toyota

  1. M

    Car4Sale Toyota Raum New Model inauzwa, Mabibo- Dar es Salaam

    Sifa 1. Rangi ni gold 2. Namba za usajili ni T244 DPS 3. Ukubwa wa injini ni 1490cc 4. Idadi ya km ilizotembea ni 77,000 kms mpaka Sasa 5. Inamwaka mmoja tokea imenunuliwa 6. Inabima kubwa iliyokatiwa mwaka huu 7. Hutumika kwenda kazini na kurudi tokea imenunuliwa 8. Haijafunguliwa popote tokea...
  2. Kenya: Toyota Kenya makes a local bridge ventilator critical for respiratory failures in Covid19 patient

    Toyota Kenya develops bridge mechanical ventilator By Sylvania AmbaniApril 24th, 2020 1 min read A pictorial view of the machine design and components. PHOTO | COURTESY Toyota Kenya has developed a bridge mechanical ventilator prototype to help support patients with Covid-19 respiratory...
  3. Nitapata wapi Engine za Toyota?

    Ndugu zangu nataka kununua gari hususani brand za Toyota kama vile IST, Raum, Wish, Ipsum, Subaru, Kluger n.k. Je, ubora na uimara wa injini nitajuaje au nifanye nini nisiingie pori?
  4. Msaada kwa mwenye uzoefu na gari aina ya Toyota Nadia

    Naomba msaada mwenye uzoefu na gari hii TOYOTA NADIA UIMARA, BEI NA ULAJI WA MAFUTA
  5. Gari ipi itanifaa kati ya Spacio na Toyota Wish?

    Wadau naombeni ushauri. Mimi si mtaalamu wa magari ila nahitaji kuwa na gari kwa ajili ya familia ya watu kama saba hadi nane na matumizi ya hapa na pale, safari za kazini na mara chache safari ndefu za mikoani na hasa vijijini. Ninahitaji gari ambalo ni rafiki kwa matunzo na mafuta na linaweza...
  6. Naomba kujuzwa ubora wa Probox na Toyota Wish

    Wakuu naomba mtaalam wa magari anipe ufafanuzi wa ubora wa hizi gari nilizotaja hapo juu! Dadavua kadri unavyofahamu!
  7. Nahitaji Engine ya Toyota CAMI 2000 HC-EJ

  8. Nahitaji Gari Toyota Ra4 ( kilitime)

    Nahitaji Gari tajwa hapo juu Bajeti yangu ni shilingi Milion 7 Cash Mwenye nalo anidm Gari liwe zima, linatembea, halijapata Ajali
  9. J

    Car4Sale 1998 Toyota Corolla

    1998 Toyota corolla for sale.. Cc 1490, MANUAL Transmission.. 180,0000kms..Color white..Very good Condition.. Price Tzs 4.5 million Contact 0717900640 Dar es Salaam
  10. Nauza Toyota vitz new model 2008

    SOLD BY THE OWNER TOYOTA VITZ NEW MODEL-2008 Asking Price: TZS 8,500,000 Location: Dar es salaam, Tabata Low Mileage: 64,000KMs Number: T*** DNY Imported: Dec 2017 with 59,000 KMs, New Tires installed November 2019 No accident history, elegant and minty. All documents available. Economy...
  11. N

    Gari aina ya Toyota Porte

    Ninahitaji gari aina ya porte kuanzia namba D Iwe nzuri , bajet yangu ni milion 5 cash , Mwenye nayo anione inbox tumalize biashara Asante
  12. Toyota Raum Review: Karibu tupeane uzoefu kuhusu gari hili

    Toyota Raum ni gari dogo lililotengenezwa na kampuni ya Toyota na kuuzwa kwenye soko la ndani la Japan (JDM) kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2011 ambapo uzalishaji wake ulisitishwa rasmi. Gari hili liko kwenye kundi la magari madogo kwa ajili ya matumizi mbali mbali yajulikanayo kitaalamu kama...
  13. 16 jobs positions at Toyota Tanzania Limited which is opening a new branch in Mbeya

    Toyota Tanzania Limited is opening a new branch in Mbeya and is now seeking well qualified, result oriented, dynamic and enthusiastic professionals to fill in the following positions below: 1. Auto Cleaner Good car washing skills, at least two years’ experience in a reputable carwash or...
  14. J

    CCM Lumumba zimejaa Toyota Landcruiser mkonga nje za Wenyeviti wa mikoa. Ni vema CHADEMA wakajifunza matumizi mazuri ya ruzuku

    Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi. Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa...
  15. Msaada kwa anayefahamu bei ya Toyota Alphard

    anayejua bei ya hii gari Toyota Alphard naomba anisaidie please! naimani humu JF ni sehemu ya kupata jibu sahihi kuliko huko mtaani
  16. Toyota Isis Vs Wish 1800 CC

    Nimejichangachanga nataka moja kati ya hizo, kwa anayezifahamu, ni ipi nzuri kuanzia muonekano, uimara mpaka perfomance.
  17. Nataka kuagiza Toyota Crown. Nitenge bajeti kiasi gani?

    KIMOMWEMOTORS Mkuu nataka kuagiza toyota crown royal saloon ya mwaka 2008, cc 2500 na mileage kama km 115000. Mpaka unanikabidhi nitenge Tshs ngapi?
  18. Toyota Isis/Wish/Caldina 1800cc

    Nahitaji gari moja kati ya hizo , iwe imesajiliwa hivi karibuni ofa yangu ni m9 Nicheki watsapp 0767525764
  19. Toyota Caldina or Fielder inahitajika

    Toyota Caldina au Fielder 1800 cc imetumika nchini muda mchache inahitajika. Budget mil 9! Ni contact via Whatsapp 0767525764
  20. Ulaji wa mafuta Toyota Vitz

    Nina gari aina ya Toyota Vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 ulaji wake wa mafuta ni km 9 kwa litre 1. Wakati kwa wengine inakula 12km kwa litre. Kwangu tatizo litakuwa ni nini wadau.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…