Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limeutaarifu umma, wanachama wake, washirika, na wadau kuhusu mabadiliko ya uongozi wa Shirikisho.
Oktoba 3, 2025, Baraza la Uongozi la TPSF lilimsimamisha kazi Afisa Mtendaji Mkuu, Bw. Raphael Maganga, na kuagiza kufanyika kwa ukaguzi wa kiuchunguzi...