timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania CR7 afikisha mabao 700 ya timu za klabu

    Sporting Lisbon - Mabao 5 Real Madrid - Mabao 450 Juventus - Mabao 101 Man United - Mabao 144 🐐Goat🙌
  2. JamiiForums Tanzania Yanga ina bahati ya kukutana na timu ngumu ngumu

    Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo? Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
  3. JamiiForums Tanzania Mabeki wa Yanga kuiokoa timu leo dhidi ya Al Hilal

    Wengi tunatarajia magoli toka kwa akina Mayele n.k, leo mabeki wa Yanga wanaenda kuokoa timu yao. Yanga itashinda magoli 2, tutarajie penalty kwenye mchezo. Ft 2-0/2-1/3-1 Kila la kheri Yanga.
  4. JamiiForums Tanzania Huenda hii timu leo ikajaza mashabiki 350 tu badala ya 60,000!

    Mpaka muda huu nawaona walinzi tu peke yao magetini, huku uwanjani kukiwa na watu wawili tu. Hivyo huenda wanasubiriwa hao 348 waliobakia ili mbungi lianze hiyo saa 10 kamili jioni. Kuna timu moja nchini Tanzania (nimeisahau jina) yenyewe ingekuwa inacheza leo, basi mpaka saa 4 hii uwanja...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas mkiacha 'Usiasa' na 'Usisiemu' wenu Timu za Taifa zitafanya vizuri Kimataifa

    Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia. Juzi baada ya Timu hii...
  6. JamiiForums Tanzania Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Afrika

    Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini. Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu. Naongea kiufundi sio kiushabiki Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief...
  7. JamiiForums Tanzania Klabu ya Polisi waingia mkataba wa milioni 50 na kanisa kuiombea timu

    Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh 50 Milioni na Kanisa la Kingdom Embassy (HPCC) la jijini Dar es Salaam ambao ni maalumu kwa ajili ya kupatiwa maji ya kunywa, fedha na maombi timu inapocheza popote kuhakikisha kwamba wanafanya vizuri zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Pesa pekee haileti mafanikio ya timu, mbinu za kocha pia zinahitajika

    Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika, lakini nadhani muda umefika ukingoni. Kuna mtu mmoja hatari sana Erling Haalland, huyu jamaa anakuja...
  9. JamiiForums Tanzania Al Hilal wapigika kama ngoma na timu B ya Tp Mazembe

    Jana Al hilal wamepigwa 3 : 0 na timu ya watoto wa academy ya Tp Mazembe. Ikumbukwe tu hawa Al Hilal ndiyo waliwapiga makolo kimoja cha nguruwe.
  10. JamiiForums Tanzania Uwanja wa mazoezi wa timu yenye uwekezaji mkubwa kuzidi Al Hilal

    Uwanja wa timu kubwa kiuwekezaji kuliko Al Hilal. Uwanja umesheheni miundombinu yote pamoja na viwanja vya nyasi asilia na kapeti,gym, netball mpaka kiwanja kidogo cha ndege ya kuchukua timu. Uwanja wa Al Hilal ukiwa umejaa mbigili tupu My Take Huyu msemaji akili zake amemkabidhi nani pale GSM?
  11. JamiiForums Tanzania Zambia kuchunguza madai ya unyanyasaji wa kingono kwenye timu ya taifa ya wanawake

    Shirikisho la Soka (FAZ) limechukua hatua hiyo kufuatia shutuma zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa baadhi ya wachezaji walichaguliwa kucheza Timu ya Taifa baada ya kulazimishwa kushiriki vitendo vya ngono na benchi la ufundi. Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Adrian Kashala amesema wameandika...
  12. JamiiForums Tanzania Stephano Aziz Ki aitwa timu ya Taifa ya Burkinafaso, kikosi chao hakuna mchezaji anayecheza ligi ya kwao

    Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa, labda usubiri Chan. .... Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki (26) tayari ameanza mazoezi...
  13. JamiiForums Tanzania Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

    1.Al Ahly 2.Wydad Casablanca 3.Esperance de Tunis 4.Raja Casablanca 5.Mamelodi Sundowns 6.TP Mazembe 7.Zamalek 8.Horoya 9.Petro de Luanda 10.Simba 11.CR Belouizdad 12.JS kabylie 13.Al Hilal 14.As Vita Club 15.Al-Ahli Tripoli 16.Coton Sport
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mchango wa timu za madaktari wa China watambuliwa na kuthaminiwa zaidi watu wa Afrika

    Pili Mwinyi China na Afrika zinaendelea kuwa na ushirikiano mkubwa kwenye sekta mbalimbali muhimu ikiwemo ya afya. Uwepo wa timu za madaktari wa China katika nchi za Afrika kwa sasa unaonekana ni jambo la kawaida na limeshazoeleka, ambapo madaktari hawa wanajitahidi kadiri wawezavyo kuokoa...
  15. JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu wa Kutisha kwa Timu ambazo huenda Kucheza Mechi Khartoum Sudan

    1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili 2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana 3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni 4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa Chupa au Kuvamiwa si la Kushangaa 5. Timu ikiwa inaenda Vyumbani wakati wa Mapumziko Wachezaji...
  16. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  17. JamiiForums Tanzania TFF fikirieni tena juu ya timu kucheza mashindano ya Mapinduzi

    Timu za bara kushiriki mashindano ya Mapinduzi kuna faida chache sana za kimpira kwa TFF, ligi, timu na wachezaji wa timu za bara kuliko hasara.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje Makosa ya Timu ya Yanga yanarekebishwa na TFF ? Wajuzi wa Mambo hii imekaaje ?

    Hii barua ya TFF inajieleza kabisa kwamba usajiri wa Kisinda ulishindikana sababu Yangu walikuwa na wachezaji wengi wa kigeni na Dirisha lilishafungwa ,Kisinda anaingiaje sasa Wajuzi wa mambo ?
  19. JamiiForums Tanzania Inonga ndiyo Mkongo pekee aliyeitwa Timu ya Taifa je, hawa Wengine wasioitwa ni Wakongo kweli?

    Pongezi nyingi kwa Klabu ya Simba kuweza kutoa Mchezaji wake ( Beki tegemeo ) Henock Inonga Baka na Mchezaji husika kwa kuweza Kuitwa hivi majuzi tu katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Congo DR. Kuna Timu Moja nchini Tanzania ( kwa sasa nimeisahau ) imejaza Wakongo wengi kama Wanamuziki wa Zaiko...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Timu zinazocheza na Yanga hawakazi kama wakicheza na Simba

    Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana Mtibwa walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, kipa ovyo kabisa. Kwa hali hii Simba tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…