Naibu Waziri wa uchukuz, Mhe. David Kihenzile, amesema Reli ya Kisasa (SGR) inaendelea kuwa kichocheo muhimu cha biashara, uchukuzi, miundombinu na ukuaji wa uchumi kwa kuwezesha usafirishaji wa abiria na mizigo kwa haraka, usalama na ufanisi.
Mhe. Kihenzile, ameyasema hayo Julai 06, 2026...