timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

    Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake. 3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
  2. Timu ya Mpira wa Kikapu ya Wabunge wa Tanzania yachapwa Vikapu 67 kwa 38 na Wabunge wa Kenya

    Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu Wanaume imepoteza mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Kenya kwa kuruhusu kufungwa magoli 67-38.Timu hizo zipo Mombasa nchini Kenya kushiriki mashindano ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ikumbukwe hapo jana, Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira...
  3. Hakuna mchezaji wa simba anaweza kupata namba pale Yanga. Simba timu mbovu.

    MANULA hawezi kupata namba pale Yanga,utamsajili utampeleka wapi.Kaisha!
  4. Timu ya kampeni Prof. Janabi WHO ijumuishe wataalamu wenye uzoefu

    Prof Janabi anatosha WHO. Nashauri timu ya kampeni iwe na watu wenye exposure ya Kimataifa haswa. Huku Peramiho tunawaunga mkono. PIA SOMA - Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndugulile DG-WHO
  5. Simba atachukua kombe Gani, mapinduzi cup ikichezwa na timu za taifa

    Mtani amepata pigo lingine, baada ya kichaka alichokuwa anajificha la kuchukua kombe la mapinduzi kucheza na timu za taifa Tujikumbushe mafanikio ya mtani aliyosomewa kwenye mkutano mkuu ni kama ifuatavyo 1. Bingwa kombe la Mapinduzi 😀 2 Whatsapp channel 😀 3 Kibegi Mtani Sasa rasmi hatapata...
  6. Mapinduzi Cup 2025 kushirikisha timu za taifa sio vilabu tena, bingwa kuondoka na Tsh. Milioni 100

    Wakuu ZFF wamekuja na mfumo mpya wa Mapinduzi Cup! Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa 2025 itashirikisha timu za Taifa na sio vilabu kama ilivyozoeleka ambapo michuano hiyo itachezwa kwa mtindo wa makundi, nusu fainali na fainali itakayopigwa Januari 13, 2025 na mechi zote zitapigwa katika...
  7. M

    Upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio nafuu ya simba kutoonekana madhaifu yake lakini timu yao ni dhaifu na kocha wao ni dhaifu pia!

    Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
  8. Shabiki wa simba tembea kifua mbele atakayesema timu mbovu au mwalimu hafai hajui mpira na sio simba!

    Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza. Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli iliyofungwa ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira ila kwa mwenye kujua mpira....... Ila tu...
  9. Timu ambazo ziko kundi moja na Simba zimetokaje??

    Naulizia ili nipate namna ya kutathimini. Pia naulize je kwenye kundi hili Kuna timu inayocheza vizuri kuizidi Simba??
  10. Mtu kama Dr. Janabi akipewa udaktari wa Timu, wachezaji watapata tabu sana

    Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3. Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
  11. Kiukweli kabisa hii wala sio timu yetu. Timu yetu ameondoka nayo Gamondi

    Tulitegemea kuwa na msimu mzuri sana kwenye CL mwaka huu ila viongozi wameuharibu kwa sababu wanazozijua wao.
  12. Kwanini timu za EPL zina majeruhi wengi kuliko timu za Ligi kuu Tanzania. Je, Wachezaji wetu wamekomaa au hawajitumi?

    Tottenham,Man City,Arsenal zina majeruhi zaidi ya 10. Huku timu zetu wachezaji wote wako fit despite hawapitii vipimo vya afya vile inavyotakiwa. Je wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
  13. Tetesi: Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni hajasafiri na timu baada ya kutokubaliani na baadhi ya mazoezi na program na kocha mpya Sead Ramovic

    Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni, inaelezwa hakusafiri na kikosi cha timu hiyo kuelekea Algeria kwa mchezo wa pili wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger. Inadaiwa kuwa Lagrouni hajasafiri kutokana na kutokubaliana na baadhi ya mazoezi na programu za kocha mpya...
  14. Je, ni kweli jezi ya timu fulani ikivaliwa sana ni kipimo cha ubora?

    Siku hizi mtaani tunashuhudia watu wakivaa jezi za timu mbalimbali wanazozipenda na wengine huvaa zile zinazowavutia hata kama hawaipendi au kuifahamu klbau yenyewe. Sina hakika kama wengi wanaifahamu klabu ya Palmeiras ya kule Brazili kwa akina Neymar Jr na Ronaldinho Gaucho, lakini Jezi yake...
  15. Sead Ramovic aibua mpya,adai hakujua kama Yanga ni timu kubwa mpaka alipokuja nchini, adai jina lake linatamkwa Saidi''

    Kuelekea mechina Namungo,kocha mpya wa Yanga akiongea na waandishi wa habari amedai hakujua kama Yanga ni timu kubwa kivile mpaka alipotua nchini,dunia hii ya mitandao anafeli wapi kuifuatiliatimu mtanaoni. Pia amedai jina lake linatamkwa saidi sio sead kama lInavyoandikwa
  16. Deborah Fernandez ni mchezaji wa kawaida Sanaa, Simba Bado timu haijakaa vizuri tunajipa moyo tu

    Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu Huwa nikileta mada hapa jamii sports, kwa mara ya kwanza watu Huwa wanaichukulia tofauti ila baada ya mda ukweli unadhibitika!!. fuatilia mada zangu za humu jamii sports utanielewa. Sasa twendeni sambamba kwenye mada husika kama kichwa Cha habari hapo juu...
  17. Timu aliyotoka kocha wa Yanga Yashinda mchezo wake wa kwanza

    Hapo jana timu aliyotoka kocha wa Yanga Ts Galaxy imeibuka na ushindi wa goli 1 kwa 3 ikiwa ugenini dhidi ya Sekhukhune ambayo ipo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa League. Timu hiyo imeonja ushindi wa kwanza kwa msimu huu baada ya kocha wao wa zamani kuondoka. Kocha huyo mpya wa Yanga jana...
  18. M

    Hii timu ya Angola ingecheza na Yanga ingeshinda

    F.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
  19. Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

    Match Day Simba SC vs Bravos do Maquis FC Time 1600hrs Kikosi Cha Simba Kinachoanza. #Nguvumoja Updates... 1' Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos. 3' Game on 0-0 7' Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi. Wanashindwa kudhibiti...
  20. Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

    Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini. 1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa. 2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan. Ushahidi wanao Azam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…