timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Sahau kuhusu kufuzu, hakuna timu itakayopata goli huko ugenini Cairo & Pretoria

    Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
  2. Simba ndiyo timu pekee iliyofungwa kwenye round ya kwanza ya robo fainali CAFCL

    Wenzao wote wamekazana wametoa sare. Ni "Nyuma Halali" pekee ndiyo waliofungwa. Hii ni aibu. Katika timu nane ufungwe we mwenyewe tu! Una gundu gani?
  3. Timu ya Taifa ya Mbio za Nyika yakwama Airport, wakati wa Kuelekea Belgrade Serbia, Uganda Yashinda Dhahabu

    Shirikisho la Riadha Tz (RT) tunapenda kuwajulisha wanachama, waalimu, na wadau mbalimbali kuwa wanariadha wetu wawakilishi wa mashindano ya Dunia ya Mbio za nyika wameshindwa kusafiri kutokana na Changamoto ya kupatikana kwa Visa. Wanariadha hao ambao walitarajiwa kuondoka jana tarehe...
  4. 1st leg robo fainali cafcl: simba pekee yake ndo timu iliyofungwa

    Mpaka ninapoandika makala hii timu zote zilizoingia robo FAINALI zimetoka sare ya 0-0 kasoro Al AHLY TU ndo amekutana na kibonde akamfunga. Kwa hiyo kolozdad mbovu
  5. Al-Ahly inamaanisha "Taifa", hivyo unaweza kuita 'Club ya kitaifa' Hizi hapa Timu za kiarabu na maana zake

    (1) Jina la 'Al-Ahly SC' Jina lilipendekezwa na Amin Samy Amin, ambaye alipendekeza kuwa jina hilo ni sawa na neno "taifa" katika Kiarabu cha Misri. Lengo la jina ni kuwahudumia wanafunzi na wahitimu wa shule ambao walikuwa mhimili mkuu wa mapinduzi dhidi ya uvamizi wa Uingereza nchini Misri...
  6. N

    Hili suala la timu ya kigeni kuja na kila kitu chake na kukataa vitu vilivyoandaliwa kwaajili yao limekaaje kikanuni?

    Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi...
  7. Onyo: Wakileta siasa uwanjani, tutaombea timu za Tanzania zifungwe

    Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo. Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya Wanasiasa , hatutakubali picha ya Mbunge wa Temeke wala Diwani wa kata ya miburani. Ukiwa na kiherehere...
  8. Kuna nini kwenye soka la Tanzania, Mbona kila timu ya kigeni inakuja na Chakula chake?

    Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo ! Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
  9. L

    Nasema na narudia tena hapa Tanzania timu yenye uwezo, kiwango na ubora wa kuikabili Mamelodi Sundowns bila ushirikina ni Azam FC tu

    Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga. Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa...
  10. Timu ya riadha yarudi mikono mitupu, wawasili kimya kimya

    Wanariadha 8 waliokwenda kwenye mashindano ya afrika huko huko nchini Ghana🇬🇭 wamerudi kimya kimya mikono mitupu bila hata medali ya bati 🤣 Wanariadha hao walikuwa wa mbio za uwanjani mita 100m, 200m, 1500m , 5000m , 10000m na Half marathon wote chali, pamoja na mwingine wa mitupo na mrusha...
  11. Tatizo siyo Kushinda Dar es Salaam ila je, tuna timu na Mikakati ya kushinda Cairo na Johannesburg?

    Hakuna Timu ambazo Naziogopa hasa zikifika katika hatua ya Robo Fainali kama za Al Ahly na Mamelodi Sundowns FC. Ninadhani tumeelewana vyema tu.
  12. TFF yajitenga na kauli ya Ndumbaro, yatoa hakikisho la usalama kwa timu zitakazokuja kwa ajili ya CAFCL na hakutakuwa na Ubaguzi kama ilivyodaiwa

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema hakuna shabiki atakayedaiwa pasipoti wakati anaingia uwanjani katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Mamelodi Sundowns. TFF imesisitiza kuwa michezo haisimamiwi na idara ya uhamiaji, hivyo imewatoa hofu wachezaji...
  13. Tatizo la Makocha wazawa Timu ya Taifa ni Malezi yao Mabaya

    Malezi anayopewa mtu utotoni kwenye mambo na matukio mbalimbali ndani ya familia, jamii na taasisi mbalimbali kama za kidini, shule na mpira vina uhusiano mkubwa na tabia na ufanisi wa mtu huyo wakati wa utu uzima. Kama utotoni ulipigwa sana kuna uwezekano mkubwa na wewe kuwa mpigaji wa watoto...
  14. Jinsi tutakavyoshangilia magoli ya timu yetu ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga

    Kumekuwa na mwamko mkubwa wa wapenzi na mashabiki wa Mamelodi Sundowns kujiandaa kuhudhuria mechi dhidi ya Deportivo de Utopolo itakayofanyika tarehe 30/03/2014. Sasa tumekubaliana kila goli letu likifungwa tutacheza style inayotrend sasa hivi ya amapiano iitwayo Tshwala Bam...
  15. Niliposema kuwa Mwezi huu Mtukufu kuna Timu haitafanya vyema kwakuwa Majini yanauheshimu mkabisha mpo wapi leo?

    Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King! Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na kwingineko) huwa ni sahihi na kwa 15% tu ndiyo huwa ni bahati mbaya/havitokei. Msione aibu...
  16. Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC

    Machi 10, 2024 Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] KUMB: Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC Mpendwa Mheshimiwa/Bibi, Tunakuandikia kukuletea jambo linalotia wasiwasi mkubwa kuhusu uadilifu na usawa wa Ligi Kuu ya NBC nchini Tanzania. Kama wadau na...
  17. Kumekucha, wachezaji wawili wote leo ndiyo wamebeba 'Majini na Hirizi' za Kuzibeba timu zao kwa Mkapa

    Na nawaombeni leo kabla ya Mechi kuanza kuweni makini kuangalia nini Watafanya au Kitafanyika ila Mpira ukianza tu watakuwa Wanakwepana. Pia kuna uwezekano mkubwa Wote wakafunga Magoli kwa Timu zao ila Kuumia kiasi kwa Mmoja wao au sana ni kwa 85% kutokana na Mizigo ya HATARI ya Kishirikina...
  18. G

    Sijafurahia kuitwa Kwa wachezaji wa Simba timu za taifa kucheza Bonanza, wanaweza kukosa mechi za caf au kuchelewa kurudi kwenye mfumo wakirudi

    tuna game ngum na muda wa kujiandaa unaenda kumezwa na haya mashindano uchwara, Taifa stars inatarajiwa kurudi tarehe 27, hatujakaa sawa tarehe 29 kuna mechi ngumu dhidi ya Al Ahly Kuna tetesi Al Ahly wameomba Wachezaji wasijumuishwe Team ya Taifa wabaki wajiandae na club bingwa. Kwa upande wa...
  19. M

    TFF kemeeni na toeni adhabu Kali Kwa mashabiki na wachezaji wanaotoa mataulo na kufukua langoni Kwa timu pinzani.

    Ligi yetu inakua ila baadhi ya wachezaji na mashabiki bado Wana fikra za kipuuzi na za kizamani. Ni upuuzi kwenye ligi kuu ya nchi kuwa na wachezaji wanaoamini goli halipatikani sababu ya taulo la kipa au kuna vitu vimefukiwa.Hayo mambo ni ya timu za mtaani. Ajabu zaidi hata zinazojiita timu...
  20. Tunajengaje "Utalii wa Michezo" kwa kupiga marufuku na kutishia mashabiki wasisapoti timu fulani?

    Nimekumbuka hapo katikati hasa kipindi "African Football League" inakaribia kuzinduliwa, Serikali ilikuwa inaongelea umuhimu wa kuwekeza kwenye "Sports Tourism" au "Utalii wa Michezo". Tafsiri ya haraka ya "Utalii wa Michezo" maana yake ni "kuandaa matukio ya kimichezo ambayo yatavutia watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…