trc

The AN/TRC-97 Radio Set, or TRC-97, is a radio set that has 12 multiplex channels and 16 telegraph channels connected to an analog radio. The radio set is a mobile terminal that can transmit up to 40 miles (64 km) straight line-of-sight at up to 1 watt, using a traveling wave tube amplifier, or 96 miles (154 km) in tropospheric scatter at up to 1 kilowatt, using a tunable klystron amplifier, at a frequency range of 4.4 to 5 gigahertz and 1.2 to 2.2 gigahertz. The set has been manufactured by RCA, Camden, N.J.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    TRC jiongezeni huduma za ku-upgrade tiketi za madaraja ya treni

    Baada ya kuhangaika kutafuta madaraja ya juu, nikaamua kukata economy kwa sababu msafiri kwa afya take alihitaji angalau business. Muda wa safari unewadia, madaraja ya juu yapo wazi. Kuomba huduma za upgrade, TRC wanasema hawajaanzisha hivyo ni vyema kununua ticket nyingine. Hii ni basic...
  2. TRC: Kulitokea hujuma katika Treni ya Mchongoko, baadhi ya waliohusika wamekamatwa

    TAARIFA KWA UMMA UZUSHI KUHUSU TRENI MCHONGOKO Dar es Salaam, Tarehe 06 Novemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kupuuza taarifa potofu zinazosambazwa na watu mbalimbali kuhusu kusimama kwa Treni za EMU - Electric Multiple Unit, (Mchongoko) na changamoto za umeme. Ukweli...
  3. Madai ya mkurugenzi mkuu wa TRC kuhusu watu kuhujumu treni ya SGR yanahitaji kushughulikiwa haraka

    Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai. Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo...
  4. Electrical Technician interview TRC

    Poleni na majukumu wanajamii kwa wale ambao mmewahi kupita utumishi kufanya interview ya electrical technician TRC karibu kuchangia interview ilikuaje maswali yalioulizwa pia hata kwa wale mnaoenda kufanya interview siku ya jumamosi mwezi huu tuje kushare madesa tunaikabili vipi interview hii.
  5. TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga

    Wakuu, Taarifa kwa umma, Shirika la reli tanzania (trc) linaomba radhi kwa abiria wa treni ya mchongoko (emu) walioanza safari yao dar es salaam kwenda dodoma saa 2:00 asubuhi na kusimama ghafla majira ya saa 2:20 kati ya pugu na soga. Aidha, tunaomba radhi pia kwa abiria wetu wa treni ya...
  6. Kwa mliokuwa Shortlisted (Electrical II) TRC na mliowahi kufanya interview za electrical technician utumishi

    Habari za muda huu ndugu zangu naomba kufahamishwa kama kuna mtu alishawahi kufanya interview za electrical technician utumishi tusaidiane namna ya maswali yanavyokuja katika interview zote tatu written, practical and oral Au pia kwa mtu yeyote mwenye uelewa na interview hizo ruksa kushare...
  7. W

    KERO TRC boresheni miundombinu katika Vyoo vya Kituo cha SGR - Dar

    Moja kati ya vitu ambavyo nilikuwa najiuliza ni kama Watanzania tunaweza kutunza Miundombinu yetu ya Reli ya SGR, bila unafiki ukiitazama imekaa poa kwa asilimia kubwa. Lakini jioni ya leo Oktoba 18, 2024 wakati najiandaa kusafiri na usafiri huo nilipoingia kwenye Choo cha Kituo cha SGR Dar...
  8. Mkurugenzi mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa amegoma kuja JF atufafanulie uhalali wa makatazo wanayofanyiwa wasafiri wa SGR

    Wasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na Serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe ufafanuzi wa madhara ambayo TRC imeyaona ikiruhusu abiria waingie navyo kwenye treni yao tofauti na...
  9. TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

    Habari zenu wajumbe wenzangu wa jukwaa hili adhimu! Nimekutana na changamoto hii kwa mara tatu sasa. Unaingia kwenye mtandao wa kukata tiketi wa SGR kutoka Dar kwenda Dodoma unakuta treni zimejaa siku mbili mbele. Hivyo kama una safari ya ghafla kwenda au kutoka Dodoma huwezi kutumia treni...
  10. Treni ya Abiria ya TRC yaanguka Kigoma, Watu kadhaa wajeruhiwa

    Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa treni ya abiria namba Y14 ikiwa na kichwa cha treni namba 9002, mabehewa 12 ya abiria, behewa moja la vifurushi (parcel) na behewa moja la breki imepata ajali kati ya Stesheni ya Kazuramimba na Uvinza mkoani Kigoma majira ya Saa 7.30 usiku...
  11. TRC boresheni haya, nimepanda treni yenu ni nzuri ila tunahitaji maboresho zaidi

    Salaam wanabodi, Awali nipongeze walipa kodi na waasisi wa wazo la ujenzi wa Sgr nchini. Japo ni mwanzo ila tuseme ukweli ili maboresho yafanyike. Natoa experience kwa reference ya kituo cha Dodoma nilipowahi kusafiri kuelekea Jijini Dsm. Punguzeni matangazo ya kusifia Rais na Serikali kwa...
  12. Abiria wa Pugu anafuata nini kwenye SGR kama sio upigaji

    Naskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa kumbe mmewapa nafasi watu wa pugu na abira wa karibu kwa bei kitonga na hao kitonga ni wahuni...
  13. Ushauri: Shirika la reli (TRC) uzeni vyuma na mitambo chakavu kwa viwanda vya vyuma vya ndani maana hamna matumizi navyo

    Ushauri huu nautoa mara ya pili baada ya kuzungumzia suala hili miaka kama 3 huku nyuma. Kikawaida mali za Shirika la uma kama TRC zimekuwa zikitunzwa kwa ufanisi mkubwa na kati ya mashirika yaliyofanikisha pakubwa kuzuia wizi na upotevu wa vifaa, mitambo na vipuli basi ni Shirika la reli. Pia...
  14. R

    SGR/TRC management mnatengeneza mianya ya Kuiba ninyi wenyewe makusudi. Kwa vipi? Nitaeleza

    Treni hizi za mwendo kazi siyo za kwanza kuwepo duniani. For many years if not centuries, these kinds of passenger trains have been operating in Europe, particularly Western Europe and North America. You do not have to invent the wheel, it is a matter of copy and paste kutoka nchi hizo mifumo...
  15. DOKEZO TAKUKURU Naomba Msitumike Vibaya kwa mambo ya Kizembe na Kijinga ya TRC kwenye Tickets za SGR

    Salamu kwenu nyote. Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni nchi inayoongoza kwa kujifelisha yenyewe kimakusudi huku ikijivika upofu wa kimakusudi. Ni Taifa...
  16. Swali muhimu kwa Jamila Mbaruku wa TRC kuhusu ukaguzi wa tiketi

    Nilikuona kwenye kituo kimoja cha runinga nchini ukisema eti TAKUKURU Imegundua uwepo wa abiria wanaokata tiketi ya shilingi elfu moja kwenda Luvu(Ruvu) lakini wanaitumia kwenda Morogoro! Swali langu kwako, ndani ya treni wamo wafanyakazi wengi wa TRC wakiwemo mashosti, je, ni vipi shirika...
  17. N

    TRC: Tumewakamata Watu kadhaa waliokuwa wanafanya ulanguzi wa tiketi za SGR na kufanya udanganyifu

    Siku moja baada ya taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro kutoa ripoti inayoonyesha kuwepo kwa abiria wenye lengo la kuhujumu Shirika Hilo hatimaye Leo Shirika la Reli (TRC) Limekiri kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu kwa baadhi ya abiria wa Treni ya umeme...
  18. Baadhi ya abiria treni ya SGR wadaiwa kuihujumu TRC, nauli haziendani na safari zao

    Abiria wanaotumia Treni ya SGR kutoka Dar es salaam - Morogoro hadi Dodoma wametuhumiwa kuhujumu shirika la reli Tanzania TRC kwa kutolipa nauli ambazo zianendana na sehemu wanazoelekea au vituo wanavyoshukia. Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Morogoro...
  19. Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

    China imekamilisha jaribio la usafiri wa treni aina ya maglev yenye kasi ya juu (UHS), kuashiria hatua nyingine muhimu kwa aina hiyo ya usafiri inayoweza kusafiri kwa kasi ya hadi maili 621 kwa saa sawa na kilometer 1,000 kwa saa. Jaribio hilo lilifanyika katika mkoa wa Shanxi unaopatikana...
  20. TRC yako wapi mabehewa 24 ya ghorofa yaliyokarabatiwa na Lückemeier Transport & Logistik

    ikumbukwe tarehe 9/6/0223 trc ilipokea mabehewa 6 ya ghorofa yaliyokarabatiwa na kamouni ya Lückemeier Transport & Logistik ya Ujerumani na wakati wa mapokezi msemaji wa seriakli wa kipindi ndugu msigwa alituhaidi kufikia july ya mwaka huo tungeweza pokea maabehewa manegine kati ya 24 yaliyokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…