Tone is the use of pitch in language to distinguish lexical or grammatical meaning—that is, to distinguish or to inflect words. All oral languages use pitch to express emotional and other para-linguistic information and to convey emphasis, contrast and other such features in what is called intonation, but not all languages use tones to distinguish words or their inflections, analogously to consonants and vowels. Languages that have this feature are called tonal languages; the distinctive tone patterns of such a language are sometimes called tonemes, by analogy with phoneme. Tonal languages are common in East and Southeast Asia, Africa, the Americas and the Pacific.
Tonal languages are different from pitch-accent languages in that tonal languages can have each syllable with an independent tone whilst pitch-accent languages may have one syllable in a word or morpheme that is more prominent than the others.
Huyu mtu tayari kachoka wakati ndio kwanza kaanza Kampeni, sifahamu huko mbele itakuwaje.
Nimemsikia anasema wao wanamimina mamilioni kwa ajili ya miradi ya Maendeleo na kwamba wao hawategemei tone tone.
Binafsi nimejiuliza, sawa kwenye Siasa kupiga vijembe na porojo kwa mpinzani wako ni jambo...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,”...
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho hakijafunga mifumo ya uchangiaji wa chama hicho maarufu Tone Tone, akiwaomba Wanachama na wapenzi kuendelea kukichangia, kwani kwa makatio ya kujirudia.
Mnyika ameyasema hayo leo Agosti 27 alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa...
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook.
HII SIYO GALA NI KUGALAGALA
Nawapongeza CCM kwa dinner gala ya kuchangisha fedha za kampeini. Hatujaambiwa zimepatikana ngapi mpaka sasa, lakini matokeo ya awali yanaonyesha ushindi. Tuombe mtangazaji...
Hahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone?
Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo?
Baadhi ya wadau wamehoji...
Bila shaka wewe na mimi tumekuwa ni sehemu ya Ushuhuda wa Kauli mbali mbali za Viongozi wa Chama Wakijinasibu kuwa Chama Chetu ni Chama Tajiri na Chenye Wanachama Wengi.
Halikadhalika tumeshuhudia chama chetu kikiwa ni sehemu ya Mnufaika mkuu wa Ruzuku ya Uendelezwaji wa Maendeleo ya Chama, si...
Kumekuwa na poster ambayo inazagaa kwenye mitandao ya kijamii ususani wa facebook akimutuhumu Godless Lema kwa kutumia fedha za TONETONE kwa manufaa Binafsi Jambo ambalo Boniphace Jacob ameona sio zuri.
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa.
Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja wapo ya chama KUSHIRIKI UCHAGUZI ni kusaini Sheria za maadili ya uchaguzi, na CHADEMA hawakusain, it...
Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga ameomba samahani kwa vurugu zilizotokea katika mkutano wa Chadema mjini Igunga.
https://twitter.com/Rydx_017/status/1932698774637318410?t=NO05ylCjFuDIiqyK310g0g&s=19
Wawatembelee:-
1. Viongozi wa dini.
2. Wafanyabiashara.
3. Marafiki wa chama wa nje na ndani ya nchi.
4. Asasi za kiraia.
Kwa lengo la kutunisha misuli ya kifedha kupitia wadau hao.
No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?
Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema...
Hii level ya imani hakuna chama cha siasa imeifikia kwenye hii nchi na majirani zake.
Isingekuwa polisi nk, basi kijani wangekuwa hawana chao siku nyiiiingii.
Tunawashukuru Watanzania kwa kuendelea kutuchangia.
Kwa siku tatu tangu msajili atangaze kukifutia Chama ruzuku tarehe 28 - 30 Mei 2025 mmeweza kutuchangia kiasi cha Tsh. 30,244,700.
Tunawaomba muendelee kukichangia Chama katika malipo ya moja kwa moja na kujiunga na malipo ya kujirudia...
Itakuwa ni ajabu sana na mbaya sana kushinda humu kuonyesha jinsi Serikali ilivyo mbaya, jinsi kulivyo na ufisadi, utekwaji wa watu na kadhalika ila hatuchangii tonetone kwa CHADEMA.
Katika haya mapambano kama hatuwezi toka front line ni vizuri tukawa tuna wasapoti walio msatari wa mbele wa...
Jana nimesikia huko Lissu akiwa hotelini anakula minyama ya kuku tu , tone tone ni style ya upigaji tu, Lema sio lofa, amekaa ameona ngoja abuni mpango wa kula hela, akamshauri Lissu waanzishe tone tone, watu wamechanga sasa hivi wanazitumia mikoani kwenye posho ya kuwaambia wananchi kuwa bila...
Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
Wakuu,
Nimeangalia tangazo la Tone Tone kwakweli nimebubujikwa machozi ya huzuni! Mmefikaje huku? Mlikuwa mnaenda vizuri lakini mnaanza kuharibu!
Sawa mlitaka kuja na idea tofauti, iwe catchy ndio mkaona iwe kwenye mfumo wa mwanamke kutaka kuelolewa? Wanawake hawa hawa ambao kila leo...
Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone?
ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo?
au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya kificho ya fedha za chama kwa viongozi waandamizi wapya chadema taifa?
Je,
ni kwasababu umeona...
Tangazo la TONE TONE la CHADEMA la sasa linaonyesha zaidi ufahari na lenye kuwakilisha mazingira ya tabaka la mjini na kishua zaidi. CHADEMA, halina msisitizo na msisimko wa wale mnayopigania au kuhitaji kutoka kwa jamii kama chama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.