Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. CP Suzan S. Kaganda, ametembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA) zilizopo mjini Harare na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa TPA nchini Zimbabwe, Bi. Kulthum Boma.
Ziara ya Mhe. Balozi Kaganda katika ofisi hizo ni sehemu ya hatua muhimu...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imechukua hatua mbalimbali ikiwemo uboreshaji wa Miundombinu, kusimika mifumo bora ya TEHAMA na kushirikisha Wadau wa Sekta Binafsi wakiwemo waendeshaji wa Bandari, ili kuongeza ufanisi katika kuhudumia Shehena za ndani na nje ya nchi kupitia...
Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayozidi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya usafirishaji.
Akizungumza na wandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw Plasduce Mbossa, Afisa Mwandamizi wa Masoko Bw Nocha...
Wakuu mambo vipi? Hii changamoto moto ni kwangu tu au kwa wote. Nimekua nikihangaika kutuma maombi ajira za TPA (Planning Officer II) kupitia AJIRA PORTAL, kila nikijaribu mfumo unaniambia sina sifa. Nimejaribu mpaka ku-edit baadhi ya vitu lkn wapi bado inazingua, naombeni msaada kwa yeyote...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini imeanza rasmi zoezi la ukaguzi wa ubora wa malori yanaingia bandarini kwa ajili ya kushusha na kupakia mizigo inayopita katika Bandari ya Dar es Salaaam.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye bandari...
Kwanini TPA imeongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo?
i. Maboresho ya miundombinu yaliyochangia ongezeko la Shehena ambapo kwa kipindi cha miezi kumi na moja kwa mwaka 204/2025 mizigo imeongezeka kwa asilimia 11, ambapo imehudumia tani mil 23.9 kulinganisha na tani mil 21.5 za miezi 11...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameiagiza Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya wa Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma unakamikika kwa wakati na kwa ubora...
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kubwa kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa utendaji wake bora katika mwaka wa fedha 2023-2024.
Ripoti ya CAG, iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, ilionesha kuwa TPA ni miongoni mwa mashirika ya umma...
TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI
JINA : HAMIS MBWANA MZENGA
Awali ya yote kwa niaba ya wahanga wenzangu, Tunamshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri ya kuwatetea wanyonge. Tunaimani na kauli mbiu yake ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa huduma katika bandari mbalimbali hapa nchini uliotokana na maboresho ya uwekezaji.
Akizungumza mara baada kufanya ziara ya kujionea utendaji...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeitaka sekta Binafsi Tanzania kutumia fursa ya maboresho yaliyofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam kuitumia fursa hiyo kufanya biashara na kuongeza mapato ya taifa kuinua uchumi wa nchi.
Akizungumza wakati wa...
Dar es Salaam. Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam.
Ujenzi wa Tanks Farm (Matanki ya Mafuta), ambao umefikia asilimia saba, unatarajiwa kuboresha...
Na Mwandishi Wetu,Dar ES Salaam
Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa ametembelea mradi wa ujenzi wa matenki maalum ya kuhifadhia mafuta (Oil Terminal) wa TPA unaofanyika katika wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam ukihusisha ujenzi wa matenki makubwa 15 yenye uwezo wa kuhifadhi ujazo...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia Meli na Shehena.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 19 ya...
KAMISHINA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Prasduce Mbossa Agosti 26, 2024 wametembelea bandari ya Tanga.
Kamishna Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wamekubaliana kushirikiana kwa ukaribu zaidi ili kuongeza ufanisi kwenye shughuli...
Baada ya hospitali ya Agakhan kujitoa kwenye kuwahudumia wateja "Executive" wa NHIF, mashirika makubwa ya umma yanayotumia NHIF nayo yanajiandaa kutoongeza mkataba wao na NHIF.
Kama ilivyokuwa zamani haya mashirika yalikuwa yanatumia mifuko mingine ya bima za afya kama Strategis na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.