treni

"I treni di Tozeur" ("The trains of Tozeur") is an Italian song, written by Franco Battiato, Saro Cosentino and Giusto Pio. It was the Italian entry in the Eurovision Song Contest 1984, performed in Italian (with some lyrics in German) by Alice and Franco Battiato.
In a studio version sung only by Battiato, the song was later to be included on his album Mondi Lontanissimi (1985) and was subsequently also recorded in English and Spanish language versions as "The trains of Tozeur" and "Los trenes de Tozeur" and featured on albums Echoes of Sufi Dances and Ecos de Danzas Sufi respectively. In 1994 Battiato recorded an interpretation of the song with a symphony orchestra for his live album Unprotected.
Alice has also recorded solo versions of the song, included on albums Elisir (1987) and Personal Jukebox (1999), the latter featuring strings by the London Session Orchestra, arranged and conducted by Gavyn Wright. The original 1984 duet version of the song features on the 2005 career retrospective Studio Collection, in effect making its debut on an Alice album twenty-one years after its recording.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania Railways Corp

    TRC yaanza kuunda vichwa vya treni za mgr nchini, yawa nchi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kufanya hivyo, bunge lakoshwa

    Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, imelitolea wito Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuwajengea uwezo vijana wa Kitanzania wanaounda na kukarabati vichwa vya treni za MGR, kwa kuwapa mafunzo thabiti ndani na nje ya nchi ili kuongeza maarifa, stadi na ubunifu katika utendaji wao...
  2. Tanzania Railways Corp

    Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR

    Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR, leo wamehitimu mafunzo yao ya wiki nne tayari kuanza majukumu yao Februari 02, 2026 Mafunzo hayo yaliyolenga kuwapa maarifa na stadi ili kuleta tija, yalijikita katika maeneo mbalimbali hususani katika kuwahudumia abiria kwa...
  3. Bawabu wa pili

    Tabora: Bodaboda yagonga Treni, Mwanafunzi afariki dunia

    Binti aliyejulikana kwa jina la Tatu Mgeta (23), mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College, amefariki dunia huku dereva wa bodaboda akijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea wakati walipokuwa wamepakizana kuelekea chuoni,kugongana na treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Tabora kuelekea...
  4. Just Pray

    Treni ya SGR yakwama Ngerengere kwa saa mbili

    Abiria wanaosafiri na Treni ya SGR iliyotoka Dodoma saa 11:15 alfajiri kuelekea Dar es Salaam, wamekwama Stesheni ya Ngerengere kwa zaidi ya saa mbili huku ikitajwa kuna hitilafu imejitokeza Stesheni ya Soga, japo taarifa haijafafanuliwa ni hitilafu gani, abiria wameshuka nje ya treni huku wengi...
  5. The Palm Beach

    Maria Sarungi Tsehai: Treni ya SGR inahujumiwa. Yaharibika usiku huu Ruvu Station, abiria wanatembea zaidi ya 6KM kupata usafiri mbadala..!!

    SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi! LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna Treni inakuja kuwachukua. Wataanza na abiria wa VIP—abiria wametembea zaidi ya KILOMITA 6 hakuna...
  6. figganigga

    Tanzania tumelaaniwa. Eti Treni inasitisha Safari sababu ya Mvua. Mvua zipi?

    Yaani Safari zinasitishwa kabisa na watu wana amani. Sababu wao wanatumia ndege. Watu wanajenga reli hawakujua hii sehemu gani reli ipite juu au chini? Hawakujua Nchi yetu maji yanajaa mabondeni? Eti leo Reli inapita ndani ya maji kisa mvua imenyesha. Mbona pale Buguruni reli inapita juu...
  7. Waufukweni

    Abiria SGR wasota stesheni, Mvua zakwamisha safari za Treni

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepata changamoto kwenye mfumo wa umeme karibu na Stesheni ya Ruvu mkoani Pwani, hali iliyosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha nchini. Akizungumza na Swahili Times, Afisa Habari wa TRC, Fred Mwanjala amesema kwa sasa mafundi wako eneo la tukio...
  8. A

    KERO TRC na SGR Tatizo Nini? Masaa 5 sasa treni haijaondoka DSM

    JF hebu tusaidieni kuhoji… DSM hapa train haijaondoka toka saa 12 asubuhi leo tar 28.12.2025.. Kwanini hakuna accountability kwa kueleza wateja/abiria nini kimejiri na tatizo litatatuliwa baada ya muda gani? Hakuna taarifa ya muda gani train itaondoka. Train za saa 2 na saa 3 asubuhi pia abiria...
  9. D

    Ufisadi wa kidola, kukosa kuwajibishana na Uchawa kumeua Mwendokasi na leo vimeangusha Treni; Mungu aepushe visije vikaangusha serikali

    Kingekuwa ni kitu kizuri leo kutwa yote wangeimba “AJALI YA MAMA” na tusioimba tungebezwa, tungeitwa KENGE, SISIMIZI, NYWINYWI, NYWINYWINYWI. Lakini Mungu huyu ni fundi sana, kapiga kwenye mshono na hadi tarehe 29 atapiga pigo jengine palepale kwenye mshono kama si kusugulia chumvi. Uchafu...
  10. R

    Tunanunua V8 mpya kwa Kodi zetu, ila Engine ya Treni ya iweje inunuliwe mtumba?

    Hellow! Kwamba V8 ni muhimu kuliko engine ya SGR inayobeba watu wengi? Nani anyongwe Katika hili. Karibuni 🙏
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    Treni ya SGR yapata ajali asubuhi leo Oktoba 23, 2025 ikitokea Dar kuelekea Dodoma

    Treni ya Mwendokasi (SGR) imeripotiwa kuacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo ikiwa inatokea Jijini Dar es salaam kuelekea Dodoma ambapo Abiria wawili walioongea na AyoTV wamesema hawajamuona yeyote aliyejeruhiwa isipokuwa ni hofu tu iliyowapata wachache...
  12. A

    KERO Mabehewa ya Treni ya TAZARA yamejichokea, yanatumika hivyohivyo, hii ni hatariiii!

    Serikali isikie kilio cha abiria wanaotumia Reli ya TAZARA, wanapitia changamoto zisizoelezeka kutokana na ubovu wa mabehewa, tuliahidiwa mabehewa mapya lakini hadi sasa kimya na muda unazidi kusonga mbele. Pia, tuliambiwa Wachina wanakuja lakini tangu Mwaka 2025 hadi leo kimya, treni ya abiria...
  13. RRONDO

    KERO Hongereni TRC ila zingatieni ustaarabu wa Abiria wanaopiga muziki kwa Spika za Bluetooth, ni kero

    Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi. Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu mnakifumbia macho ila sio ustaarabu na inaondoa starehe ya kupanda treni kwa watu wanaopenda utulivu na...
  14. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia kuzindua Bandari kavu ya Kwala na uanzaji rasmi wa Treni ya mizigo ya SGR

    RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA NA UANZAJI RASMI WA TRENI YA MIZIGO YA SGR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na kuanza rasmi kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya...
  15. LIKUD

    Naomba kujua utaratibu wa safari ya treni ya umeme kutoka Dar kwenda Dodoma?

    Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali. Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
  16. funaku

    Treni ya Mwendo kasi (SGR) Yaanza huduma ya kubeba mizigo

    Hakika kazi imeendelea. Leo muda wa Mchana wa Saa nane Tanzania imeendelea kuweka historia. Treni ya mwendokasi maarufu kama S.G.R imeanza kutoa huduma za kubeba mizigo.
  17. Hismastersvoice

    EXTRAVAGANZA Safari's za treni ya SGR reli ya kati

    Ukiingia kituo cha treni ya SGR Dar es Salaam ili upate tikiti ya shs. 13,000/= utahudumiwa na wafanyakazi kama wanne ukianza na kaunta ya mapokezi ambaye hana kazi. Ukienda dirisha la tikiti yupo unayemuambia unakokwenda na muda wa treni unayotaka, kisha anaelekeza kwa mwandika tikiti naye...
  18. Mshana Jr

    Kumbukizi: Treni- ndege (TRENDE)

    Mradi wa Treni-Ndege ya umoja wa Kisovieti (Soviet Jet Train) ulianza katika miaka ya 1970 kwa wazo rahisi, weka injini za ndege ambazo haziwezi kutumika tena angani, lakini bado zinaweza kutumika ardhini. Kwa mradi huu, Treni ya ER22 ilirekebishwa umbo kuweza kusimikwa injini za ndegevita ya...
  19. Just Pray

    PreGE2025 Ally Hapi: Miaka mitano ijayo tutajenga treni za mijini Dar na Dodoma

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo chama hicho kimedhamiria kujenga treni katikati ya miji kwa mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma, ili kukabiliana na foleni za magari. "Naomba nichombeze, tumejenga SGR Dar es...
  20. JanguKamaJangu

    Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Lori maeneo ya Tabora leo Mei 28, 2025

    Inadaiwa kuna Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Gari maeneo ya Tabora huko, wenye taarifa zaidi watujuze. ============================= Abiria wa Gari Moshi wamenusurika kifo kufatia ajali ya lori la mizigo lenye trela Namba T 933 DMF lililokuwa likitokea Tabora kuelekea Wilayani...
Back
Top Bottom