni mafua tu.. 4. Wote hawapendi lockdown..Trump hadi anabishana na Magavana wake 5. Wote...
  12. Trump kutoongeza muda wa kujitenga

    Wakati Shirika la Fedha Duniani likiendelea kutangaza kuridhia fedha za dharura za kukabiliana na janga la corona, rais Donald Trump wa Marekani anasema hatoongeza muda wa miongozo ya watu kujitenga. Pamoja na kukabiliana na upinzani kutoka pande tofati za taifa hilo, Rais Donald Trump wa...
  13. Trump ataka shule za umma kufunguliwa

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema serikali za majimbo nchini humo zinapaswa kufikiria kufungua shule za umma licha ya hofu ya usalama wa kiafya inayowakodolea macho wanafunzi kutokana na janga la virusi vya corona. Rais Trump alitoa kauli hiyo katika mkutano wa njia ya simu kwa magavana...
  14. Trump: Kama nisingekuwa Rais, Tungekuwa kwenye vita na North Korea

    Nilikuwa naangalia hotuba ya Trump leo usiku kupitia CNN, Trump ameishutumu China kwa kusema walifanya uzembe na kusababisha virusi vya Corona kusambaa Duniani. Amesema Marekani inafanya uchunguzi mkali ili kubaini ukweli juu ya China kusambaza kwa makusudi virusi hivyo kwa Dunia. Ila kauli...
  15. Rwanda na Ethiopia waomba msaada Marekani kupambana na corona, Trump aahidi kutoa msaada

    Wenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao. Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
  16. M

    President Donald Trump: This wasn't just Flu by the way, USA was attacked

    United States President Donald Trump today termed coronavirus an “attack” on the country saying nobody has ever seen anything like this. Washington: President Donald Trump believes that coronavirus is an attack on the United States. Talking to reporters the US President said the US was...
  17. Coronavirus: Outcry after Trump suggests injecting disinfectant as treatment

    US President Donald Trump has been lambasted by the medical community after suggesting research into whether coronavirus might be treated by injecting disinfectant into the body. He also appeared to propose irradiating patients' bodies with UV light, an idea dismissed by a doctor at the...
  18. M

    Mimi Ni Mtanzania ila Trump akishindwa uchaguzi wa November, nitafurahi na kushangilia kuliko hata Wamarekani wenyewe

    Kwa kweli Huyu Trump tokea aingie madarakani amekuwa tishio kwenye mradi unafadhiliwa na Marekani katika Taasisi ninayofanyia kazi kwa Sasa, na Mara kadhaa ametishia kusitisha mradi huo ingawa tumekuwa tukiponea chupuchupu Tena kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Mimi Ni miongoni mwa watu...
  19. Mkuu wa Taasisi inayotengeneza chanjo ya Corona adai kushushwa cheo baada ya kupinga matumizi ya Chloroquine ambayo Rais Trump amekuwa akihimiza

    Mkuu wa Taasisi inayotengeneza chanjo ya #COVID19 Dkt. Rick Bright amesema ametolewa katika nafasi hiyo baada ya kupinga tiba ya Chloroquine ambayo imepewa kipaumbele na Trump Dkt. Bright amesema amepewa cheo cha chini kwenye Taasisi ya Kitaifa ya Afya na anaamini uhamisho huo umetokana na yeye...
  20. Trump asema magonjwa ya akili yanayosababishwa na msongo wa mawazo kwa amri ya kutotoka nje yameongezeka Marekani

    Trump amesema kuwa kuendelea kuwafingia watu ndani ni kuwaua zaidi kuliko CORONA yenyewe Watu wanaopiga namba za dharua imepindukia alisema Trump Trump amesema wataandaa muongozo wa kukabiliana na janga hili alhamisi hii atatangaza namna ya watu watavyokabiliana na hili janga huku amri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…