traore

Traoré or Traore is a surname of Manding origin (Bambara: Taara-oray), as written in French orthography, which is common in Mali, Senegal, Burkina Faso, Ivory Coast and Guinea. In anglophone West Africa the name is often spelled Trawally.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzushi mwingine kumhusu Ibrahim Traore!

    Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani. Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo. Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣. Huamini...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Pro West humu jukwaani wengi wanamchukia Captain Ibrahim Traore?

    Mzuka wana jamvi ?? Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana. Tukianza na Hawa ; Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake...
  3. JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

    Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo? Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso. Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo. Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika...
  4. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini imepeleka makomando 700 nchini Burkina Faso kwa ajili ya kumlinda raisi Ibrahim Traore.

    Korea Kaskazini imepeleka makomando 700 nchini Burkina Faso kwa ajili ya kumlinda raisi Ibrahim Traore na kuhimarisha ulinzi nchini Burkinabe.
  5. JamiiForums Tanzania Mauaji ya mamia ya raia yaliyofanywa na jeshi yaripotiwa Burkina Faso kwa Ibrahim Traore

    Army aircraft were reportedly hovering above as the killings took place, showing command control of the operation. At least 130 civilians belonging to the Fulani ethnic group were killed by Burkina Faso’s army and allied militias near the western town of Solenzo in March, Human Rights Watch...
  6. JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore akikutana na Putin na akikutana na waafrika wenzie

    Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin. Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana...
  7. JamiiForums Tanzania Ibrahim Traoré ni Kibanga aliyempiga mkoloni

    Captain Ibrahim Traoré rais wa Burkina Faso ameiweka nchi yake kwenye headlines za vyombo vya habari duniani kote. Umaarufu na uungwaji mkono wa Mwanamapinduzi huyu umeenea sio tu Ouagadougou na ndani ya mipaka ya Burkina Faso, bali Afrika yote. Ni jambo lililo wazi kuwa captain amekuwa ndiye...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Vijana tumtafute Ibrahim Traore wa Tanzania tuache woga na kuliallia

    Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu. Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa. Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira. Badala ya vijana wengi wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore awasili Moscow-Urusi kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi dhidi ya Wanazi

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amewasili mjini Moscow nchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025. Kapteni Traore ni miongoni mwa viongozi walioalikwa nchini Urusi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi walioupata Urusi dhidi ya wanazi kutoka nchini...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wa Afrika wanaopigania Uhuru na Uchumi wa Bara lao, Wazee bado wanaendelea kuuza Maliasili kwa Mabwenyenye

    Afrika ni tajiri kwa kila namna – lakini umasikini wake ni matokeo ya wasaliti wa ndani wanaouza utu wa bara hili kwa maslahi yao binafsi. Ni jukumu la vijana kuamka, kuungana, na kuchukua nafasi yao katika kujenga Afrika huru, ya haki, na yenye uchumi imara kwa wote. 1. Vijana Wanataka Uhuru wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…