trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. Huko X(twitter) kinachovuma ni Trump kung'ata shuka

    Hili suala ni kweli au laa!?.. trump hajaonekana hadharani tangu jumanne na hata ratiba yoyote ya kuonekana hadharani kwa muda wa wiki, tofauti na ada yake. Vance kakoleza uvumi kwa kusema yuko tayari kuchukua nafasi ya trump ikiwa lolote litatokea.
  2. RAISI Trump alikosolewa na federal reserve hadharani(mkuu wa benki kuu ya USA)

    Kama maelezo yanavyojieleza na ushahidi wa video... Rais Trump alitoa takwimu sio sahihi na akakosolewa mbele ya waandishi wa habari kua data alizotoa sio sahihi KUNA UKWELI USIOPINGIKA TENA WA WAZI KUWA HAWA WATU NDIO WANAISHI DUNIANI
  3. Mpango wa Trump na Marekani ni kuidondosha EU, sio Urusi

    Adui namba moja wa uchumi wa Marekana ni Ulaya iliyoungana na sarafu ya euro. Marekani inakasirishwa na upanuzi wa umoja wa ulaya kuelekea Mashariki. Upanuzi huu wa ulaya unaibana Marekani kwa upande mmoja na China kwa upande mwingine na baadae BRICS kwa upande uleee. Uingereza kujitoa kwenye...
  4. Tetesi: Aliyekutana na Trump Alaska hakuwa Putin halisi, alikuwa ni moja ya watu waliotengenezwa kufanana na Putin

    Moja ya tetesi katika ULIMWENGU wa habari njama ( Conspiracy Theories) ni KUWA aliyekutana na Donald Trump sio Putin ni mmoja kati ya watu ambao walitengenezwa kufanana na Putin. Ushahidi unaotolewa... Inaonekana huyu anamashavu makubwa. Pili hatembei kijasusi kama Putin halisi (KGB au...
  5. Kwa nini Trump anawadharau sana viongozi wa Ulaya

    Wanaukumbi. KILA BOSS ANA BOSS WAKE Viongozi wa Ulaya wakiwa wamepangwa kwenye korido ya Whitehouse Marekani wakisubili kikao na Trump. Hi fedhea aisee Je wangekuwa wa Afrika watu wamgeponda sana lakini wa Ulaya dunia ipo kimya, mtu kama Putin, huu upuuzi hataki kabisa. Trump, anawadharau sana...
  6. Upendo wa Trump kwa Putin ni wa ajabu sana

    Muda mfupi uliopita, Donald Trump alizungumza kwenye Fox News, akitoa maoni yake kwa mara ya kwanza tangu rais wa Marekani na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky kukutana katika Ikulu ya White house Jumatatu, pamoja na washirika wengine wa Ulaya. Trump anasema anapanga mkutano kati ya...
  7. Trump asema 'Ukraine haitaweza kujiunga na NATO,' huku Zelensky akijiandaa kufika Ikulu

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema rais wa Ukraine anaweza kumaliza vita vya Urusi "ikiwa anataka" kufanya hivyo, lakini "Ukraine haitaweza kujiunga na NATO" kama sehemu ya makubaliano ya amani. Saa chache kabla ya kuwa mwenyeji wa Volodymyr Zelensky katika Ikulu ya White House, Trump pia...
  8. Ni kweli hali ya usalama Washington DC ni mbaya kiasi cha kuhitaji Trump kuwapelekea jeshi mitaani kama alivyofanya?

    Mlioko Marekani hali usalama Washington DC ilikuwa inahitaji Trump kuwapelekea raia wa huko wanajeshi na magari ya kivita kama alivyofanya?
  9. TRUMP: kurejeshwa kwa Crimea na Ukraine kujiunga na NATO sio sehemu ya mazungumzo ya Ukraine

    BREAKING: Trump says that taking back Crimea and joining NATO are off the table for Ukraine
  10. Siku zote mdogo humfuata mkubwa. Putin nmemwonea huruma. Trump ana ubabe mwingi sana

    Putin ameonekana mnyonge sana kuitwa na kwenda Marekani ni kuonesha Putin yupo hoi. Huo ni ukweli ambao hatutakubaliana nao sababu tulikuwa tunaamin Putin ni mbabe sana. Miaka yote naamini Russia/Putin mjeuri sana na mbabe. Lakini nmejifunza kitu. Haya mambo si ya ushabiki.
  11. Tetesi: CHAUMMA & ACT wapongeza Mkutano wa Putin & Trump

    Inasemekana vyama vikuu vya upinzani nchini vimepongeza Mkutano wa Putin na Trump huko Alaska na kutanabaisha kwao ndio mwanzo wa Amani huko Ukraine na duniani kwa ujumla
  12. Mambo kadhaa yaliyozua mjadala Trump alipokutana na Putin Alaska

    1. Trump kurudia mara mara kwa mara kulitaja jimbo la Alaska kama sehemu ya Urusi, wakati anenda Alaska alikuwa akisema anaenda Urusi kukutana na Putin, wakati anarudi Washington alisema anarudi Marekani 2. Trump kupewa somo la uchaguzi na demokrasia na Putin. Trump anasema Putin amemuambia...
  13. Kama Trump kaweza kukutana na Putin Mama Samia anakwama wapi?

    Kama kuna mgogoro mkubwa duniani ni pamoja na mgogoro wa Urusi na Ukaine. Lakini sasa watu wanapambana kutafuta suluhu. Israel na Iran wameweza kukakaa pamoja na kukubaliana hivyo hivyo kwa India na Pakistani. Sisi tunafeli wapi? Dunia inapambana kumaliza migogoro iliyopo sisi tunapambana...
  14. Trump asema hakuna makubaliano lakini 'wamepiga hatua kubwa' baada ya mazungumzo na Putin

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema yeye na Putin wamekuwa na mkutano wenye tija na kwamba wamepiga "hatua kubwa". Trump na Putin walizungumza kwa pamoja jukwaani kwa takriban dakika 10. Wote wawili walionyesha ishara ya mazungumzo mema waliokuwa nayo wakati wa mkutano wao wa faragha, ingawa...
  15. M

    Hiki kinachoendelea anachofanya Trump kwa Putin ni dharau ya wazi wazi, Hebu jionee mwenyewe

    Sio kwamba Trump amefanya haya kumtisha Putin moja kwa moja, haya ni maonyesho ya kimafumbo ya nguvu, ni sehemu ya mbinu za kuonesha ubabe katika ulimwengu wa siasa za kimataifa (geopolitics). 🙌🙌 1. Salamu ya Trump kwa Putin haikuwa tu ya kawaida, ilikuwa na ujumbe wa mamlaka. Trump aliweza...
  16. PUTIN na TRUMP wakutana jijini Alaska kuzungumzia mambo mbalimbali ikiwemo vita ya Ukrein

    Habari: Putin na Trump Wakutana Alaska Licha ya Shitaka la Kukamatwa na ICC Anchorage, Alaska — Agosti 15, 2025 Leo Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump wamekutana mjini Anchorage, Alaska, katika kile kinachoelezwa kuwa mazungumzo ya kiwango cha juu kuhusu...
  17. Trump kupeleka wanajeshi Washington DC kuwakamata raia wasiokuwa na makazi

    Wanaukumbi. Rais wa Marekani Donald Trump aliweka maono yake ya kuifanya Washington DC kuwa "kubwa tena" mapema leo, akiahidi kukabiliana na uhalifu na ukosefu wa makazi katika mji mkuu wa taifa hilo Kama mwandishi wetu wa Amerika Kaskazini anavyoandika, kuonekana ni muhimu kama takwimu za...
  18. Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin

    kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo. "Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari...
  19. Trump, Putin kukutana Alaska kwa mazungumzo ya vita vya Ukraine wiki ijayo

    Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin watakutana Alaska Ijumaa ijayo kujadili mustakabali wa vita vya Ukraine. Trump alitangaza mkutano wa Agosti 15 kwenye mitandao ya kijamii na baadaye ikathibitishwa na msemaji wa Kremlin, ambaye alisema eneo hilo lilikuwa "lina mantiki...
  20. J

    Trump na Putin kukutana wiki ijayo

    Naibu balozi wa urusi katika umoja wa mataifa Dmitry Polyanskiy amesema Rais wa Urusi Vladimir Putin huenda akakutana na Rais wa Marekani Donald Trump Hatua hiyo inaleta matumaini makubwa katika kumaliza mgogoro unaendelea kati ya Urusi na Ukraine, licha ya kutokuwepo kwa taarifa rasmi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…