Mchina mjanja, anaangalia kitu mnachokipenda, hafu analeta alternative kwa bei nafuu.
Recently BYD wamezindua Denza B5 SUV ambayo ukiiangalia tu unajua ametarget market gani.
Hii ni Luxury 4WD SUV yenye 1.5L turbo hybrid engine, na electric motors mbili na battery la 31 kWh ambalo utaweza...