timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Marumo Gallants FC: Ni timu ya tatu toka mkiani kwenye ligi ya Afrika ya kusini. Hakuna cha kujisifu kuifunga timu mbovu

    Ukiifunga timu mbovu na chovu hakuna cha kujisifu ila ukifungwa na timu chovu kama marumo kila mmoja atakushangaa!! Ni timu ya mkiani huko bondeni!! TABLE DSTV PREMIERSHIP # Club W D L Goals +/- Pts 1 Sundowns 29 21 6 2 51:12 39 69 2 Orlando Pirates 28 15 5 8 35:20 15 50 3...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna kocha anaenda kuachia timu kabla ya msimu kuisha

    Habari zenu.. Nina masikitiko sana msimu huu simba hawajachukua kombe lolote. Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa yanga mimi ni mwananchi kabisa na siwezi kuishabikia simba daima. Ila kinachoniumiza kumuoana huyu doto anachezewa sharubu kila anapoenda kucheza mpira. Huyu kocha aliyekuja,hana...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kweli timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya Walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen?

    Hivi ni kweli timu ya taifa ya mpira wa kikapu(basketball) ya walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen hamuoni mnaaibisha taifa?
  4. JamiiForums Tanzania Ubora wa Kocha Nabi unaweza kuwapa Ubingwa wa Shirikisho timu ya Yanga, na hata kufika mbali zaidi Ligi ya mabingwa mwakani

    Kocha Nabi namsifia sana kutokana kuitengeneza Yanga kucheza kitimu zaidi na mbinu zake katika kuzikabili mechi kubwa Tukiachana na usajili wa wachezaji wazuri, tuhuma za kuhonga na mbinu nyingine nje ya uwanja ni kwamba huyu kocha ni chachu kubwa sana ya mafanikio ya timu ya Yanga uwanjani...
  5. JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

    Umofia kwenu! Msimu huu unaelekea ukingoni na ndio maandalizi ya msimu ujao. Timu mbalimbali zishaanza kutoa jezi mpya kuelekea msimu ujao. Kama ilivyoada, uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya mbalimbali ambazo zitakuwa zinatumika kwa msimu ujao. Karibuni...
  6. JamiiForums Tanzania Jezi ya Timu yangu pendwa ya Marumo Gallants FC zinapatikana Duka gani hapa Dar es Salaam?

    Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rotation ya kikosi sio kwa kila timu, inategemea na ubora wa wachezaji wako

    Simba msije mkajaribu tena kuiga kunya kwa tembo mtapasuka msamba, Ni ngumu kwa kikosi cha simba kukifanyia rotation kwa baadhi ya mechi vinginevyo inakuwa inatafutwa lawama tu, Timu pekee yenye uwezo wa kufanya rotation ni yanga pekee ambayo ina kikosi bora kuanzia wanaoanza mpaka wakaa benchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea imekuwa "punching bag"!: Kila timu inajipigia tu!

    Watamkumbuka Abramovich! Yawezekana ni laana ya kumpora jamaa timu aliyokuwaanaimiliki na kuihudumia vizuri!! Hadi mapumziko Arsenal 3 - 0 Chelsea! Hapa naona mkono au wiki inanukia!!
  9. JamiiForums Tanzania Tuambie timu yako ilitolewa hatua gani CAFCL?

    Kila mmoja anaisifia Mamelod kuwa ni timu tishio msimu huu lakini hawasemi Mamelod amefikaje hapo Kabla ya kufuzu Nusu fainali msimu huu Mamelod amecheza Robo Fainali 4 mfululizo na kutolewa zote Raja Casablanca ndani ya misimu mitatu mfululizo wanatolewa hatua ya robo fainali Mpaka sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Simba ni timu kubwa sana Yanga wasubiri

    Check hao wafutiliaji wa michezo ya Simba na Yanga kimataifa Yanga anajaribu kujilijganisha na Simba lakini bado sana nasema bado sana. Huo ndo ukweli wenyewe, huwezi kuwa na timu Bora kimataifa yenye mfungaji mmoja kazeni boot. Mapovu ruksa mvimbe mpasuke na mwiko wenu huko nyuma
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Marumo Gallants FC niliowaona leo kuna Timu itafungwa kwao umeme kukatika Stadium na South Africa pia

    Kama leo umeshindwa Kuifunga Timu Dhaifu kutoka Nigeria (japo Ulibahatisha) Kumfunga Kwao (huku Wewe leo ukiwa Nyumbani) ndiyo uweze Kupambana na Klabu isiyotaka Masihara katika Hatua hii na Michuano hii ya CAFCC Marumo Gallants FC? Kutokana kuwa na Ndugu na Marafiki zangu kutokea Mji wa...
  12. JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

    Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2. Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote...
  13. JamiiForums Tanzania Simba SC ilivyotolewa Juzi mliicheka je, ni lini mtaanza Kuwacheka Timu Kubwa Raja Casablanca FC nayo kwa Kutolewa?

    Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali na Kulia tunasema hatuna Deni na Wachezaji wa Simba SC hadi Kocha na Benchi lake lote la Ufundi...
  14. JamiiForums Tanzania Robertinho aondoke Simba timu ivunjwe. Haiwezekani tunaishia Robo Fainali kila mara

    Haiwezekani kila mara tunaposhiriki michuano yoyote huwa tunaishia robo fainali, Yaani sisi tumekuwa wasindikizaji na wala hatuna taji lolote huku tukiishia kutiana moyo kuishia robo fainali. Ifike mahala hatua zichukuliwe, Ukubwa wetu umebakia midomoni huku tukichekwa kwa mpira 0...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zama za kufungwa goli nyingi kwa Simba na timu za waarabu tumezizika rasmi. Kumwembe ukubali ukweli huu

    "Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele” Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
  16. JamiiForums Tanzania Hizo hela milioni 10 wapeni Yatima, timu zenu zote zitatolewa tu

    Yaani you take 10 mil on kuwafurahisha watu wanaolipwa vizuri na taasisi zao. Mungu lazima awashushie angamizo, timu zenu zote hazifiki Popote we need to get rid this fallacy. Ni watu wangapi wanaopambania uhai wao kwa kukosa matibabu eti ugawe mil10 kwa mpira huu wa kipuuzi
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ushangiliaji wa mashabiki wa Wydad Casablanca, unatosha kabisa kuharibu saikoljia ya wachezaji wa timu pinzani

    Hakika huu ndio ukweli na hii ni baada ya kuona clip mmoja mtandaoni. Mashabiki wa hii timu wana spirit ya ajabu katika kushangilia na kuna wahamasishaji kabisa wako kwa ajili hiyo. Wingi wa mashabiki pamoja na spirit kubwa ya ushangiliaji, ni wazi hii ndio sababu tosha timu nyingi kula kichapo...
  18. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson jimbo lako linapoteza timu mbili Ligi Kuu, unazisaidiaje?

    Tulia Ackson Mbunge wa Mbeya Mjini, Mbeya City FC na Prison ziko kwenye hatari kubwa ya kuporomoka daraja. Una mikakati gani ya kuzisaidia hizi timu? Tunajua umekuwa unajinasibu kuwa wewe ni shabiki kindakindaki wa Simba. Hatujawahi kuona unatoa amsha amsha kwa timu za jimboni kwako. Hizi timu...
  19. JamiiForums Tanzania TRA mnawaibia TFF na timu za mpira kwa kuwakata VAT badala ya kusubiri iletwe kwenye ritani za mwezi husika

    Kwa kawaida mlipa kodi aliyesajiriwa kwenye VAT hutakiwa kulipa au kudai kurejeshewa tofauti ya kodi kwenye mauzo na kodi kwenye manunuzi kutegemeana na ukokotozi. Kwa taarifa hii ya TFF inaelekea TRA imechuka 18 % mapato yote ya mchezo wa siku husika. Kwa maoni yangu hii ni kinyume cha sheria...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe CAF super league wanachukua hadi timu mbovu

    Hizi ni timu nane ambazo zimepewa nafasi ya kushiriki super league. 1) Tp Mazembe 2) Es Tunis 3) Petro Luanda 4)Horoya 5)Simba 6) Wydad 7) Mamelod 8) Al Ahly Wakati mashindano haya yanazinduliwa, Simba waliinasibu kuwa ni mashindano ya timu bora tupu ndio zinazoshiriki hayo mashindano, lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…