tofali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Sheria; Ndugu yangu kaangukiwa na tofali Kariakoo, wanagoma kumfidia

    Habari wakuu, Nina ndugu yangu ,shughuli zake ni kuuza dawa asilia mtaa wa nyamwezi na mkunguni ,kariakoo. Akiwa kwenye majukumu yake mtaa huo,kuna ghorofa linaendelea na ujenzi, tofali likatoka juu na kumgonga kichwaniMungu mkubwa, CT scan imeonesha fuvu la kichwa halijaathirika. Kamaliza...
  2. JamiiForums Tanzania Nauza tofali used zipo idadi 200

    Tofali zimesha uzwa zote, Asanteni
  3. JamiiForums Tanzania Tunauza na kufyatua tofali imara, za kisasa na zenye gharama nafuu

    Jenga kwa tofali za interlocking – imara, za kisasa na zenye gharama nafuu. Tunauza na kujenga kwa kutumia Tofali za Interlocking zenye ubora wa hali ya juu. Bei zetu Dar es Salaam – TSh 700/= kwa Tofali. Mikoani – TSh 800/= kwa Tofali ✅ Tunakuja kufyatulia site kwako, hivyo inapunguza...
  4. JamiiForums Tanzania NAUZA TOFALI ZA INTERLOCKING

    🏡 JENGA KWA TOFALI ZA INTERLOCKING – IMARA, ZA KISASA NA ZENYE GHARAMA NAFUU! 🏡 Tunauza na kujenga kwa kutumia Tofali za Interlocking zenye ubora wa hali ya juu. 💰 Bei zetu . 📍Dar es Salaam – TSh 700/= kwa Tofali. . 📍 Mikoani – TSh 800/= kwa Tofali ✅ Tunakuja kufyatulia site kwako, hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Tunauza na kufyatua tofali imara za kisasa na zenye gharama nafuu

    Tunauza na kujenga kwa kutumia Tofali za Interlocking zenye ubora wa hali ya juu. Bei zetu . Dar es Salaam – TSh 700/= kwa Tofali Mikoani – TSh 800/= kwa Tofali Tunakuja kufyatulia site kwako, hivyo inapunguza gharama za usafirishaji. Site iwe na MAJI tu Wasiliana nasi:📞 0764 635 014
  6. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Nyumba ya Chini Kua Ghorofa kwa Kuongeza Nguzo na Tofali za Kulaza?

    Kwema wakuu? Ninaishi kwenye nyumba ya chini ya zamani kidogo. Sababu ya muda wa nyumba hii basi bati zake zimeanza kuvuja sababu ya kutu na hata plasta imechoka baadhi ya sehemu. Sasa niliwaza kuikarabati kwa kurudia plasta pia kuezua paa, ceiling, kenchi, brandering, na kuweka mpya ikiwapo...
  7. JamiiForums Tanzania Nyumba yenye vyumba 6 inahitaji tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi?

    Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi?
  8. W

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Kisungu-Dar, Wanafunzi wanapewa adhabu ya kuleta tofali za kujenga uzio

    Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni...
  9. JamiiForums Tanzania Wazee anayejua mganga mzuri, nimeibiwa tofali zangu site

    Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Taasisi za Serikali acheni kututumia Huu Uchafu kwenye Simu zetu. Sasa ni kuwapiga Tofali tu

    Unakaa zako ofisini unasikia msg imeingia unadhani ya maana.... Kumbe ni ya kipuuzi toka Taasisi ambayo ilipaswa iwe serious na maisha. Yaani kweli unatuma msg tukapigie kura Chura na viluwi luwi vyake? Nyie mnatuona sisi punguani sana fisi nyie. Sasa nimegundua ni kuwapiga tu tofali hakuna...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Tofali Smart. Tuwasiliane ili uboreshe biashara yako

    Je, una biashara ya tofali za block? Unapata changamoto hizi? Kupoteza kumbukumbu za uzalishaji Kutojua stock zilizopo Ugumu wa kuhesabu gharama na faida Kukosa ripoti za haraka na sahihi Suluhisho ni TOFALISMART System Mfumo huu unakusaidia: Kusajili na kufuatilia aina zote za tofali...
  12. JamiiForums Tanzania Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo?

    Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo? karibu chukua hii mbinu moja ya ujenzi ya kupata kitu cha kisasa na bora hasa kama unajenga gholofa. Unashauriwa umwage nguzo kwanza. kwanini sababu ni kwamba ili cement ifikie ubora wake...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kufyatua tofali inchi 4, inawezekana?

    Wataalamu habari??? Nimekaa nikawaza kutokana na ugumu wa pesa na uhitaji nilionao... nataka kujenga ukuta/ uzio wa eneo langu sasa nafikiria badala ya kufyetua tofali ya inchi 5' au 6, basi nifyetua tofali za inchi 4' je? Inawezekana?? Na kitaalamu imekaaje??, kumbuka ni kwa ajili ya uzio tuu...
  14. JamiiForums Tanzania Mashine za tofali tofauti tofauti

    Mashine za tofali tofauti tofauti kwa wale wenye Project za ujenzi na wale wanaotaka kufanya biashara ya tofali.
  15. JamiiForums Tanzania KARIBU NIKUUZIE MASHINE YA UMEME YA KUFYATULIA TOFALI.

    (VIBRATED BLOCK MACHINE) 🔹️TOFALI MBILI (1) 🔹️NGUVU YA MOTA 3HP 🔹️TOFALI 2000+ KWA MASAA NA 🔹️BEI 2,500,000/= TUNAPATIKANA MWENGE DAR ES SALAAM OPPOSITE NA SUMA JKT.
  16. JamiiForums Tanzania Mashine za tofali thread!

    Mashine za kisasa za kufyatulia tofali aina Mbali Mbali na size tofauti zinapatikana 0770446052 Location Mwenge
  17. JamiiForums Tanzania Hivi unajua tofali la kuchoma ni imara na bora kuliko tofali hizi za block za cement?

    Tofali za kuchoma ni imara zaidi kuliko tofali za block za saruji. Zina nguvu na uimara mzuri, na zinaweza kuhimili uzito mkubwa, hivyo zinatumika sana katika ujenzi wa kuta za kubeba uzito. Sababu za Uimara wa Tofali za Kuchoma - Nguvu ya Compression: Tofali la kuchoma lina compressive...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kufyatua tofali

    Wakuu habari za muda huu, Naweza pata kujua kuhusu biashara hii, kwa Wakazi wa Dar es salaam.
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Hapa Tanzania, ukikosa kazi kabisa sio lazima ukabebe tofali au kazi za ujenzi, Nenda kijijini kalime.

    Mwanangu mpambanaji, umekosa mtaji, mjini hakueleweki, ushamaliza degree yako na home hapaeleweki kazi hazieleweki. Sikia, chukuwa vyeti vyako, scan, tunza kwenye email yako, tengeneza template ya barua ambayo unaweza ku edit hata kwa simu. Piga simu kujijini kwenu, haswa kwa watu wa mbeya...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wabeba tofali huwa wanaishia kuwa masikini mpaka wanazeeka?

    Hii kazi nashindwaga kuielewa lengo lake ni kumfanya mtu ajae mwili au ajae fedha yaani unakuta mtu miaka na miaka kuanzia asubuhi mpaka jioni anahangaika kukimbiza tofali na mwili ushakua jumba yaani si Bora mtu uingie ulingoni kama kina kiduku maana mwili umekua jumba na umekomaa ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…