trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. China yamuonya Trump juu ya ushuru, yatishia kulipiza kisasi

    China umeuonya utawala wa Trump siku ya Jumanne dhidi ya kuzidisha mvutano wa kibiashara ikiwa itarejesha ushuru kwa bidhaa zake mwezi ujao, na kutishia kulipiza kisasi dhidi ya mataifa ambayo yanaingia mikataba na Marekani ili kuiondoa China katika minyororo ya usambazaji. Washington na...
  2. Trump aahidi kuipatia silaha Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema Jumatatu kwamba Marekani itatuma silaha zaidi nchini Ukraine. Wiki iliyopita , Pentagon ilitangaza kuwa inasimamisha usambazaji kwa Ukraine, na msemaji wa White House alielezea Jumatatu kwa nini ilifanya hivyo. "Tutawatumia silaha zaidi. Tunahitaji kufanya...
  3. Brics yaanza kulia lia kumlilia Trump. Nimeshangaa maneno ya Ramaphosa. Asema wao hawataki kushindana na yeyote

  4. Wataliban wa Mbagala basi wakiona hii picha wanapepesuka balaa

  5. Trump: Elon Musk ametoka nje ya reli Trump: Elon Musk ametoka nje ya reli

    Rais wa Marekani Donald Trump amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo. Trump amemtaja bilionea huyo na mfanyabiashara wa makampuni ya SpaceX na Tesla kuwa ni mtu aliyetoka kwenye reli...
  6. Mataifa ya BRICS kukemea ushuru wa Trump

    Viongozi wa kundi la madola yanayoinukia kiuchumi ulimwenguni – BRICS wanakutana mjini Rio de Janeiro kuanzia Jumapili. Wanatarajiwa kukashifu sera kali za kibiashara za Donald Trump. Mataifa hayo yanaoinukia kiuchumi ambayo yanawakilisha takriban nusu ya idadi ya watu duniani na asilimia 40 ya...
  7. Trump asema Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kujilinda

    Rais wa Marekani Donald Trump alisema Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kwa ajili ya ulinzi wake, baada ya kuzungumza na Rais Volodymyr Zelensky siku ya Ijumaa, na kueleza kukatishwa tamaa na Rais wa Urusi Vladimir Putin kushindwa kusitisha mapigano. Trump aliwaambia waandishi wa habari...
  8. Musk aanzisha chama cha America Party 'kuwarudishia watu uhuru wao' baada ya kufufua uhasama mkali na Trump

    Musk, tajiri namba moja duniani na mfadhili mkubwa wa kisiasa wa Trump katika uchaguzi wa 2024, avunja uhusiano na Rais na kuanzisha chama cha kisiasa kipya Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniani na aliyekuwa mfadhili mkuu wa Donald Trump katika uchaguzi wa 2024, amevunja uhusiano na Rais huyo...
  9. Siri zimefichukua kwanini Trump alisitisha vita kati ya Israel na Iran

    Iblisi ni kiumbe miongoni mwa majini ambaye huwapambia binadamu matendo yaliyo maovu sana akitumia fursa aliyoiomba siku alipoumbwa binadamu. Hata hivyo Iblisi mara mtu anapotenda lile ovu alilomchochea kulitenda huwa anamdharau sana binadamu na haraka mwenyewe hukimbia na kujitenda na uovu...
  10. Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social

    Rais wa Marekani Donald Trump amezindua rasmi manukato mapya ya kifahari kwa wanaume na wanawake. Trump amezindua manukato hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social na yamepewa jina la “Trump Fragrances – Victory 45-57.” Kila chupa iliyo na umbo la sanamu ya Trump akiwa amevaa suti...
  11. Serikali yaamriwa kufanya maamuzi haraka kesi ya Lissu

    Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
  12. Israel imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60 - Trump

    srael imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60, Trump anasema Israel imekubali "masharti ya lazima" ili kukamilisha usitishaji vita wa siku 60 huko Gaza, Rais wa Marekani Donald Trump amesema. Wakati wa makubaliano yaliyopendekezwa, "tutafanya kazi na pande zote kumaliza...
  13. Watu milioni 14 wako hatarini baada ya Trump kukata misaada - ripoti

    Hatua ya Donald Trump kupunguza kiwango kikubwa cha ufadhili wa Marekani kuelekea misaada ya kibinadamu ya kigeni inaweza kusababisha vifo vya zaidi ya watu milioni 14 ifikapo mwaka 2030, kulingana na utafiti uliochapishwa katika jarida la matibabu la The Lancet. Theluthi moja ya wale walio...
  14. E

    Trump ana dharau huyu mwamba

    Anawaambia Congo na Rwanda ole wenu atakaekiuka mkataba huu. Hii ni baada ya kuwasainisha mkataba. Trump ana dharau mpaka anakera.
  15. Trump amlipua Elon Musk, amuambia bila ruzuku ya serikali angefilisika na kurudi kwao South Africa

    Elon Musk alijua, kabla hata hajanipigia debe kwa nguvu kama Rais, kwamba nilikuwa napinga vikali agizo la magari ya umeme (EV Mandate). Agizo hilo ni la kipuuzi, na lilikuwa sehemu kuu ya kampeni yangu tangu mwanzo. Magari ya umeme hayana shida, lakini si kila mtu anayepaswa kulazimishwa...
  16. Elon Musk alaani utawala wa Trump kwa kutengeneza bajeti mbaya ya nchi kihistoria, aapa kuwanyoosha wabunge wote walioipitisha

    Elon Musk anasema bajeti ya serikali ya Trump maarufu kama "Big Beatiful Bill" iliyopitishwa na bunge linaloongozwa na Republicans ni ya hovyo kuwahi kutokwa na itavunja rekodi kuongeza deni la Marekani kwa $Trilioni 5 zaidi. Aanasema nchi hiyo ni kama inaongozwa na chama kimoja cha nguruwe na...
  17. U

    'I am not offering Iran anything,' Trump says

    Brand Mini LIVE 'I am not offering Iran anything,' Trump says 'I am not offering Iran anything,' Trump says Summary US President Donald Trump said Monday he is not offering Iran “anything” and added that he is not even talking to the Iranian officials following US strikes on the country’s...
  18. Trump apuuza umeme wa jua(solar) China ikichanja mbuga, Elon Musk alia solar kutelekezwa

    Trump ansema hapendi kutazama paneli za solar na na mapangaboi ya upepo, vinaharibu tu mandhari ya mashamba, anapendelea zaidi makaa ya mawe! Marekani haijawahi kuwa na rais mjinga kama huyu. China wao wanaendelea kuwekeza kwenye umeme wa juu kila kukicha na umeme wa solar pekee wanaozalisha...
  19. Kiongozi Mkuu wa Kidini wa Iran Atoa Fatwa Dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    moja ya viongozi wakuu wa kidini nchini Iran 🇮🇷 Ayatollah Makarem Shirazi, ametoa wito kwa waislam kote Duniani, kuwaua Donald Trump na Benjamin Netanyahu, akiwaita viongozi hao kuwa ni “maadui wa Mungu === Kiongozi Mkuu wa Kidini wa Iran Atoa Fatwa Dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump na...
  20. Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

    Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana . Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa. Maazimio yalikuwa. -Vyama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…