Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema huko mlipo. Nilikuwa napita pita kwenye mtandao wa beforward kuangalia bei za magari. Nimeshangazwa na bei za Toyota premio. Yaani unakuta gari ya 2004 CIF inasoma $5000 huko, ambayo ni milioni 12 na kitu. Ukiweka kodi za TRA na bandari inafika 24 M. Miaka...