trc

The AN/TRC-97 Radio Set, or TRC-97, is a radio set that has 12 multiplex channels and 16 telegraph channels connected to an analog radio. The radio set is a mobile terminal that can transmit up to 40 miles (64 km) straight line-of-sight at up to 1 watt, using a traveling wave tube amplifier, or 96 miles (154 km) in tropospheric scatter at up to 1 kilowatt, using a tunable klystron amplifier, at a frequency range of 4.4 to 5 gigahertz and 1.2 to 2.2 gigahertz. The set has been manufactured by RCA, Camden, N.J.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TRC yatangaza ratiba mpya za SGR kutoka Dar-Dodoma

    SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa DG wa TRC, Masanja anatakiwa kuwa Mahabusu as we speak

    Hakuna mmbunge mwenye maslahi kuzidi hawa ma DG wa taasisi za Umma. Massanja aliamua ku risk UDG wake over ubunge, hii ni kwa sababu Massanja anajua alichokifanya pale TRC na ufisadi mkubwa kwenye SGR …. amekimbia kukwepa uwajibikaji na kudondokewa na jumba bovu. 1. Baada ya Kifo cha JPM ...
  3. JamiiForums Tanzania Hongereni TRC kwa kuzingatia Usalama wa wasafiri

    Inajulikana kuwa waovu wanaweza kutumia janga la mvua kuhujumu treni ili kuleta maafa na taharuki. endeleeni kusimamia weledi wa kazi . Sio aibu na wala sio ajabu kwa kuhairishwa safari nyakati za majanga ya asili . Tuendelee kuzilinda roho zenye utu katika safari zenu
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO TRC na SGR Tatizo Nini? Masaa 5 sasa treni haijaondoka DSM

    JF hebu tusaidieni kuhoji… DSM hapa train haijaondoka toka saa 12 asubuhi leo tar 28.12.2025.. Kwanini hakuna accountability kwa kueleza wateja/abiria nini kimejiri na tatizo litatatuliwa baada ya muda gani? Hakuna taarifa ya muda gani train itaondoka. Train za saa 2 na saa 3 asubuhi pia abiria...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Huduma za treni ya SGR kwa abiria wa daraja la biashara hazina viwango

    Huduma za SGR za daraja la Biashara, haziendani kabisa. Kuanzia makazi yao pale Dar es salaam na Morogoro sehemu ya kusubiri abiria wa daraja la Biashara haiendani kabisa. Kuna muda abiria wanajazana na hata AC haziwashwi viti vimekaa ovyo kiufupi mazingira hayakidhi kuitwa daraja la...
  6. JamiiForums Tanzania Tuwapongeze TRC kwa uwezo wa kurejesha huduma baada ya ajali

    Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu. Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze kurejea lakini kwa maandalizi na utayari wao wa kipekee ajali hii haikuweza kuathiri uendelevu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wakulima wa Morogoro na Dodoma, TRC wamerahisisha usafirishaji wa mazao yenu kwa kuwaletea Mabehewa ya cold chains

    Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza...
  8. JamiiForums Tanzania TRC, TCB Wazindua kadi ya malipo ya tiketi usafiri wa SGR

    Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka TRC Bw. Fredrick Masawe (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Bw. Jema Msuya wakionesha kadi ya malipo ya kabla ya tiketi ya SGR iitwayo TRC Prepaid Card wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo yenye lengo la kuongeza ufanisi katika uuzaji...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Shirika La Reli Tanzania (TRC)

    Nimewiwa kutoa pongezi za dhati kwa shirika la reli Tanzania (TRC) kwa huduma nzuri. Kwa wale mliopata bahati kusafiri na tren ya mwendokasi na dhani mmejionea hudumazao. Yani kuanzia kujali muda, mazingira na hata kutoa taarifa. Ukweli mmekidhi viwango vya kimataifa. Kwa mara zote...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania ndo nchi ya ajabu unakutana na mchungaji anajitapa alikuwa jambazi,ona Sasa TRC Ina hasara Bilioni 234 alafu mkurugenzi wake amepitishwa kugo

    Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka. Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Hongereni TRC ila zingatieni ustaarabu wa Abiria wanaopiga muziki kwa Spika za Bluetooth, ni kero

    Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi. Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu mnakifumbia macho ila sio ustaarabu na inaondoa starehe ya kupanda treni kwa watu wanaopenda utulivu na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la Reli Tanzania ( TRC) yakanusha madai ya kusimama kwa ujenzi wa SGR

    Shirika la Reli Tanzania @tzrailways limewataka wananchi kutupilia mbali upotoshaji wa makusud i unaofanywa na baadhi ya watu kuwa mradi wa SGR umesimama na kwamba tayari Shirika limeshapata mkandarasi wa ujenzi wa ujenzi wa vipande mpaka Mwanza na pia Tabora mpaka Kigoma kwa maana ya Uvinza...
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu TCAA atembelea TRC maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara (Sabasaba)

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Salim Ramadhani Msangi akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa Shirika la Reli Tanzania alipotembelea banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara (Sabasaba) katika viwanja vya Mwl. J.K...
  14. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi wa Kigeni wa Yapi Merkezi Wateseka Kwa Kutolipwa – TRC Iingilie Kati

    Kwa muda mrefu sasa, wafanyakazi wa kigeni waliokuwa wakifanya kazi katika mradi wa reli wa Yapi Merkezi hapa Tanzania hawajalipwa mishahara na mafao yao. Sababu kubwa ni kwamba Shirika la Reli Tanzania (TRC) halijalipa kampuni ya Yapi Merkezi kwa muda mrefu, hali ambayo imewafanya wafanyakazi...
  15. JamiiForums Tanzania TRC kuanza kusafirisha mizigo kesho tarehe 27 Julai 2025

    TRC kuanza kusafirisha mizigo kesho tarehe 27 Julai 2025 https://youtu.be/LWFqjrVKzpM
  16. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mpya TRC- Anza na kuondoa ujinga wa Stesheni ya Dodoma kujaza watu kama wanyama sehemu ya kupandia abiria

    Nakumbuka Mkuu wa mkoa na waziri Mchengerwa alishawahi kulalamika uzembe wa kupangilia abiria sehemu ya kusubiri kuingia kwenye treni ya SGR Inaonekana meneja wa SGR dodoma ana kiburi au uwezo mdogo Treni imeshakaa.mkao wa.kuondoka, bado abiria wanazuiwa kuingia mpaka zinabaki dk 10 ndio...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iondoe SGR toka TRC

    SGR inaonesha kufanya vizuri na ikisimamiwa vizuri itafanya vizuri zaidi. TRC ni dude kubwa sana na hawajawahi kuendesha kwa faida. Serikali iiondoe SGR kutoka shirika la reli hili iwe rahisi kufuatilia uendeshaji wake la sivyo pesa inayopatika SGR itaenda kutengeneza miundombinu...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo 7 kuhusu TRC na mradi wa SGR uliogharimu trilioni 29.5

    Ili kuwa mwandishi mzuri wa habari, ni lazima uwepo eneo la tukio. (To be a good journalist, you have to be there.) Ryszard Kapuściński Ni ngumu sana kulizungumzia jambo kiundani kama aukuwepo eneo la tukio. Mazingira yanaweza kuzungumza na kukupa picha kubwa au ndogo ya jambo umelisikia au...
  19. D

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Link inayosambaa ya kazi za TRC

    Je kuna uhalali wowote kuhusu link inayosambaa whatapp ambayo inamfanano na site ya TRC,Ikijumuisha nafasi mbalimbali za kazi katika shirika la TRC ususani SGR.
  20. JamiiForums Tanzania Treni ya SGR Yanitoa UshambaYasafiri Kinyumenyume Badala ya Kimbelembele!。Yote Tisa, Kumi Asikwambie Mtu, Kusafiri na SGR, Raha, Uroda! Big Up TRC

    Wanabodi Mazoea yana taabu,kwanza utaratibu wangu wa safari za kikazi,kama kuna pipa,hiyo ndio my choice No 1,ndipo nije nije nyingine, tugemeana na umbali, hali ya barabara na hali ya mfuko. Kwa safari za Dar Dodoma, huwa ni kwea tuu, na ikibidi, nina vuta mashine!. Tangu ujio wa Treni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…